Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WASANII KUTUMIKA KUELIMISHA UMMA MENEJIMENTI YA MAAFA

Mkurugenzi wa Idara ya Uratibu Maafa, Ofisi ya Waziri Mkuu, Brig. Jen. Mbazi Msuya (mwenye tai) akishuhudia, Salma Juma akikabidhiwa Kizima moto kilichonunuliwa na washiriki wa mafunzo ya menejimenti ya maafa wa Ofisi hiyo mjini Dodoma tarehe, 21 Juni, 2015, Kwa lengo la kuhamasisha watumishi wa Ofisi hiyo kukabili majanga ya moto.Askari wa Jeshi la Zima moto nchini, Josephat John akieleleza matumizi ya Kizimamoto wakati wa mafunzo ya menejimenti ya maafa kwa watumishi wa Ofisi ya Waziri...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

OFISI YA WAZIRI MKUU IDARA YA MAAFA --YATOA MAFUNZO YA MENEJIMENTI YA MAAFA

Baadhi ya Wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakifanya zoezi la kuzima moto baada ya mafunzo ya kujiandaa na kukabiliana na dharura ya moto Juni 4, 2015 katika Ukumbi wa Baraza la Maaskofu Dar es Salaam.Baadhi ya Wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakimsikiiza Mkufunzi wa masuala ya kujikinga na dharura ya moto kutoka Chuo cha Zima moto Bw. Rajabu Mwangalamo wakati wa Mafunzo ya Menejimenti ya Maafa yaliyofanyika Baraza la Maaskofu Kurasini Dar es Salaam Juni 4, 2015.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

Michuzi

KAMATI ZA MAAFA ZA TAKIWA KUTIMIZA WAJIBU WAO WA MENEJIMENTI YA MAAFA


Kaimu Katibu Tawala mkoa wa Kagera, Fikira Kisimba (katikati)
akifuatilia mafunzo ya menejimenti ya maafa wakati wa mafunzo kwa
waratibu maafa mkoani Kagera tarehe 24 Juni, 2015, (mwenye miwani) ni
Mkurugenzi msaidizi (Mipango na Utafiti), Idara ya Uratibu maafa Ofisi
ya Waziri Mkuu, Naima Mrisho.Mwakilishi wa  Mkuu wa Polisi wilaya ya Bukoba, Mkaguzi John Kayunga
akifafanua masuala ya menejimenti ya maafa katika Jeshi la Polisi
mkoani Kagera wakati wa  mafunzo ya menejimenti ya maafa kwa...

 

11 years ago

Michuzi

OFISI YA RAIS, MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA YAKUTANISHA WADAU KUTOA MAONI KUHUSU MIKATABA YA UTENDAJI KAZI KATIKA TAASISI ZA UMMA

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. George D. Yambesi akifungua mkutano wa wadau kuhusu Mikataba ya Utendaji Kazi katika Taasisi za Umma katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam. Mkutano huo uliandaliwa mahsusi ili wadau waweze kufahamu mambo muhimu juu ya Mfumo wa Mikataba ya Utendaji Kazi hususan chimbuko, maana na faida zake, mambo ya msingi yatakayofanikisha utekelezaji wa mfumo huo, fomu ya mkataba wa utendaji kazi na vipengele vyake, vigezo vya upimaji...

 

10 years ago

Michuzi

KILIMANJARO WAPATA MAFUNZO YA MENEJIMENTI YA MAAFA YA UKAME

Katibu Tawala Mkoa wa Kilimanjaro, Severin Kahitwa akisisitiza jambo wakati wa mafunzo ya Menejmenti ya maafa kwa waratibu maafa mkoani humo yanayoendelea wilayani Hai, mafunzo hayo yanaratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu Idara ya Uratibu maafa kwa Ufadhili wa UNICEF kupitia mradi wa kuijengea jamii uwezo wa kukabili maafa yatokanayo na ukame. Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya Menejmenti ya maafa yatokanayo na ukame kutoka katika Halmashauri za wilaya ya Same, Hai na Mwanga mkoani Kilimanjaro...

 

5 years ago

Michuzi

MAWAZIRI WENYE DHAMANA YA MENEJIMENTI YA MAAFA KWA NCHI ZA SADC KUKUTANA ZANZIBAR


Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe. Mohamed Aboud Mohamed akizungumza na Waandishi wa habari kuhusu Mkutano wa kwanza wa Kamati ya Mawaziri wenye dhamana ya masuala ya Menejimenti ya  Maafa kwa Nchi Wanachama  Jumuiya ya MaendeIeo Kusini mwa Afrika, tarehe 16 Februari, 2020, Ukumbi wa Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC) Mnazi mmoja.Mkurugenzi Mtendaji wa Kamisheni ya Kukabiliana na Maafa, Zanzibar, Makame Khatibu Makame akitoa Ufafanuzi kwa Waandishi...

 

10 years ago

Michuzi

Wataalam Ngazi ya Kata kutumika kupunguza Athari za Maafa ya Ukame

Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu, Idara ya Uratibu wa Maafa imesema itawatumia Wataalam waliopo katika Ngazi ya Kata katika Mradi wa kuzijengea uwezo jamii wa kuzuia, kupunguza na kukabiliana na maafa yanayotokana na ukame. Kauli mbiu ya Mradi huo ni “Athari za Ukame Zinapunguzika, Jamii ikielimishwa.”
Akiongea wakati wa Mafunzo juu ya Utekelezaji wa Mradi huo kwa Wataalam wa Sekta ya Kilimo, Mifugo, Afya, Elimu na Utawala wa kata ya Hedaru, Makanya na Vunta, Wilayani Same,...

 

5 years ago

Michuzi

THBUB,IRELAND KUELIMISHA UMMA KUHUSU HAKI ZA BINADAMU



 Balozi wa Ireland nchini Tanzania, Paul Sherlock (wa pili kushoto) akijadiliana jambo na Mwenyekiti wa THBUB, Jaji Mstaafu Mathew Mwaimu (katikati) muda mfupi baada ya kikao chao katika ofisi za ubalozi huo jijini Dar es Salaam. Wa kwanza kulia ni   Aran Corrigan, Mtaalamu Mwandamizi wa Jinsia na Utawala Bora wa ubalozi wa Ireland, na wa pili...

 

5 years ago

Michuzi

THBUB, Ireland kuelimisha umma kuhusu haki za binadamu

 Balozi wa Ireland nchini Tanzania, Paul Sherlock (kulia) akimkaribisha Mwenyekiti wa THBUB, Jaji Mstaafu Mathew Mwaimu (kushoto) muda mfupi baada ya kuwasili katika ofisi za ubalozi huo jijini Dar es Salaam. Mwenyekiti wa THBUB, Jaji Mstaafu Mathew Mwaimu(wa nne kutoka kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyeji wake Balozi wa Ireland nchini Tanzania, Paul Sherlock ( wan ne kutoka kulia). Wengine ni Viongozi wa THBUB na Maafisa wa Ubalozi wa Ireland. Balozi wa Ireland nchini Tanzania,...

 

9 years ago

Michuzi

MHE. JENISTA AAGIZA KAMATI ZA MENEJIMENTI YA MAAFA NCHINI KUWATAKA WANAOISHI KWENYE MAENEO HATARISHI KUHAMA MARA MOJA

Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira, Kazi na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama (Mb) akitoa maagizo ya utekelezaji kwa Kamati za maafa katika ngazi zote nchini kuhusu tahadhari ya uwezekano wa kuwepo kwa mvua za El- Nino tarehe 22 Desemba,2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.)

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani