Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Polisi wakiri kujeruhi waumini kwa bomu

JESHI la Polisi limekiri kuhusika na tukio la bomu la machozi lililowajeruhi waumini sita waliokuwa wakitoka kwenye ibada ya mkesha wa mwaka mpya katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Karoli Lwanga,...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Waumini Moravian kizimbani kwa kujeruhi

WAUMINI watatu wa Kanisa la Moravian Dar es Salaam wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni kujibu mashitaka ya kumjeruhi askari wa Jeshi la Polisi.

 

11 years ago

GPL

BOMU LALIPUKA NA KUJERUHI ARUSHA

Hali ya sintofahamu iliyowakumba wakazi wa jiji la Arusha baada ya bomu kulipuka jana. Majeruhi baada ya bomu kulipuka.…

 

9 years ago

Habarileo

Msigwa, wenzake kortini kwa kujeruhi polisi

MGOMBEA Ubunge jimbo la Iringa Mjini kupitia Chadema, Mchungaji Peter Msigwa na wenzake watatu, wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Mkoa wa Iringa wakituhumiwa kushambulia na kujeruhi askari polisi wawili.

 

10 years ago

GPL

MLIPUKO WA BOMU WAUA 27 NA KUJERUHI 100 UTURUKI

Mmoja wa majeruhi katika mlipuko huo. Hali ilivyokuwa baada ya mlipuko kutokea.…

 

11 years ago

Mwananchi

Waumini Kigogo waswali kwa awamu chini ya ulinzi wa polisi

Waumini wa dini ya Kiislamu Msikiti wa Islah Kigogo Dar es Salaam, juzi walilazimika kuswali kwa awamu mbili tofauti huku wakiwa chini ya ulinzi wa polisi kutokana na kutokuelewana kwa viongozi wao.

 

11 years ago

Dewji Blog

Breaking News…Bomu lalipuka na kujeruhi watu kadhaa Arusha Night Park usiku huu

grenade

Habari za kuthibitika kutoka chanzo chetu kinasema  watu wasiofahamika wamerusha kitu kinachosadikiwa kuwa ni bomu la mkono (Granade) kwenye Bar maarufu jijini Arusha inayofahamika kwa jina la Arusha Night Park iliyopo maeneo ya Mianzini.

Chanzo chetu kinasema kuwa watu kadhaa wamejeruhiwa vibaya kutokana na mlipuko huo.

Tukio hilo limetokea wakati umati wa watu ukiwa umekusanyika kwenye Bar hiyo ukitazama mpira jioni hii.

MOblog inaendelea kufuatilia kwa ukaribu zaidi na tutaendelea...

 

11 years ago

Dewji Blog

Breaking News…Bomu lalipuka na kujeruhi mamia ya watu Arusha Night Park usiku huu

grenade

Habari za kuthibitika kutoka chanzo chetu kinasema  watu wasiofahamika wamerusha bomu la mkono (Granade) kwenye Bar maarufu jijini Arusha inayofahamika kwa jina la  Arusha Night Park almaarufu kama “Matako Bar” iliyopo maeneo ya Mianzini.

Chanzo chetu kinasema kuwa watu wawili wamepoteza maisha hadi sasa na wengine wengi idadi isiyofahamika wamejeruhiwa vibaya huku wengine wakiwa wamekatika mikono, miguu na kuchuruzikwa na damu.

Mkasa huo umetokea wakati umati wa watu ukiwa umekusanyika...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Polisi wajeruhi kwa bomu la machozi Dar

ASKARI wa Jeshi la Polisi katika Kituo cha Polisi Maturubai kilichopo Mbagala jijini Dar es Salaam, wanadaiwa kumjeruhi kwa bomu la kutupa kwa mkono Mwanaharusi Hamis mkazi wa Mbagala. Kwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Polisi aliyejeruhiwa kwa bomu afanyiwa upasuaji wa mkono

Askari polisi WP. 8616 PC Mariam ambaye alijeruhiwa kwa bomu kwenye bega la mkono wa kushoto juzi baada ya mmoja ambaye jina lake bado alijafahamika, amefanyiwa upasuaji.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani