Wapiganaji 300 wa Boko Haram wauawa
Wanajeshi wa Nigeria wamesema kuwa wamewauwa zaidi ya wapiganaji 300 wa kundi la Boko Haram
Jeshi la Nigeria limesema kuwa limewauwa zaidi ya wapiganaji 300 wa Boko Haram, baada ya jeshi la nchi hiyo kutwaa tena miji kadhaa iliyotekwa na wapiganaji hao kazkazini mashariki mwa Monguno.
Msemaji wa jeshi Chris Olukolade amesema kuwa wapiganaji wachache wa kiislamu pia wamekamatwa.
Bado hakujatolewa taarifa zaidi kuthibitisha habari hizo.
Mataifa kadhaa ya magharibi mwa Afrika kama vile Niger, Chad...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili18 Feb
Wapiganaji 300 wa Boko Haram wauwa
11 years ago
BBCSwahili09 Jan
Wapiganaji 38 wa Boko Haram wauawa
11 years ago
BBCSwahili06 Jul
Wapiganaji 53 wa Boko Haram wauawa
9 years ago
BBCSwahili31 Aug
Wapiganaji 10 wa Boko Haram wauawa-Chad
9 years ago
BBCSwahili25 Sep
Wapiganaji wa Boko Haram wajisalimisha
10 years ago
BBCSwahili31 Jul
Chad 'imewaua wapiganaji 100' wa Boko Haram
9 years ago
BBCSwahili02 Dec
Cameroon 'yaua' wapiganaji 100 wa Boko Haram
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/81085000/jpg/_81085498_nigeria2.jpg)
Army kills '300 Boko Haram fighters'
9 years ago
BBCSwahili28 Oct
Jeshi lakomboa 300 kutoka kwa Boko Haram Nigeria