Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TFC wapendekeza soko la pamoja

UMOJA wa Vyama vya Ushirika (TFC) umependekeza muswada wa sheria kuhusu soko la pamoja. Mapendekezo hayo waliyatoa jijini Dar es Salaam jana walipokutana na Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Soko la pamoja EAC ni zuri, lakini...

Matumaini ya kujikomboa kiuchumi kupitia ushirikiano wa nchi za Afrika Mashariki, yanaweza kufanikiwa kwa kiwango kikubwa endapo juhudi zinazoendelea zitafanywa kwa uangalifu katika hali ambayo itasaidia kila nchi mwanachama kunufaika.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Manufaa, changamoto za Soko la Pamoja Afrika Mashariki

JULAI Mosi, mwaka 2010 Mataifa ya Afrika Mashariki  yalikubaliana kuanzishwa kwa Soko la pamoja la Afrika Mashariki  baada ya wakuu wa nchi hizo wanachama; Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Faida umoja wa forodha, soko la pamoja EAC bado ndoto

UTAFITI uliofanywa na Shirika la Muungano wa Mashirika yasiyo ya kiserikali (Tango), umebaini kuwa asasi za kiraia, wakulima na wafanyabiashara wadogo katika Umoja wa Afrika Mashariki (EAC), unaonyesha kuwa upatikanaji...

 

10 years ago

Michuzi

DKT. BILAL ASAINI MKATABA WA MAKUBALIANO YA SOKO LA PAMOJA, JIJIJINI SHARM EL SHEIKH

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisaini mkataba wa makubaliano ya kuwa na soko la pamoja kwa Nchi za Wanachama wa Kanda ya tatu ya Nchi za Afrika Mashariki, Kusini mwa Afrika na za Magharibi. Dkt.Bilal pamoja na Viongozi wa Nchi husika wamesaini mkataba huo leo katika Mkutano mkuu wa tatu wa Wakuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Soko la pamoja la Nchi za Kusini mwa Afrika (COMESA) na Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC)...

 

10 years ago

GPL

WARSHA YA UTAYARISHAJI MKAKATI ITIFAKI YA SOKO LA PAMOJA LA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI YAFANYIKA ZANZIBAR

 Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Biashara, Uwekezaji na Sekta za uzalishaji Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Abdullah Makame akimkaribisha mgeni rasmi Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora Zanzibar Salum Maulid Salum (kati kati) kufungua warsha ya utayarishaji mkakati Itifaki ya soko la
pamoja la Jumuiya ya Afrika Mashariki. Wakwanza (kushoto) Makamu wa Rais wa Chamber of Commerce Zanzibar Ali Aboud Mzee....

 

10 years ago

Michuzi

WARSHA YA UTAARISHAJI MKAKATI ITIFAKI YA SOKO LA PAMOJA LA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI YAFANYIKA ZANZIBAR

 Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Biashara, Uwekezaji na Sekta za uzalishaji Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Abdullah Makame akimkaribisha mgeni rasmi Katibu Mkuu Afisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora Zanzibar Salum Maulid Salum (kati kati) kufungua warsha ya utaarishaji mkakati Itifaki ya soko la pamoja la Jumuiya ya Afrika Mashariki. Wakwanza (kushoto) Makamu wa Rais wa Chamber of Commerce Zanzibar Ali Aboud Mzee. Katibu Mkuu Afisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora Zanzibar Salum...

 

5 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA APOKEA UJUMBE KUTOKA SEKRETARIETI YA SOKO LA PAMOJA LA MASHARIKI NA KUSINI MWA AFRIKA COMESA


Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Prof. Riziki Shemdoe na Naibu Katibu Mkuu Ndugu Ludovick Nduhiye wakiwa katiza picha ya pamoja na Ujumbe kutoka Sekretarieti ya COMESA ulioongozwa na Balozi Dr. Kipyego Cheluget.

Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Prof. Riziki Shemdoe akipokea zawadi kutoka kwa Naibu Katibu mkuu anayeshughulikia miradi kutoka sekretarieti ya (COMESA) Balozi Dr. Kipyego Cheluget.



Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Prof. Riziki Shemdoe akiongoza kikao...

 

10 years ago

Mwananchi

Wapendekeza nauli za daladala zipunguzwe

Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Usafiri wa Nchi Kavu na Majini Sumatra (Sumatra-CCC), wameishauri Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra), kupunguza nauli za mabasi, ikiwamo daladala kwa asilimia 15 hadi 24.

 

9 years ago

Habarileo

Wapendekeza maadili yafundishwe chekechea

MAOFISA watendaji wa kata, mitaa, vijiji na wawakilishi wa vyama vya siasa kutoka mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara, wamependekeza somo la maadili ya umma lifundishwe kuanzia chekechea. Rai hiyo ilitolewa jana jijini hapa baada ya mafunzo ya siku moja kuhusu maadili ya viongozi na watumishi wa umma katika usimamizi wa rasilimali.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani