Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Warsha ya mpango kazi wa huhuhisha masuala ya maadiliko ya Tabianchi

_DSC0202

Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Angelina Madete akifungua Warsha ya kukamilisha Mpango kazi wa kuhuhisha masuala ya Mabadiliko ya Tabianchi katika maeneo ya Pwani ya Dar es Salaam. Warsha hiyo ya siku mbili inafanyika katika Hotel ya Stella Maris, Bagamoyo na inahusisha wadau kutoka Vyuo Vikuu, wadau wa maendeleo na Manispaa za Dar es Salaam.

_DSC0207

Mratibu wa Mradi wa Kuhimili Mabadiliko ya Tabianchi katika maeneo ya pwani ya Dar es Salaam Mhandisi Ladislaus Kyaruzi (kulia)...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Tanzania kushirikiana na ufaransa katika masuala ya mabadiliko ya Tabianchi

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira, Mheshimiwa Dr Bilinith Mahenge (wa kwanza kushoto)akizungumza na Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania Bwana Marcel Escure (pili kushoto), jinsi Tanzania itakavyoweza kushirikiana na Ufaransa katika kukabiliana na masuala ya mabadliko ya Tabianchi na watakavyofanyakazi kwa pamoja. Wa pili kulia ni Msaidizi wa Balozi wa Ufaransa Bwana Frangois Leonardi na ( wa kwanza kulia) ni Mkurungenzi Msaidizi wa Idara ya Mazingira Richard...

 

10 years ago

Michuzi

WARSHA YA SIKU MBILI YA MASUALA YA MAAFA YAFUNGULIWA MKOANI MTWARA

Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Bw. Wilman Ndile afungua Warsha ya Siku Mbili Wilayani Mtwara kuhusu “Mpango wa Kujikinga, Kukabiliana na Kuzuia athari za Maafa kwa Wilaya ya Mtwara leo tarehe 26 na 27 Septemba, 2014.
Wakati wa ufunguzi huo Bw. Ndile alisema Mpango huu utasaidia sana pindi maafa yatakapotokea na kuwaomba washiriki wa warsha hiyo kutoka Manispaa na Halmashauri ya Wilaya hiyo kushiriki vema katika mafunzo na kuchangia masuala hayo ili kuweza kukamilisha mpango huo ...

 

11 years ago

Michuzi

WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI WAKUTANA KUANDAA MPANGO KAZI NA MPANGO WA MANUNUZI KWA MWAKA WA FEDHA 2014/2015

Baadhi ya Viongozi wa Idara za Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi wanaohudhuria kikao cha kuandaa Mpango Kazi na Mpango wa Manunuzi wa Wizara hiyo katika Chuo cha Kanda cha Uhamiaji mjini Moshi, (toka kulia) Kamishna wa Utawala na Fedha wa Jeshi la Magereza, Gaston Sanga, Kamishna wa Fedha na Lojistiki wa Jeshi la Polisi, Clodwig Mtweve, Kamishna wa Urekebishaji wa Jeshi la Magereza, Deonice Chamulesile na Mrakibu Msaidizi wa Jeshi la Polisi, Juma Mohamed.    Maafisa wa Wizara ya...

 

10 years ago

Michuzi

WARSHA KATIKA HOTEL YA GOLD CREST JIJINI MWANZA KWA AJILI KUHAMASISHA NA KUJENGA UWEZO WA KUJUMUISHA MASUALA YA VIJANA KATIKA MIPANGO YA MAENDELEO YA MKOA NA WILAYA

Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango kwa kushirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya Watu (UNFPA) Tanzania, wameandaa warsha ya kuhamasisha na kujenga uwezo kwa watumishi wa Mkoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa kuhusu kujumuisha masuala ya vijana katika mipango ya Mkoa na wilaya.
Warsha hiyo inafanyika katika vituo vya Mwanza na Musoma. Katika kituo cha Mwanza warsha inafanyika tarehe 8 na 9 Juni 2015, kituo ambacho kinajumuisha Sekretarieti ya Mkoa na Halmashauri za mikoa ya Mwanza,...

 

11 years ago

Michuzi

UFUNGUZI WA WARSHA YA KUJENGA UELEWA WA WADAU KUHUSU MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI — TASAF AWAMU YA TATU MKOANI KATAVI

 Meneja Uratibu kutoka TASAF Makao Makuu Tunu Munthali (aliyesimama) akiwasilisha kwa Mkuu wa Mkoa wa Katavi Dkt. Rajab Rutengwe (wa kwanza kulia) salaam za Mkurugenzi mtendaji wa TASAF Bw. Ladislaus Mwamanga. 
Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Dkt. Rajabu Rutengwe akihutubia washiriki wa Warsha ya kujenga uelewa wa wadau kuhusu mpango wa kunusuru Kaya maskini – TASAF awamu ya tatu Mkoani Katavi . Hawa nao ni sehemu ya washiriki wa warsha hiyo inayoshirikisha watendaji mbalimbali wa ngazi ya...

 

11 years ago

Michuzi

BALOZI KAMALA AKUTANA NA NAIBU KATIBU MKUU WA MASUALA YA MASUALA YA SIASA NA MAENDELEO YA JAMII WA SEKRETARIETI YA ACP

Balozi wa Tanzania BELUX, Jumuiya ya Ulaya na Mwenyekiti wa Kamati ya Mabalozi wa ACP Dr. Diodorus Buberwa Kamala akiwa katika picha ya pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa Sekretarieti ya ACP anayesimamia masuala ya siasa na maendeleo ya jamii Mhe. Michele Dominique Raymond. Balozi Kamala yuko kwenye ziara ya kukutana na viongozi mbalimbali wa Sekretarieti ya ACP Brussels kwa lengo la kuelewa vyema changamoto zinazokabili ACP na kubaini masuala kipaumbele wakati wa kipindi chake cha uenyekiti...

 

10 years ago

Michuzi

warsha ya siku moja kujadili mpango mkakati wa Maendeleo wa miaka 25 ya benki ya Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania yafanyika jijini Dar

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) Thomas Samkyi akizungumza katika warsha juu ya kujadili mpango wa maendeleo wa taasisi hiyo kwa miaka 25 ijayo. Warsha hiyo ilifanyika hoteli ya Kilimanjaro Hyatt Regency, Dar es Salaam.Mkuu wa Mipango, Sera na Ushirikiano wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania, Francis Assenga akizungumza na wadau katika mkutano huo.Wadau wa sekta ya kilimo, uvuvi na ufugaji wakifuatilia warsha ya mpango wa maendeleo wa miaka 25 wa benki...

 

10 years ago

Michuzi

KAZI NA MAPUMZIKO NDO MPANGO

Kijana ambaye jina lake halikufahamika mara moja akiwa katika mapumziko juu ya kifaa chake cha kazi kama alivyo kutwa mapema leo na kamera ya Globu ya Jamii  jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

Habarileo

Makonda atangaza mpango kazi wake

Paul MakondaMKUU wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda ameweka wazi mpango kazi wake baada ya kukaa ofisini kwa siku tatu tangu kuapishwa kushika wadhifa huo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani