Wapiganaji 260 wa kikurdi wauawa
Shirika la habari la taifa la Uturuki, linasema kuwa wapiganaji wa Kikurd 260 wameuawa katika mashambulio ya ndege ya juma moja, dhidi ya kundi la PKK, lilopigwa marufuku.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili11 Aug
Wapiganaji wa Kikurdi washambuliwa
Uturuki imeanzisha tena msururu wa mashambulizi dhidi ya wapiganaji wa Kikurdi yanayolenga maeneo 17 kusini mashariki, kwa mujibu wa jeshi
9 years ago
BBCSwahili13 Oct
HRW lawalaumu wapiganaji wa Kikurdi
Shirika la kibinadamu la Human Rights Watch limewalaumu wapiganaji Wakurdi wa Syria wa Kaskazini Mashariki kwa kufanya kampeni ya makusudi kuwatimua manyumbani watu wenye asili ya Kiarabu
10 years ago
BBCSwahili04 Jun
Wapiganaji 10 wa Taleban wauawa na IS
Jeshi la Afghanistan limesema wanachama kumi wa kundi la Taliban wameuliwa na wapiganaji wa Islamic State walioko mashariki mwa nchi hiyo.
10 years ago
BBCSwahili07 Feb
Wapiganaji 27 wauawa Misri
Wanamgambo 27 wa kiislamu wameuawa kwenye oparesheni kubwa ilioendeshwa na jeshi la Misri katika eneo la Sinai Kaskazini.
10 years ago
BBCSwahili09 Nov
Wapiganaji 70 wa Alshabaab wauawa
Mamlaka kusini mwa Somali inasema kuwa zaidi ya wapiganaji 70 wa kundi la Alshabaab waliuawa katika mapigano siku ya jumamosi
11 years ago
BBCSwahili27 May
Wapiganaji 30 wauawa nchini Ukraine
Takriban wapiganaji 30 wanaounga mkono Urusi,wameuawa katika mapigano yaliyozuka katika uwanja wa ndege mjini Donetsk,Mashariki mwa Ukraine.
10 years ago
BBCSwahili04 Aug
Watu 7 wauawa na wapiganaji Cameroon
Zaidi ya watu 7 wameuawa na wengine kujeruhiwa katika shambulio linaloaminika kufanywa na kundi la wapiganaji wa Boko Haram huko kaskazini mwa Cameroon.
11 years ago
BBCSwahili06 Jul
Wapiganaji 53 wa Boko Haram wauawa
Jeshi la Nigeria limesema kuwa limewaua wanachama 53 wa kundi la Boko haram kufuatia shambulizi lao katika eneo la Damboa .
11 years ago
BBCSwahili09 Jan
Wapiganaji 38 wa Boko Haram wauawa
Jeshi la Nigeria limesema kuwa limeauawa wapiganaji 38 wa Boko Haram wakati wa mapambanao dhidi ya kundio hilo katika eneo la Kaskazini Mashariki mwa nchi.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania