WARSHA YA UANDISHI FILAMU KUFANYIKA ZIFF

Maisha Lab ya Uganda wametangaza kuwa warsha yao nyingine itafanyika Zanzibar wakati wa ZIFF 2015 mwezi Julai kuanzia tarehe 18 hadi 25. Maombi toka kwa wanaotaka kushiriki katika warsha hii yameanza kupokewa na mwisho wa maombi ni tarehe 13 Juni.
Warsha za Maisha Lab zimekuza vipaji vya waandishi wa filamu na wakurugenzi wa filamu wengi hapa Afrika Mashariki. Tayari warsha hizo zimefundisha zaidi ya watu 1000 tangu Maisha Lab ianzishwe. Mkurugenzi wa Maisha Lab aliyeko Kampala Uganda...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog18 May
Maisha Lab kuendesha warsha ya Uandishi wa filamu kwenye tamasha la ZIFF mwaka huu
NA ANDREW CHALE, MODEWJI BLOG
Tayari Maisha Lab ya Uganda wametangaza kupokea maombi ya wanaotaka kushiriki katika warsha maalum ya uandishi wa filamu itakayofanyika visiwani Zanzibar wakati wa tamasha la Filamu za Nchi za Majahazi maarufu kama ZIFF, kuanzia tarehe 18 hadi 25.
Hata hivyo, maombi toka kwa wanaotaka kushiriki katika warsha hii yameanza kupokewa na mwisho wa maombi ni tarehe 13 Juni, mwaka huu.
Warsha za Maisha Lab zimekuza vipaji vya waandishi wa filamu na wakurugenzi wa...
10 years ago
Michuzi
ZIFF YAWAKUMBUSHA WADAU WA FILAMU NCHINI KUWASILISHA FILAMU ZAO

"Kama wewe ni Mtanzania na unataka kuwasilisha filamu yako basi wasiliana na Ibra Mitawi +255 713 300997 au +255 783 300997 au mnaweza kutuma ofisini Zanzibar moja kwa moja, hatutapokea filamu yeyote baada ya tarehe hiyo".
Tunaomba pia mjaribu kuweka filamu ikiwa ndani ya DVD moja na si...
11 years ago
Dewji Blog22 Jun
Warsha ya kuwajengea uwezo wanahabari kuhusu uandishi wa habari za kitakwimu yafanyika mkoani Morogoro
Mkurugenzi wa Takwimu za Kijamii wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Morice Oyuke (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari mjini Morogoro leo wakati akifungua Warsha ya siku moja ya kuwajengea uwezo wanahabari kuhusu namna bora ya kuandika habari za kitakwimu. Kulia ni Meneja wa Takwimu za Pato la Taifa, Daniel Masolwa.
Meneja wa Takwimu za Pato la Taifa, Daniel Masolwa (kulia), akitoa mada katika warsha hiyo. Kushoto ni Watakwimu, Stephano Cosmas na Hashim Njowele.
11 years ago
Dewji Blog28 Jul
Bodi ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) yaendesha warsha ya uandishi bora wa tafiti kwa wataalamu wake
Aziz Kilonge Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi Bodi ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) ambaye alikuwa mgeni rasmi wakati wa kufunga warsha ya mafunzo ya uandishi bora wa tafiti ili kukidhi hitaji la msingi la kuhitimu taaluma ya ununuzi na ugavi iliyoratibiwa na kuendeshwa na Bodi ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) kuazia tarehe 21 julai mpaka 25 julai 2014. kwenye ukumbi wa baraza la maaskofu TEC-Kurasini jijini Dar es salaam akiwa katika picha ya pamoja na wakufunzi, washiriki...
11 years ago
MichuziWARSHA YA KUWAJENGEA UWEZO WAANDISHI WA HABARI KUHUSU UANDISHI WA HABARI ZA KITAKWIMU YAFANYIKA MKOANI MOROGORO
WAANDISHI wa Habari nchini wametakiwa kutumia taaluma yao kwa ajili ya kuhamasisha Umma kuhusu umuhimu wa Takwimu.
Wito huo umetolewa na Mkurugenzi wa Takwimu za Kiuchumi Morice Oyuke kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt. Albina Chuwa.mjini Morogoro leo asubuhi wakati akifungua Warsha ya siku moja ya kuwajengea uwezo wanahabari kuhusu namna bora ya kuandika habari za kitakwimu.
"Ninyi wanahabari ni muhimu katika masuala...
11 years ago
GPLWARSHA YA KUWAJENGEA UWEZO WAANDISHI WA HABARI KUHUSU UANDISHI WA HABARI ZA KITAKWIMU YAFANYIKA MKOANI MOROGORO
10 years ago
Vijimambo
ZIFF YATANGAZA FILAMU ZILIZOCHAGULIWA


ZIFF is proud to announce the films in the Official Selection based on a record 419 submissions. The list contains 25 feature films, 44 shorts and 27...
10 years ago
Mtanzania02 Apr
Filamu 419 kushindanishwa Tamasha la ZIFF
NA FESTO POLEA
JUMLA ya filamu 419 zitashindanishwa katika tamasha la Kimataifa la Filamu (ZIFF), lililopangwa kufanyika Julai 18 hadi 26 katika viwanja vya Ngome Kongwe, visiwani Zanzibar.
Kati ya filamu hizo, 25 ni filamu ndefu, 44 ni filamu fupi na 27 ni filamu za makala ‘documentary’.
Filamu hizo zimetoka katika nchi 38 na nyingi zimetoka nchini Ujerumani na kwa mara ya kwanza ZIFF imepokea filamu kutoka nchi ya Jamhuri ya Dominica ya nchi za Karibean.
Mkurugenzi wa tamasha hilo, Prof....
10 years ago
Michuzi.jpg)
ZIFF YATANGAZA FILAMU ZITAZOSHINDANIA TUZO YA SEMBENE OUSMANE
.jpg)
“Shindano hili limetungwa ili kuboresha ufundi wa kutengeneza filamu fupi zinazobuniwa nna vijana wa Kiafrika”, alisema Fabrizio Colombo, Mkurugenzi Msaidizi wa ZIFF. “Filamu 16 zimo katika...
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10