Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WASANII‭ ‬BONGO‭ ‬MOVIES NI NANI ALIYEWAROGA‭?‬

KWENU wasanii wa Bongo Movies‭. ‬Bila shaka mko poa na mnaendelea na mishemishe zenu za mjini kama kawaida‭. ‬Kutokana na ubize wa kazi zenu na zangu‭, ‬leo nimeona bora niwakumbuke kwa barua‭.‬ Mkitaka kujua hali yangu‭, ‬mimi ni mzima wa afya namshukuru Mungu naendelea na majukumu yangu kama kawaida ambapo moja ya majukumu hayo‭, ‬ni hili la kuwaandikia...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

MAONI: Nani Anaandikaga ‘Subtitles’ za Movies za Bongo?

Mwenzenu sikuwahi kuwa na mazoea ya kuangalia movie zetu za hapa nyumbani kwa maana mara nyingi huwa actors wana overdo hadi nikawa naboreka. sasa last weekend kwa kufuata ushabiki wa watoto nikakaa kuangalia, kwa kweli nilikuwa shocked na nikawa nashindwa kuelewa. Kwani ni nani anayewaandikia zile subtitles za kiingereza, halafu it seems ni myu mmoja ndiye huwa anapelekewa kwa jinsi zilivyo.

Ni aibu jamani, kama bado hamjafikia level hiyo ya lugha, acheni tu, wekezeni zaidi kwenye...

 

9 years ago

Bongo Movies

Filamu ya ‘Going Bongo’ Mzuka

ILE Filamu kubwa ya Going Bongo imepokelewa vizuri na wapenzi wa filamu kwa kukusanya watu wengi wakiwemo wasanii nyota kutoka viunga vya Bongo sinema hiyo ambayo imerekodiwa katika kiwango cha kimataifa ilirushwa katika ukumbi wa sinema wa Cinemax Mlimani City na kuteka watazamaji.

Ernest akiwa katika moja ya scene ya filamu ya Going bongo

Ernest akiwa katika moja ya scene ya filamu ya Going bongo

Mmoja wa wasanii nyota katika vichekesho Masanja Mkandamizaji alisifia ubora wa sinema hiyo na kusema sasa Tanzania imepiga hatua katika utengenezaji wa...

 

9 years ago

Bongo5

Kuoneshwa kwa ‘Going Bongo’ kwenye majumba ya sinema Tanzania kutaandika historia muhimu – Ernest Napoleon

Ernest Kuonyeshwa_4

Muigizaji wa filamu ya Going Bongo, Ernest Napoleon anaamini kuwa kuoneshwa kwa filamu ya Going Bongo kwenye majumba ya sinema nchini kutaandika historia muhimu kwenye tasnia ya filamu ya Tanzania.

Napoleon amedai kuwa uoneshwaji wa filamu kwenye majumba ya sinema ndio msingi wa mafanikio kwa soko la filamu katika nchi zilizoendelea.

Filamu yake ya Going Bongo itaanza kuoneshwa December 11, kwenye ukumbi wa sinema wa Century Cinemax uliopo Mlimani City jijini Dar es Salaam.

“Tunajaribu...

 

10 years ago

Mwananchi

NANI NI NANI URAIS: Peter Mziray, Rais Mtendaji APPT-Maendeleo

Historia yake Peter Mziray ni Rais Mtendaji wa Chama cha APPT Maendeleo, Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa na kitaaluma ni mtaalamu wa mifugo na uchumi wa kilimo.

 

10 years ago

Mwananchi

NANI NI NANI URAIS: Fahmi Dovutwa: Mwenyekiti wa chama cha UPDP

Historia yake Fahmi Nasoro Dovutwa ni Mwenyekiti wa kitaifa wa Chama cha United Peoples Democratic Party (UPDP). Alizaliwa Februari 27, 1957 mjini Kisarawe mkoani Pwani (Amefikisha miaka 58 Februari mwaka huu).

 

10 years ago

Mwananchi

NANI NI NANI URAIS: Profesa Ibrahim Lipumba: Mwenyekiti wa CUF

Ibrahim Lipumba ni mchumi wa kimataifa na Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF). Alizaliwa Juni 6, 1952 katika Kijiji cha Ilolangulu mkoani Tabora.

 

10 years ago

Mwananchi

NANI NI NANI URAIS: DK Willibroad Slaa: Katibu Mkuu wa Chadema

Historia yake Dk Willibrod Slaa ni Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Slaa alizaliwa Oktoba 29, 1948 kijijini Kwermusi, Wilaya ya Mbulu (Oktoba atafikisha umri wa miaka 67). Slaa alisoma Shule ya Msingi Kwermusi iliyoko wilayani Mbulu mwaka 1958-1961 na baadaye Shule ya Kati (Middle School) ya Karatu kati ya mwaka 1962-1965.

 

10 years ago

Mwananchi

9 years ago

Mwananchi

NANI NI NANI SERIKALI YA JPM: Dk Ashatu Kijaji – Naibu Waziri Fedha na Mipango

Dk Ashatu Kijaji ndiye Naibu Waziri wa Fedha na Mipango katika Serikali ya Awamu ya Tano, ameteuliwa katika baraza la mawaziri la mwanzo la Rais John Pombe Magufuli. Kiongozi huyu mwanamama na kijana ameteuliwa katika nafasi hii kwa kuwa yeye ni mbunge wa kuchaguliwa kutoka jimbo la Kondoa Vijijini liliko mkoani Dodoma. Kabla hajawa mbunge Kijaji amekuwa mhadhiri wa Chuo Kikuu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani