Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wasanii na Kilio kutokupata watoto

jAY DEeRay cNA RHOBI CHACHA
MWANAMKE ili apate mimba ni lazima awe na sifa za kupata ujauzito na ili mwanamume aweze kumpa mwanamke mimba ni lazima awe na sifa za kumpa mwanamke mimba.
Kama ikitokea mmoja akawa na sifa za kumpa mwenzake mimba na mwingine kupata mimba hapo hakuna tatizom lakini kama mmoja anashindwa kumpa ama mwingine anashindwa kupata mimba hapo kuna tatizo linalohitaji ushauri na uchunguzi wa daktari.
Tatizo hilo lipo kwa wengi, kama lilivyowahi kuripotiwa na baadhi ya wasanii wa fani...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

10 years ago

GPL

SABABU ZA TATIZO LA KUTOKUPATA MIMBA-2

Leo nitaelezea matibabu na ushauri kwa wanandoa wanaokabiliwa na tatizo la mama kutopata mimba. Miongoni mwa mambo wanayopaswa kuelezwa  wanandoa hao ni kuwapa uzoefu kuhusiana na afya ya uzazi na jinsi ujauzito unavyoweza kupatikana na hatimaye kupata mtoto.
 Pia kuona jinsi ya  kuunganisha familia na kujenga familia bora kama itashindikana kupata mtoto bila mume kumtenga mke au mke kumtenga mume. Kutumia muda mwingi...

 

11 years ago

GPL

HAPPINESS MAGESE: NATESEKA KUTOKUPATA MTOTO

JINA lake kamili anajulikana kama Happiness Millen Magese. Ni mshindi wa Shindano la Miss Tanzania Mwaka 2001. Miss Tanzania Mwaka 2001, Happiness Millen Magese akijibu maswali ya waandishi wa Global (hawapo pichani).  Happiness Magese (35), alikuwa akifanya kazi zake za uanamitindo nchini Afrika Kusini chini ya Kampuni ya Ice Model Management na alikaa huko kwa miaka nane kabla hajahamia katika Jiji la New York, nchini...

 

10 years ago

Mwananchi

Wasanii watoto hamuwaoni?

Rudisha akili nyuma miaka ya 70, 80, wakati watoto walikuwa wanajumuika pamoja na kubadilishana mawazo kupitia michezo, hapa walikuwa wanajulikana wakali wa kuimba, kucheza na vipaji vingine.

 

10 years ago

GPL

WASANII WATOA MISAADA KWA WATOTO YATIMA

Mponji akiwakabidhi watoto zawadi. Wasanii Kizibo wa kundi la Uaridi (mwenye tisheti nyekundu) akiwa na mwenzake wakibeba baadhi ya vifaa vya zawadi muda mfupi kabla ya kukabidhi.
Baadhi ya vitu hivyo vilivyotolewa zawadi.…

 

10 years ago

Bongo Movies

Wasanii Watakiwa Kukumbuka Watoto Wenye Mahitaji Maalum

Afisa Habari wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) Aristides Kwizela (Kushoto) akifuatilia burudani zilizokuwa zikitolewa na watoto wanaondaliwa na Baraza hilo kupitia programu ya ‘Sanaa kwa Watoto’ wakati wakitumbuiza kwenye Jukwaa la Sanaa la BASATA mapema wiki hii. Watoto hao wanatoka shule ya Msingi ya Msimbazi iliyoko Ilala jijini Dar es Salaam. Katikati ni Msanii wa filamu Honeymoon Mohamed na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Utafiti na Stadi za wasanii Bi. Vick Temu.

Katibu Mtendaji wa...

 

10 years ago

Michuzi

WASANII WATAKIWA KUWAKUMBUKA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM

Na Mwandishi Wetu
Wasanii nchini wametakiwa kurejesha kwa jamii sehemu ya faida wanayoipata kupitia kazi zao za Sanaa kwa kuwakumbuka watoto wenye mahitaji maalum ili kujijengea mtandao wa kudumu wa masoko, uhalali na taswira nzuri kwa jamii.
Wito huo umetolewa mapema wiki hii na mtengeneza filamu wa Tanzania mwenye makazi yake nchini Marekani Bi. Honeymoon Mohamed wakati akiwasilisha mada kuhusu Filamu za Kitanzania na Masoko kwenye programu ya Jukwaa la Sanaa inayoandaliwa na Baraza la Sanaa...

 

10 years ago

Mwananchi

UCHAMBUZI: Kwa nini wasanii wetu wengi ni watoto?

>Mambo ya kitoto, mtoto kumfanyia mtoto mwenzake, tunasema watoto wanacheza lakini mambo ya kitoto, mtu mzima kumfanyia mtu mzima mwenzake kuna walakini hapo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani