Wapiganaji washambulia chuo Nigeria
Duru kutoka Kaskazini mwa Nigeria zinasema kuwa watu waliojihami wamevamia chuo cha mafunzo ya Ualimu katika kijiji cha Kano.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili02 Apr
Wapiganaji washambulia chuo kikuu Kenya
Wapiganaji waliofunika nyuzo zao wameshambulia eneo la chuo kikuu cha Garissa kazkazini mwa Kenya karibu na mpaka na Somali
11 years ago
BBCSwahili16 Jun
Wapiganaji washambulia Lamu - Kenya
Pwani ya Kenya yashambuliwa na wapiganaji wanaoshukiwa kuwa wa kiislamu
10 years ago
Vijimambo02 Apr
Al-Shabab washambulia chuo kikuu cha Garissa Kenya
Washambulizi wa Al-Shabab wameshambulia chuo kikuu cha Garissa, kaskazini mashariki ya Kenya na kusababisha vifo vya takriban watu 70 kulingana namaafisa wa serikali na zaidi ya 70 kujeruhiwa.
Kifaru cha jeshi la Kenya kikiwasili karibu na chuo kikuu cha Garissa,Garissa, Kenya, April 2, 2015.
Polisi wa Kenya wakikaribia majengo ya chuo cha Garissa kwa uangalifu mkubwa
Wananchi wa Garissa wakisubiri kuchangia damu katika hospitali ya Garissa ambako wengi waliojeruhiwa wamelazwa
Kifaru cha jeshi...
![](http://gdb.voanews.com/958DA741-3AD6-432D-9C86-C47E57628FBC_cx0_cy40_cw0_w974_n_s_r1.jpg)
![](http://gdb.voanews.com/FC578BFA-AEA0-4825-AB11-2252956A8F2C_cx0_cy15_cw0_w974_n_s_r1.jpg)
![](http://gdb.voanews.com/0B8DFF2A-14FF-4D1A-88E3-B39938960D8C_cx0_cy11_cw0_w974_n_s_r1.jpg)
![](http://gdb.voanews.com/F7078AC8-83AD-4DEB-9263-9A7AFBC7E7F5_cx6_cy9_cw84_w974_n_s_r1.jpg)
10 years ago
BBCSwahili05 Nov
Boko Haram washambulia Nigeria
Wapiganaji wa kundi la Boko Haram, wanashukiwa kuhusika katika shambulizi jingine huko mji Kaskazini Mashariki mwa Nigeria.
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-PitegS6w8tU/VH9AWkVBbOI/AAAAAAAG1Do/AGBzYfeMykk/s72-c/unnamed%2B(28).jpg)
wapiganaji walamba nondozzz Chuo kikuu huria cha Tanzania (OUT)
Mhariri Msanifu wa Gazeti la Mtanzania, Khamis Mkotya ametunukiwa Shahada ya Sayansi ya Jamii katika Siasa, Uongozi na Utawala (Political Science and Public Administration), baada ya kuhitimu masomo yake ya elimu ya juu. Mkotya pamoja na wahitimu wengine walitunukiwa shahada zao mwishoni mwa wiki wakati wa mahafali ya 26 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania yaliyofanyika eneo la Bungo, Kibaha mkoani Pwani. Wahitimu wote walitunukiwa shahada zao na Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, Dk. Asha...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/U0kXovJomVAPEYoZQxuj0y*6AowwqpiHTDefBRkanP7bj3ArBPrfu1*U15*9DIC0r5lIESx3yi3ts3uHsNpSGkIq3zXypc7S/nigeriaterrorbokoharam.png?width=650)
BOKO HARAM YASHAMBULIA CHUO NIGERIA, 12 WAJERUHIWA VIBAYA
Shambulio la Boko Haram nchini Nigeria. Mtu mmoja anayesadikiwa kuwa mwanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram, amefanya shambulizi la kujitoa mhanga katika Chuo kimoja cha Masomo ya Uongozi wa Biashara nchini Nigeria na kuwajeruhi wanafunzi kadhaa. Tukio hilo limetokea jana Mei 8, 2015 baada ya mtu huyo kuvuka geti na kuingia ndani ya chuo hicho na kutekeleza shambulio hilo kwa kufyatua risasi kisha kujilipua kwa...
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-1yjEzTgn3Os/VU3kAdjOeQI/AAAAAAABN_A/2Zz0YNT3w5Y/s72-c/nigeriaterrorbokoharam.png)
WATU 12 WAJERUHIWA VIBAYA BAADA YA BOKO HARAM KUSHAMBULIA CHUO NIGERIA
![](http://1.bp.blogspot.com/-1yjEzTgn3Os/VU3kAdjOeQI/AAAAAAABN_A/2Zz0YNT3w5Y/s640/nigeriaterrorbokoharam.png)
![](http://3.bp.blogspot.com/-7TY68dIiLtI/VU3j_ev7byI/AAAAAAABN-0/iVYwi35ksAw/s640/Nigerian-student-injured-in-suicide-attack-ap-640x480.jpg)
10 years ago
Vijimambo31 Mar
Ujumbe kutoka Chuo cha Kijeshi cha Nigeria watembelea Wizara ya Mambo ya Nje
11 years ago
BBCSwahili15 Mar
Al Shabaab washambulia Mogadishu
Wamelipua mabomu yaliyokuwa yametegwa ndani ya gari moja nje ya hoteli hoteli na kuwajeruhi wanne
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania