Wasanii wakamia kivingine Tamasha la Matumaini 2014
AGOSTI 8, Uwanja wa Taifa ‘utasimama’ kwa saa kadhaa kupisha burudani kya nguvu kutoka kwa wasanii ambao watapamba Tamasha la Matumaini linalofanyika kwa mara ya tatu tangu lianze. Lengo la...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
11 years ago
GPL
11 years ago
GPL
TAMASHA LA MATUMAINI 2014 FULL MSISIMKO
TAMASHA la Usiku wa Matumaini, Dar (Dar Night of Hope 2014) lililofanyika jana kwenye Uwanja wa Taifa, Dar lilikuwa ni full msisimko kutokana na matukio mbalimbali yaliyofanyika. Mgeni rasmi Dk.Mohamed Ghalib Bilal akikagua timu ya wabunge wa Simba. Makamu wa Rais Mh. Mohamed Gharib…
11 years ago
GPL
11 years ago
GPL
TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI 2014 NI VITA
Umewahi kujiuliza nini kitatokea endapo waheshimiwa wabunge, Hamis Kigwangala wa Nzega na Mwigulu Nchemba wa Iramba Magharibi wakiziweka suti zao pembeni na kupanda ulingoni, nani atamkalisha mwenzake? Itakuwa vita! D.k Hamis Kigwangala mbunge wa Nzega. Basi hicho ndicho kitakachotokea kwenye Tamasha la Usiku wa Matumaini litakalotimua vumbi Agosti 8, 2014 (Nane Nane) kwenye Uwanja wa Taifa ambapo waheshimiwa hao watanyukana...
11 years ago
GPL08 Aug
TAMASHA LA MATUMAINI 2014 NI BURUDANI MWANZO MWISHO
Burudani mbalimbali zikiendelea katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kwenye Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014.
11 years ago
Dewji Blog21 Jul
11 years ago
GPLMTIBWA YAIKALISHA AZAM FC TAMASHA LA MATUMAINI 2014
Patashika wakati wa mtanange kati ya Azam FC na Mtibwa Sugar. Mshambuliaji wa Mtibwa Sugar, Musa Mgosi (kushoto) akijaribu kumtoka beki wa Azam.…
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania