washindi wa shindano la uwekezaji “DSE Scholar Investment Challenge 2014” wapatikana jijini dar
![](http://2.bp.blogspot.com/-0sNE1quXY3U/U-yGPegGr5I/AAAAAAACnWQ/EXX7eIDWQFE/s72-c/New%2BPicture%2B(5).png)
Mshindi wakwanza wa shindano la uwekezaji “DSE Scholar Investment Challenge 2014” Laurent Dyanko kutoka chou kikuu cha kilimo, Sokoine University of Agriculture (SUA) akikabidhiwa zawadi wa shilingi milioni moja na cheti cha ushindi
Mshindi wapili wa shindano la uwekezaji “DSE Scholar Investment Challenge 2014” George Firimini kutoka chuo cha usimaniza wa fedha, Institute of Finance Management (IFM) akikabidhiwa zawadi wa shilingi laki sita na cheti cha ushindi
Mshindi watatu wa shindano...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-U6R-QXUpgac/U-NAA3qU8dI/AAAAAAACm8w/EXsICt9gl-g/s72-c/New+Picture.png)
HITIMISHO LA SHINDANO LA ELIMU YA UWEKEZAJI KWA WANAZUONI (DSE SCHOLAR INVESTMENT CHALLENGE) KUFANYIKA AGOSTI 13 2014
Mchakato wa kutambua nafasi ya kila mshiriki wa shindano umemalizika. Majina ya wanafunzi 50 wanaoongoza katika shindano hilo yamebandikwa katika mtandao wa...
10 years ago
MichuziNMB NA DSE WAZINDUA SHINDANO LA UWEKEZAJI KWA WANAFUNZI WA VYUO VYA JUU NCHINI
Shindano hilo ambalo litadumu kwa miezi mitatu, litawakutanisha wanafunzi wa vyuo vikuu ambao watapewa mitaji ya kielectroniki (Virtual Capital) ya shilingi milioni moja na wao kufanya...
10 years ago
MichuziShindano ya Tanzania Movie Talents Kanda ya nyanda za juu kusini Mbeya lakamilika, washindi watatu wapatikana
11 years ago
GPLSHINDANO LA TANZANIA MOVIE TALENTS LAANZA RASMI LEO JIJINI DAR, WASHINDI WATANO KUTAFUTWA
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-sfbFuoB50Xc/U3msP5vTDwI/AAAAAAAAVio/X4AboTS2Di4/s72-c/10268513_757703050918683_8268843824020390942_n.jpg)
WASHINDI WA MAISHA PLUS NA MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2014 WAPATIKANA NA KUONDOKA NA MILIONI 50
![](http://2.bp.blogspot.com/-sfbFuoB50Xc/U3msP5vTDwI/AAAAAAAAVio/X4AboTS2Di4/s1600/10268513_757703050918683_8268843824020390942_n.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-qsYfQsfvtOI/U3msQdY-LII/AAAAAAAAVis/53Dg4yTmTGo/s1600/10363668_513706802084613_3389523174439884372_n.jpg)
11 years ago
Dewji Blog19 May
Hatimaye washindi wa Maisha Plus na Mama Shujaa wa Chakula 2014 wapatikana na kuondoka na Milioni 50
Bahati Muriga mshindi wa Mama Shujaa wa Chakula 2014 akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya Tzshs. Milioni 25 aliyoshinda kwa ajili ya vifaa vya kilimo. Kutoka kulia ni Babu wa kijiji, Epheta Msiga wa DMB na Mkamiti Mgawe kutoka Oxfam.
Mshiriki Boniphace Meng’anyi Nyakena akipokea mfano wa hundi ya Tzshs. Milioni 25 alizoshinda katika msimu huu. Kutoka kulia ni Mkurugenzi Mkazi wa Oxfam Jane Foster, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika Yamungu Kuyandabila, Babu...
10 years ago
Michuzi07 Dec
Washindi wa Maonesho ya Keki Wapatikana Dar
![Baadhi ya wananchi waliotembelea Maonesho ya 'Azam World of Cakes Exhibition' wakipita kuangalia keki.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/12/IMG_0712.jpg)
![Majaji wa Maonesho ya 'Azam World of Cakes Exhibition' watipita kukagua, kupata maelezo ya watengenezaji wa keki hizo kabla ya kuwapata washindi.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/12/IMG_0701.jpg)
![Baadhi ya wananchi waliotembelea Maonesho ya 'Azam World of Cakes Exhibition' wakipita kuangalia keki.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/12/IMG_0638.jpg)
![Marion Elias Mkurugenzi wa Kampuni ya Insights Productions Limited, ambaye pia Mratibu wa Maonesho ya 'Azam World of Cakes Exhibition' akizungumza na wanahabari (hawapo pichani) katika maonesho hayo.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/12/IMG_0760.jpg)