Warioba: Nitaendelea kuitetea Rasimu, sitakimbilia Ukawa
Dar es Salaam. Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba amesema uamuzi wake wa kuitetea Rasimu ya Katiba iliyowasilishwa bungeni na tume aliyoiongoza, pamoja na kauli yake ya juzi ya; ‘Tutakutana mtaani’, havimaanishi kwamba atakihama Chama Cha Mapinduzi (CCM).Jaji Warioba amesema jana kwamba baada ya kutoa kauli hiyo katika maadhimisho ya miaka 19 ya Kituo cha Sheria na Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), baadhi ya watu wakiwamo makada wa CCM wanaodhani kuwa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi30 Jun
KATIBA: Dk Mwinyi awasihi Ukawa Z’bar kurejea bungeni kuitetea Katiba
10 years ago
Mwananchi20 Aug
Rasimu ya Warioba ‘yachanwachanwa’
11 years ago
Tanzania Daima02 Mar
Rasimu ya Warioba kuizika Zanzibar?
WAKATI Tume ya Mabadiliko ya Katiba ya Jaji Joseph Warioba ikikaribia kumaliza kazi yake na kuwasilisha mapendekezo yake mbele ya Bunge Maalumu la Katiba, wasiwasi umeanza kujitokeza kwa Katiba ya...
11 years ago
Habarileo12 Mar
Wasira aipinga rasimu ya Warioba
MJUMBE wa Bunge la Katiba, Steven Wasira ameishutumu rasimu ya katiba ya Tume ya Marekebisho ya Katiba juu ya mfumo wa muungano wa serikali tatu kuwa si maoni ya wananchi ndio maana Chama Cha Mapinduzi kinapinga mfumo huo.
10 years ago
Habarileo25 Sep
'Rasimu imezingatia ya Tume ya Warioba'
RASIMU ya Katiba Inayopendekezwa, kwa sehemu kubwa imezingatia Rasimu ya Pili ya Katiba, iliyotolewa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba.
10 years ago
Mwananchi30 Aug
Rasimu ya Warioba sasa mifupa mitupu
10 years ago
Tanzania Daima26 Sep
Korti: Bunge lizingatie rasimu ya Warioba
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imelitaka Bunge Maalumu la Katiba kuandika na kupitisha vipengele kwa kuzingatia rasimu iliyowasilishwa bungeni na Tume ya Mabadiliko ya Katiba chini ya Jaji...
10 years ago
Mtanzania02 Sep
Sitta azidi kuinanga rasimu ya Jaji Warioba
![Samuel Sitta](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Samuel-Sitta.jpg)
Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba ambaye pia ni Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta
MAREGESI PAUL NA RACHEL MRISHO, DODOMA
MWENYEKITI wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, ameendelea kusisitiza kuwa rasimu ya Katiba mpya iliyosimamiwa na Jaji Joseph Warioba imejaa kasoro.
Kutokana na hali hiyo, amesema Bunge Maalumu la Katiba limelazimika kuiboresha kwa kuwa kila kitu kinachoandikwa na binadamu hakiwezi kuwa sahihi.
Sitta alitoa kauli hiyo mjini hapa jana, alipokuwa akipokea...
11 years ago
Mwananchi15 Jun
TUCTA: Bunge liheshimu Rasimu ya Jaji Warioba