Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wasanii wafumwa wakivunja amri ya sita

WASANII wa filamu wa kundi la Hamadombe la jijini Dar es Salaam, Moses Mfaume ‘Zahilo’ na Rukia Shaban ‘Kendy’, mwanzoni mwa wiki hii walikula kichapo baada ya kufumaniwa wakifanya ngono...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

OFM KAZINI...WANASWA WAKIVUNJA AMRI YA SITA SALUNI!

Wawili hao walivyokutwa wakifanya tendo hilo la aibu. Chande Abdallah na Issa Mnally DUNIANI kuna mambo! Wakati saluni za masaji (massage therapy) zikiendelea kuanzishwa kila kukicha katika Jiji la Dar kwa lengo la kutoa huduma ya kitabibu, ‘kama kawa’, kile kikosi maalum cha Oparesheni Fichua Maovu ‘OFM’ cha Global Publishers kimevumbua mazito, twende pamoja. Ni Jumanne iliyopita, majira ya mchana wa jua kali, OFM kwa...

 

11 years ago

GPL

AIBU NZITO MBOMGO FLEVA ANASWA AKIVUNJA AMRI YA SITA!

Stori: ISSA MNALLY NA RICHARD BUKOS
Aibu nzito! Msanii chipukizi wa Bongo Fleva, Venas John Bebu ‘Bebuz’ amenaswa laivu akivunja amri ya sita (kuzini) na mwanafunzi wa sekondari ufukweni. Msanii chipukizi wa Bongo Fleva, Venas John Bebu ‘Bebuz’ afumwa akivunja amri ya sita ufukweni Tukio hilo la aibu lilijiri wiki iliyopita mishale ya saa 8:00 usiku kwenye Ufukwe wa Coco, Dar ambapo polisi jamii...

 

11 years ago

GPL

WAFUMWA!

Stori: WAANDISHI WETU
AMA kweli shetani anafanya hesabu zake za mwisho! Tangu mwaka 2014 uanze yapo yaliyotokea na kusisimua likiwemo la kunaswa kwa kinara wa utoaji mimba, Dk. Mambo, maeneo ya Kawe, Dar lakini hili la warembo kufumwa wakitoa dozi ya ngono linaweka historia nyingine, Ijumaa linaibumburua. Warembo wanaotoa huduma wakiwa wameficha sura zao baada ya kunaswa na OFM. Hebu sikia, saluni inayojihusisha na vitendo vya...

 

10 years ago

Bongo5

Nikki wa pili afanya collabo ya wasanii sita, Vanessa Mdee , Joh Makini, Jux, Nahreel, Aika na G-Nako

Nikki Wa Pili kutoka Weusi ameingia studio kufanya wimbo mpya ambao amewashirikisha wasanii sita. Wasanii walioshirikishwa kwenye wimbo huo ambao unafaywa kwenye studio ya The Industry ya producer Nahreel, ni Vanessa Mdee , Joh Makini, Jux, Nahreel, Aika na G-Nako. Kupitia Instagram Aika Marealle wa kundi la Navy Kenzo amerepost picha wakiwa studio na kuandika, […]

 

10 years ago

Michuzi

Ligi Daraja la Pili kuanza Oktoba 7, kuchezwa makundi manne ya timu sita sita nyumbani na ugenini

Kwa kuzingatia marekebisho ya Kanuni ya Ligi Daraja la Pili (SDL) yaliyofanywa na Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) hivi karibuni, SDL kwa msimu wa 2015/2016 itachezwa katika makundi manne ya timu sita sita kwa mtindo wa nyumbani na ugenini.
Timu itakayoongoza kundi itacheza Ligi Daraja la Kwanza (FDL) msimu wa 2016/2017 wakati ya mwisho katika kila kundi itarudi kucheza Ligi ya Mkoa wake kwa msimu wa 2016/2017. Makundi ya SDL ni kama ifuatavyo; Kundi A ni...

 

10 years ago

Habarileo

Mwanafunzi wa darasa la sita abakwa na watu sita

MWANAFUNZI wa darasa la sita mwenye umri wa miaka 13 wa shule ya msingi ya Themi iliyopo jijini Arusha mkoani Arusha hali yake siyo nzuri baada ya kunajisiwa na watu sita.

 

10 years ago

Raia Mwema

Ilikuwa hafla ya ghafla kwa ajili ya wasanii kuwaaga wasanii wakongwe

Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.

Hidaya

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani