Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


warembo wanaowania taji la Miss Arusha 2014 watembela hospital ya maria stopes jijini humo

Baadhi ya Warembo wanaowania taji ya Ulimbwende la Jiji la Arusha,wakimsikiliza kwa makini Dr,Sober Mzighani wa Hospitali ya Maria Stopes ya jijini humo wakati wakipatia mafunzo mbali mbali yahusuyo maswala ya afya ya Binadamu.Hii ni sehemu ya maandalizi ya Onyesho hilo la Urembo ambalo linataraji kufanyika hivi karibuni. Warembo wanaowania taji ya Ulimbwende la Jiji la Arusha wakiwa katika picha ya pamoja.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Warembo wanaowania taji la Miss Tabata 2014 waendelea kujinoa ukumbi wa Dar West Park

DSC_0037

Warembo wanaoshindania miss Tabata 2014 wakiwa kwenye pozi wakati wa mazoezi ya shindano hilo na fainali itakalofanyika siku ya Ijumaa tarehe 06/06/ 2014. Mashindano haya ya Miss Tabata 2014 yatafanyika kwenye ukumbi wa Dar West Park.

DSC_0030

Mwalimu Pasilida Mandari anayewanoa warembo watakaochuana vikali kwenye shindano la Miss Tabata 2014 akizungumza na warembo hao wakati wa mazoezi.

DSC_0028

DSC_0033

DSC_0024

DSC_0042

Warembo watakaochuana vikali kwenye shindano la Miss Tabata 2014 wakiwa watokelezea kwenye pozi...

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: MISS SOUTH AFRICA Rolene STRAUSS ASHINDA TAJI LA MISS WORLD 2014 USIKU HUU JIJINI LONDON, UINGEREZA

Warembo walioshiriki Fainali za 64 za shindano la urembo la Miss World lililofanyika usiku huu jijini London ambapo 
Miss World 2013 Megan Young tayari amemvisha Miss South Africa Rolene STRAUSS taji  la ushindi wa mwaka 2014 katika ukumbi wa mikutano na maonesho wa ExCel London Exhibition and Convention Centre. Jumla ya washiriki 125 walipanda jukwaani na kushindania taji hilo, akiwemo mrembo Happiness Watimanywa wa Tanzania. Fainali hizo zilioneshwa live hapa hapa Globu ya Jamii....angalia...

 

11 years ago

Dewji Blog

Nani kutwaa Taji la Miss Tabata 2014 leo Tarehe 06/06/2014?

 Husna Ibrahim  Evodia Mdemu  Happiness Wilson  Lightness Olomi  Fatma Hussein  Marium Shwaib  Ramta Mkadara  Angela Kashaga  Ambasia Maliy  10.Nuru Omary  Mary Henry  Najma Charles  Faudhia Feka  .Lydia Charle  .Lydia Charle Mary Kazula

 

11 years ago

GPL

WAREMBO 20 KUCHUANA MISS SHINYANGA 2014

Warembo wanaowania taji la Redd's Miss Shinyanga 2014 katika pozi.…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Warembo 17 mazoezini Miss Tabata 2014

WAREMBO 17 wamejitokeza kushiriki shindano la kumtafuta Redd’s Miss Tabata 2014. Mratibu wa shindano hilo, Joseph Kapinga, alisema jijini Dar es Salaam jana kuwa, warembo hao wanaendelea na mazoezi katika...

 

10 years ago

Michuzi

WAREMBO MISS TANZANIA 2014 WAWASILI KAMBINI

Wanyange 30 wanao wanbia taji la Redd's Miss Tanzania 2014 leo wameingia kambini tayari kwa safari ya fainali za Miss Tanzania 2014 zitakazo fanyikia mapema mwezi Oktoba jiji Dar es Salaam.Warembo hao waliowasdili kwa muda tofauti kuanzaia saa 12 alfajiri ya leo na kupokelewa na waandaaji wa Miss Tanzania katika hoteli ya JB Belmont iliyopo katikati ya jiji la maraha la Dar. Warembo kutoka Kanda ya Ziwa walitia fora pale warembo hao walipowasili kambini hapo wakiwa ndani ya gari ya Mshindi...

 

10 years ago

Michuzi

WAREMBO WA MISS TANZANIA 2014 WAWASILI KAMBINI LEO

Na Father Kidevu BlogWanyange 30 wanao wanbia taji la Redd's Miss Tanzania 2014 leo wameingia kambini tayari kwa safari ya fainali za Miss Tanzania 2014 zitakazo fanyikia mapema mwezi Oktoba jiji Dar es Salaam.

Warembo hao waliowasdili kwa muda tofauti kuanzaia saa 12 alfajiri ya leo na kupokelewa na waandaaji wa Miss Tanzania katika hoteli ya JB Belmont iliyopo katikati ya jiji la maraha la Dar. 

Warembo kutoka Kanda ya Ziwa walitia fora pale warembo hao walipowasili kambini hapo wakiwa ndani...

 

11 years ago

Michuzi

12 kuwania taji la miss Kilimanjaro 2014

Walimbwende 12 wanaotarajia kuwania taji la mrembo wa mkoa wa Kilimanjaro mwaka 2014 wakiwa katika pozi la picha kwenye hotel ya Sal salnero mjini Moshi,shindano hilo litafanyika Juni 6 mwaka huu katika ukumbi wa Kili Home mjini Moshi.

 

10 years ago

Michuzi

MARIA SHILA NDIYE REDD'S MISS KINONDONI 2014

Redd's Miss Kinondoni 2014, Maria Shila akipunga mkono baada ya kutawazwa kuwa malkia wa Kanda ya Kinondoni katika shindano lililoshirikisha wanyange 16 waliokuwa wakiwania tiketi ya  kushiriki shindano la Miss Tanzania 2014. Shindano hilo lilifanyika Dar es Salaam usiku wa kuamia leo. 
Shila ameungana na warembo wengine Camila Cindy John aliyeshika nafasi ya pili na Queenlatifa Hashim aliyeshika nafasi ya tatu ambao kwa pamoja wamepata tiketi ya kuiwakilisha Kanda ya Kinondoni katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani