Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ZIFF YATANGAZA FILAMU ZILIZOCHAGULIWA

ZIFF 2015 ANNOUNCES OFFICIAL SELECTION______________________________________________________________________The Zanzibar International Film Festival is the longest running film-festival in East Africa, with global credibility and instant Pan-African recognition. ZIFF 2015 will take place from the 18th – 26th of July 2015 in Stonetown.
ZIFF is proud to announce the films in the Official Selection based on a record 419 submissions. The list contains 25 feature films, 44 shorts and 27...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

ZIFF YATANGAZA FILAMU ZITAZOSHINDANIA TUZO YA SEMBENE OUSMANE

Tamasha la ZIFF limetangaza filamu 16 zitakazoshindana katika kugombea tuzo ya Sembene Ousmane katika tamasha litakalofanyika baadaye mwaka huu. Filamu zinatoka katika nchi 11 ambazo ni pamoja na Marekani, Brazil, Senegal, Madagascar, Ghana, Cameroon, Morocco, Kenya, South Africa, Ethiopia and Tanzania.

“Shindano hili limetungwa ili kuboresha ufundi wa kutengeneza filamu fupi zinazobuniwa nna vijana wa Kiafrika”, alisema Fabrizio Colombo, Mkurugenzi Msaidizi wa ZIFF. “Filamu 16 zimo katika...

 

10 years ago

Michuzi

ZIFF YAWAKUMBUSHA WADAU WA FILAMU NCHINI KUWASILISHA FILAMU ZAO

WADAU wote wa Tasnia ya Filamu nchini,wanakumbushwa kuwa mwisho wa kupokea Filamu kwaajili ya Tamasha la Filamu la Nchi za Jahazi (ZIFF) ni Tarehe 31/01/2015 kwa waandaaji filamu wote wa ndani na nje ya nchi.
"Kama wewe ni Mtanzania na unataka kuwasilisha filamu yako basi wasiliana na Ibra Mitawi +255 713 300997 au +255 783 300997 au mnaweza kutuma ofisini Zanzibar moja kwa moja, hatutapokea filamu yeyote baada ya tarehe hiyo". 
Tunaomba pia mjaribu kuweka filamu ikiwa ndani ya DVD moja na si...

 

10 years ago

Mtanzania

Filamu 419 kushindanishwa Tamasha la ZIFF

Martin_Luther_King_Jr_NYWTSNA FESTO POLEA

JUMLA ya filamu 419 zitashindanishwa katika tamasha la Kimataifa la Filamu (ZIFF), lililopangwa kufanyika Julai 18 hadi 26 katika viwanja vya Ngome Kongwe, visiwani Zanzibar.

Kati ya filamu hizo, 25 ni filamu ndefu, 44 ni filamu fupi na 27 ni filamu za makala ‘documentary’.

Filamu hizo zimetoka katika nchi 38 na nyingi zimetoka nchini Ujerumani na kwa mara ya kwanza ZIFF imepokea filamu kutoka nchi ya Jamhuri ya Dominica ya nchi za Karibean.

Mkurugenzi wa tamasha hilo, Prof....

 

10 years ago

Michuzi

WARSHA YA UANDISHI FILAMU KUFANYIKA ZIFF

Maisha Lab ya Uganda wametangaza kuwa warsha yao nyingine itafanyika Zanzibar wakati wa ZIFF 2015 mwezi Julai kuanzia tarehe 18 hadi 25. Maombi toka kwa wanaotaka kushiriki katika warsha hii yameanza kupokewa na mwisho wa maombi ni tarehe 13 Juni.
Warsha za Maisha Lab zimekuza vipaji vya waandishi wa filamu na wakurugenzi wa filamu wengi hapa Afrika Mashariki. Tayari warsha hizo zimefundisha zaidi ya watu 1000 tangu Maisha Lab ianzishwe. Mkurugenzi wa Maisha Lab aliyeko Kampala Uganda...

 

10 years ago

Mtanzania

ZIFF wafungua pazia waanza kupokea filamu za 2016

???????????????????????????????NA FESTO POLEA

KAMATI ya maandalizi ya Tamasha la Kimataifa la Filamu Zanzibar (ZIFF), imetangaza kuanza kupokea filamu za wasanii mbalimbali kote duniani ili zishindanishwe na kupitishwa kwa ajili ya kuonyeshwa katika tamasha hilo kwa mwakani.

Mkurugenzi wa Tamasha hilo, Prof Martin Mhando, alisema licha ya uwepo wa hofu ya kutokuwepo kwa matamasha makubwa yanayofanyika visiwani Zanzibar, tamasha hilo la 18 lenye kauli mbiu ya ‘Ndiyo hii Safari Yetu’ litafanyika kama kawaida kuanzia Julai 9...

 

10 years ago

Vijimambo

DK.SHEIN ALIZINDUA TAMASHA LA 18 LA KIMATAIFA LA FILAMU LA NCHI ZA JAHAZI ZANZIBAR ( ZIFF )

Wasanii wa Kikundi cha Tausi Kilicho chini ya Gwiji la Sanaa Nchini Bibi Maryam Hamdan kikitoa burdani ya Maulidi ya Homu kwenye uzinduzi wa Tamasha la 18 la Filam la Nchi za Jahazi Zanzibar (ZIFF) hapo Hoteli ya Double Tree By Hilton Shangani Mjini Zanzibar. Mkurugenzi wa Tamasha la Filam la Nchi za Jahazi Zanzibar { ZIFF } Profesa Martin Mhando akitoa neneo la makaribisho kwenye uzinduzi wa Tamasha hilo hapo shangani.
Meneja wa Taasisi ya Kimataifa inayosimamia kukuza vipaji vya...

 

11 years ago

Dewji Blog

Filamu ya Espinho da Rosa “the Thorn of the rose” yatwaa tuzo tatu tamasha la 17 la ZIFF 2014

DSC_0987

Malkia wa Filamu ya Espinho da Rosa (the Thorn of the rose) ya Filipe Henriques kutoka Guinea Bissau ADY  de Batista akiwasili huku akiongozana na Meneja wake Sholey Maqueta kwenye usiku maalum wa tuzo wakati wa tamasha la 17 la ZIFF 2014 lililomalizika mwishoni mwa juma visiwani Zanzibar kwenye viunga vya Ngome Kongwe.

Na Mwandishi wetu, Zanzibar

FILAMU ya Espinho da Rosa (the Thorn of the rose) ya Filipe Henriques kutoka Guinea Bissau imeondoka na tuzo tatu katika tamasha la 17 la filamu...

 

10 years ago

Dewji Blog

Maisha Lab kuendesha warsha ya Uandishi wa filamu kwenye tamasha la ZIFF mwaka huu

oie_1083944smwedxaa

NA ANDREW CHALE, MODEWJI BLOG

Tayari Maisha Lab ya Uganda wametangaza kupokea maombi ya  wanaotaka kushiriki katika warsha maalum ya uandishi wa filamu itakayofanyika visiwani Zanzibar wakati wa tamasha la Filamu za Nchi za Majahazi maarufu kama ZIFF,  kuanzia tarehe 18 hadi 25.

Hata hivyo, maombi toka kwa wanaotaka kushiriki katika warsha hii yameanza kupokewa na mwisho wa maombi ni tarehe 13 Juni, mwaka huu.

Warsha za Maisha Lab zimekuza vipaji vya waandishi wa filamu na wakurugenzi wa...

 

10 years ago

Michuzi

ZIFF KUONESHA filamu ya "I SHOT BI KIDUDE" usiku wa Jumapili Julai 26 Saa 1:15 NGOME KONGWE, Zanzibar

‘Makala ya Kusisimua yenye matukio yenye hisia nzito.’ 

Andy Markowitz, Tovuti ya Muziki wa Filamu Music Film Web

‘Tafakari ya kusisimua ya urafiki usio wa kawaida kati ya Kijana Mtengenezaji wa filamu na diva wa Zanzibar mzee wa miaka 100 Zanzibar diva’ Garth Cartwright - mwandishi, “More Miles Than Money”Umbali mkubwa kuliko fedha”

‘Uwasilishaji wa wa nyota …iliyofifia na kuifanya ing’are upya’ 

Martin Mhando, Mkurugenzi ZIFF

Nilimpiga Picha Bi Kidude “I Shot Bi Kidude”, ni makala mpya ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani