Wapiganaji wakiri kutekeleza mauaji Mali
Kundi la wapiganaji linaloongozwa na Mokhtar Belmokhtar linasema kuwa ndilo lililotekeleza shambulizi katika klabu Mali
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo21 May
Wauguzi wakiri wapo wanaowachafua
CHAMA cha Wauguzi Tanzania Mkoa wa Dodoma (TANNA) kimekiri kuwepo kwa udhaifu kwa baadhi ya wauguzi kutozingatia maadili ya uuguzi, hali ambayo inasababisha kero kwa jamii wanayoihudumia.
11 years ago
BBCSwahili28 May
Al Shabaab wakiri kushambulia Djibouti
11 years ago
Habarileo23 Dec
Polisi wakiri makosa Operesheni Tokomeza
JESHI la Polisi, limekuwa la kwanza kati ya taasisi saba zinazohusika moja kwa moja, kukiri udhaifu katika utekelezaji wa Operesheni Tokomeza Ujangili, iliyowaondoa mawaziri wanne katika nafasi zao.
10 years ago
BBCSwahili25 Mar
Mgahawa wa Kichina wakiri kuwazuia weusi
11 years ago
BBCSwahili05 May
Boko Haram wakiri kuteka wasichana
11 years ago
Tanzania Daima04 Jan
Polisi wakiri kujeruhi waumini kwa bomu
JESHI la Polisi limekiri kuhusika na tukio la bomu la machozi lililowajeruhi waumini sita waliokuwa wakitoka kwenye ibada ya mkesha wa mwaka mpya katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Karoli Lwanga,...
10 years ago
Habarileo27 Sep
IMTU wakiri makosa, waahidi kutimiza masharti
UONGOZI wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Matibabu na Teknolojia (IMTU) umekiri makosa yaliyosababisha kusitishwa kudahili wanafunzi wapya kwa mwaka 2014/15 na kuahidi kushughulikia tatizo hilo kabla notisi ya miezi mitatu kuisha.
10 years ago
GPL08 Aug
9 years ago
Bongo Movies17 Aug
Shamsa Ford Na Nay wa Mitego Wakiri Uhusiano Wao wa Kimapenzi
Msanii wa filamu nchini, Shamsa Ford amekiri kuwahi kutoka kimapenzi na Nay wa Mitego na baadaye wakaachana.
Shamsha na Nay wa Mitego walikuwa wakizungumza kwa pamoja ndani ya Global TV hivi karibuni. “Ukweli ni kwamba finally nilikuwa na mahusiano ya kimapenzi na Emanuel (Nay) lakini tumeachana,” alisema Shamsa.
Kwa upande wake Nay alisema uhusiano ulikuja baada ya kuwa marafiki.
“Tulikuwa washkaji, mahusiano yetu yalianza hivyo,” alisema rapper huyo.
“Tulienda Masaki baada ya kukaa...