Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Washindi The Baloziz kujulikana kesho

SHINDANO la The Baloziz linatarajiwa kufikia tamati kesho, huku washindi watatu wa kuiwakilisha bia ya Serengeti Platinum katika shughuli mbalimbali za kibiashara ikiwemo matangazo wakipatikana. Akizungumza na Tanzania Daima jana,...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Sakata la dawa za kulevya hatma ya Chid Benz kujulikana kesho

Siku mbili baada ya kukamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius K Nyerere akiwa na vitu vinavyodhaniwa ni dawa za kulevya, Mwanahiphop Rashid Makwiro maarufu Chid Benz, anatarajiwa kufikishwa mahakamani.

 

10 years ago

Michuzi

RIPOTI KAMILI YA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM KUJULIKANA KESHO.

 Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete (kulia) akizungumza jambo na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM,Ndugu Adam Kimbisa,wakati akitoka nje mara baada ya kumaliza kikao cha kawaida cha Kamati Kuu ya CCM Taifa usiku huu,kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Unguja,Zanzibar,kikao hicho kilianza mnamo majira ya saa sita mchana na kumalizika usiku mnamo saa mbili na ushehe hivi huku mambo mbalimbali yakiwa...

 

10 years ago

Michuzi

Redd's miss Kinondoni 2014 kujulikana kesho ndani ya Escape One mikocheni jijini Dar


 Mratibu wa shindano la Redd's miss Kinondoni 2014 Innocent Melleck katikati akizungumza na waandishi wa Habari jijini Dar Es Salaam juu ya shindano la kanda ya kinondoni litakalofanyika katika ukumbi wa Escape One ijumaa kwa kiingilio cha 10,000 kwa viti vya kawaida na 30,000 kwa VIP huku burudani za Malaika Bend chini ya Chirstian bella na Young Suma na tayari tiketi zipo mtaani. Baadhi ya warembo wa shoto ni matroni wa kambi hiyo Husna Maulid na kulia ni Mkuu wa itifaki wa kamati ya Miss...

 

10 years ago

GPL

WASHINDI TUZO ZA KILI KUANIKWA KESHO

Meneja wa Kilimanjaro ,Pamela Kikuli akizungumza na wanahabari (hawapo)pichani. Wanahabari wakichukua tukio. WASHINDI wa Kilimanjaro Music Awards 2015 (KTMA) wanatarajiwa kuanikwa kesho ndani ya Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar. Akizungumza na waandishi wa habari leo, Meneja wa Kilimanjaro, Pamela Kikuli amesema kuwa washindi waliopatikana katika Promosheni za Bia ya Kilimanjaro zilizofanyika nchini kote wameanza kuwasili...

 

10 years ago

Michuzi

STATOIL YATOA ZAWADI KWA WASHINDI WA SHINDANO LA MASHUJAA WA KESHO

Kampuni ya Statoil Tanzania imewatangaza na kuwazawadia washindi wa shindano la Mashujaa wa Kesho katika hafla iliyofanyika siku ya Alhamisi Desemba 4. Mashujaa wa Kesho ni shindano la biashara lililoandaliwa kwa lengo la kukuza dhana ya ujasiriamali kwa vijana mkoani Mtwara.
Bwana Nassibu Hamimu Lilumba ameibuka mshindi wa shindano la Mashujaa wa Kesho baada ya kutoa wazo la biashara na kIsha kuandaa mpango wa biashara na kutoa maelezo yake katika jopo la majaji. Mshindi alizawadiwa fedha...

 

10 years ago

Michuzi

VODACOM KUTOA ZAWADI KWA WASHINDI WA LIGI KUU TANZANIA BARA KESHO

Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) kwa kushirikiana na wadhamini wa Ligi Kuu kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom, kesho siku ya alhamis tarehe 11/06/2015 wanatarajia kutoa zawadi kwa washindi wa Vodacom Premier League msimu wa 2014/2015.
Hafla ya utoaji wa zawadi hizo itafanyika katika ukumbi wa JB Belmonte (Kilimanjaro) uliopo katika jengo la Golden Jubilee Tower (PSPF), mtaa wa Ohio eneo la Posta Mpya jijini Dar es salaam kuanzia saa 12 jioni.
Mgeni rasmi katika halfa hiyo ya utoaji zawadi...

 

11 years ago

GPL

SHINDANO LA TANZANIA MOVIE TALENTS KANDA YA NYANDA ZA JUU KUSINI LAINGIA HATUA YA PILI LEO, KESHO WASHINDI KUPATIKANA‏


Kundi la Kwanza la Washiriki waliofanikiwa kuingia hatua ya pili ya Mchujo katika Mashindano ya Tanzania Movie Talents Mkoani Mbeya Wakipewa maelekezo kwaajili ya kuanza hatua ya mchujo leo.

  Washiriki wa Shindano la Tanzania Movie Talents Mkoani Mbeya kanda ya Nyanda za Juu Kusini wakiwa katika mazoezi mara baada ya kukabidhiwa Muswada (script) ikiwa ni hatua ya pili sasa ya shindano hili…
...

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI YATANGAZA WASHINDI WA MAKISATU, WASHINDI WA KWANZA KUJINYAKULIA KITITA CHA SH MILIONI TANO


Charles James, Michuzi TV

SERIKALI imetangaza washindi wa Mashindano ya Kitaifa ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu (MAKISATU) kwa Mwaka 2020 ambayo kilele chake kilifanyika Machi 16-18 mwaka huu katika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma na mshindi wa kwanza kujinyakulia kitita cha Sh Milioni Tano.

Akizungumza na wandishi wa habari jijini Dodoma leo wakati wa kutangaza washindi hao kutoka kada mbalimbali pamoja na zawadi watakazopata, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof Joyce Ndalichako...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani