Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wapinzani wamuone Kinana kama Okwi anayepiga mashuti

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi, Abdulrahman Kinana ameishika nafasi hiyo tangu Novemba 2012. Kuanzia hapo hajapumzika wala kulala usingizi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

MillardAyo

Kama hujawahi kuiona, hii ndio video ya magoli ya mashuti ya mbali yaliowahi kufungwa katika Ligi Kuu Uingereza

Mtu wangu wa nguvu najua ni nadra sana kuona mchezaji soka akifunga goli kwa shuti la mbali, hili ni tukio ambalo hutokea katika mechi mara chache, magoli ya mashuti ya mbali huwa ni moja kati ya kivutio kizuri katika soka, hii inatokana na magoli hayo ufungwa mara chache uwanjani. Huenda ukwa ujawahi kuona hii list […]

The post Kama hujawahi kuiona, hii ndio video ya magoli ya mashuti ya mbali yaliowahi kufungwa katika Ligi Kuu Uingereza appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

Mwananchi

Kinana abeza maandamano ya wapinzani

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana amevishangaa vyama vya upinzani kwa kuendekeza maandamano na malumbano na Jeshi la Polisi badala ya kufanya kazi za kuwaletea maendeleo wananchi.

 

11 years ago

Mwananchi

Kinana: Tukishindwa wapinzani hawastahili lawama

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana amesema chama hicho kikishindwa uchaguzi wasilaumiwe wapinzani bali wajilaumu wanachama kutokana na matendo yao.

 

10 years ago

Vijimambo

ZIARA YA KINANA JIMBO LA LULINDI YAZOA WAPINZANI


 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasalimu wananchi wa kijiji cha Machombe ambapo alipita kukagua ujenzi wa Bwawa la maji litakalo saidia kaya 150 kata ya Marika jimbo la Lulindi wilaya ya Masasi mkoani Mtwara.
 Wananchi wa Kijiji cha Machombe wilaya ya Masasi mkoa wa Mtwara wakishangilia wakati wa mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana anayetembea nchi nzima kukagua miradi mbali mbali ambayo zilikuwa ahadi za CCM.
 Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman...

 

10 years ago

Vijimambo

KINANA : WAPINZANI WAMEKOSA SERA MBADALA NCHINI

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wananchi wa Milola jimbo la Mchinga ambapo aliwaambia wapinzani wamekosa sera mbadala matokeo yake wamekuwa wakitumia muda mwingi kuishambulia CCM Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi wa Milola, wilaya ya Lindi Vijijini ambapo aliwaambia CCM imejipanga vizuri kuwashinda Upinzani kuanzi Serikali za mitaa
  Mbunge wa Jimbo la Mchinga Ndugu Said Mtanda akihutubia wakazi wa Milola ambapo aliwaambia asilimia kubwa...

 

10 years ago

Vijimambo

KINANA AZOA WAPINZANI KILA ANAPOTIA MGUU



 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mbunge wa Jimbo la Newala Kepteni Goerge Mkuchika wakati wa mapokezi wilayani Newala.
 Wafanyakazi wakibangua korosho kwenye kiwanda cha Micronix Newala ambacho kilitembelewa na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ambaye yupo kwenye ziara ya kujenga na kuimarisha chama mkoani Mtwara
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kuchagua korosho na kuzitenga kutokana na ubora wa madaraja kwenye kiwanda cha Micronix...

 

10 years ago

Habarileo

Wapinzani watakiwa kujiuliza kama wanatosha kuongoza nchi

KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Mwenyekiti wa Wabunge wa Mkoa wa Morogoro, Amos Makala amesema dola haitafutwi kwa lelemama na kutaka wapinzani kujiuliza kama wanatosha kuongoza nchi ifikapo uchaguzi mkuu 2015.

 

10 years ago

Mwananchi

Wapinzani wakimdharau Kinana, CCM itashinda kirahisi 2015

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), amekamilisha awamu nyingine ya ziara zake mikoani. Katika awamu hii, alitumia siku 28 kutembelea mikoa ya Pwani, Tanga na Iringa.

 

10 years ago

Vijimambo

WAPINZANI WAKABIDHI KADI KWA KINANA TANGA MJINI


 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akivuka na kivuko cha MV.Pangani kuelekea Wilaya ya Tanga mjini ambapo anatazamiwa kukagua miradi mbali mbali na kushiriki ujenzi wa maendeleo,wengine pichani ni Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye (kushoto) na Mwenyekiti wa CCM Pangani Ndugu Hamis Mnegero.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na wananchi wa Pangani baada ya kuvuka na MV.Pangani
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani