Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Filamu ya ‘Going Bongo’ Mzuka

ILE Filamu kubwa ya Going Bongo imepokelewa vizuri na wapenzi wa filamu kwa kukusanya watu wengi wakiwemo wasanii nyota kutoka viunga vya Bongo sinema hiyo ambayo imerekodiwa katika kiwango cha kimataifa ilirushwa katika ukumbi wa sinema wa Cinemax Mlimani City na kuteka watazamaji.

Ernest akiwa katika moja ya scene ya filamu ya Going bongo

Ernest akiwa katika moja ya scene ya filamu ya Going bongo

Mmoja wa wasanii nyota katika vichekesho Masanja Mkandamizaji alisifia ubora wa sinema hiyo na kusema sasa Tanzania imepiga hatua katika utengenezaji wa...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WASANII‭ ‬BONGO‭ ‬MOVIES NI NANI ALIYEWAROGA‭?‬

KWENU wasanii wa Bongo Movies‭. ‬Bila shaka mko poa na mnaendelea na mishemishe zenu za mjini kama kawaida‭. ‬Kutokana na ubize wa kazi zenu na zangu‭, ‬leo nimeona bora niwakumbuke kwa barua‭.‬ Mkitaka kujua hali yangu‭, ‬mimi ni mzima wa afya namshukuru Mungu naendelea na majukumu yangu kama kawaida ambapo moja ya majukumu hayo‭, ‬ni hili la kuwaandikia...

 

10 years ago

Michuzi

Bodi ya Filamu Nchini yatoa wito kwa wamiliki wa Filamu kuweza kuwasilisha Filamu.

Lorietha Laurence -Maelezo.
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu , Joyce Fisoo  ametoa wito kwa kampuni za Filamu nchini kuwasilisha filamu zao ili ziweze kuhakikiwa na kulipiwa  kwa kupata kibali cha kuingia sokoni  kama sheria ya filamu ya mwaka 1976 kifungu namba 4 inavyoeleza.
Akizungumza  katika ofisi za Bodi leo jijini Dar es Salaam, Fisoo ameipongeza  kampuni ya Al-Riyamy Production  ambayo imeweza kutimiza wajibu wake na kulipia filamu 134 ambazo zimepata kibali cha kupatiwa stamp za  TRA...

 

9 years ago

Bongo5

Kuoneshwa kwa ‘Going Bongo’ kwenye majumba ya sinema Tanzania kutaandika historia muhimu – Ernest Napoleon

Ernest Kuonyeshwa_4

Muigizaji wa filamu ya Going Bongo, Ernest Napoleon anaamini kuwa kuoneshwa kwa filamu ya Going Bongo kwenye majumba ya sinema nchini kutaandika historia muhimu kwenye tasnia ya filamu ya Tanzania.

Napoleon amedai kuwa uoneshwaji wa filamu kwenye majumba ya sinema ndio msingi wa mafanikio kwa soko la filamu katika nchi zilizoendelea.

Filamu yake ya Going Bongo itaanza kuoneshwa December 11, kwenye ukumbi wa sinema wa Century Cinemax uliopo Mlimani City jijini Dar es Salaam.

“Tunajaribu...

 

10 years ago

Vijimambo

BODI YA FILAMU TANZANIA YAZITAKA KAMPUNI ZA FILAMU KUZINGATIA SHERIA NA KANUNI ZA FILAMU.

Katibu Bodi ya Filamu Tanzania, Bi. Joyce Fissoo akiongea na wahusijka wa Kampuni ya Kajala Entertainment wakati alipofanya nao mkutano leo ofisini kwake jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuwapa Sheria na Kanuni zilizokiukwa katika filamu ya Mbwa Mwitu.Mkurugenzi wa Kampuni ya Kajala Entertainment, Kajala Masanja akijitetea mbele ya Katibu wa Bodi ya Filamu Tanzania wakati aliitikia wito wa Ofisi ya Bodi hiyo leo jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuelezwa juu ya Sheria na Kanuni zilizokiukwa...

 

11 years ago

GPL

MWIGULU, RIDHIWANI KIKWETE MZUKA 100%

Stori: Gladness Mallya KWELI raha jipe mwenyewe! Usemi huo ulidhihirika wikiendi iliyopita ndani ya Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kwenye Tamasha la Usiku wa Matumaini (Night of Hope) ambapo wabunge mashabiki wa Yanga walikipiga na wabunge mashabiki wa Simba na kutia fora kwa kushangiliwa wakati wa mtanange huo. Katika mchuano huo, wabunge wa Yanga waliwagaragaza wa Simba kwa mabao 3-2 hali iliyosababisha uwanja ulipuke kwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Kiungo Pogba atakiwa kutuliza mzuka

Kiungo wa Ufaransa na klabu ya Juventus, Paul Pogba ametakiwa kuwa mtulivu katika michezo yote iliyobaki ya fainali za Kombe la Dunia nchini Brazil.

 

9 years ago

Raia Mwema

ItakuwajeWatanzania wote tukiwa na mzuka wa Magufuli?

NAPENDA sana jinsi Dk. John Magufuli, Rais mpya alivyaonza kazi kwa nguvu.

Njonjo Mfaume

 

10 years ago

Vijimambo

CHAMA CHA WASAMBAZAJI WA FILAMU TANZANIA WASITISHA KUKUNUNUA STIKA ZA TRA NA KUPELEKA FILAMU ZAO BODI YA FILAMU KWAAJILI YA KUFANYIWA UKAGUZI

 Mwenyekiti wa kikosi kazi kutoka chama cha wasambazaji wa filamu Tanzania,Bw Moses Mwanyilu akionyesha baadhi ya filamu ambazo zinauzwa nchini bila kupata kibali kutoka bodi ya filamu Tanzania na kutokuwa na stika za ushuru za Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wakati wa mkutano na waandishi wa habari wakielezea changamoto zao kuhusiana na filamu za kitanzania kulazimishwa kukaguliwa na bodi ya filamu na kuwekwa stika za TRA ilhali filamu za nje hazifanyiwi hivyo na kupelekea filamu za...

 

11 years ago

Mwananchi

Kili Stars ‘full’ mzuka kwa Kenya

Kikosi cha Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ kinashuka kwenye Uwanja wa Kenyatta mjini Machakos leo kwa lengo moja tu la kusaka ushindi dhidi ya wenyeji Kenya katika nusu fainali ya kwanza ya Kombe la Chalenji.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani