Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HITIMISHO LA SHINDANO LA ELIMU YA UWEKEZAJI KWA WANAZUONI (DSE SCHOLAR INVESTMENT CHALLENGE) KUFANYIKA AGOSTI 13 2014

Soko la Hisa Dar es Salaam (Dar es Salaam Stock Exchange), kwa udhamini wa benki ya NMB, Selcom na FSDT, linapenda kuwajulisha wanafunzi wa elimu ya juu nchini walioshiriki katika shindano la elimu ya uwekezaji kwa mwaka 2014 (DSE Scholar Investment Challenge 2014) kuwa maandalizi yote ya kuhitimisha shindano hili kwa sasa yamekamilika.


Mchakato wa kutambua nafasi ya kila mshiriki wa shindano umemalizika. Majina ya wanafunzi 50 wanaoongoza katika shindano hilo yamebandikwa katika mtandao wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

washindi wa shindano la uwekezaji “DSE Scholar Investment Challenge 2014” wapatikana jijini dar

 Mshindi wakwanza wa shindano la uwekezaji “DSE Scholar Investment Challenge 2014” Laurent Dyanko kutoka chou kikuu cha kilimo, Sokoine University of Agriculture (SUA) akikabidhiwa zawadi wa shilingi milioni moja na cheti cha ushindi  Mshindi wapili wa shindano la uwekezaji “DSE Scholar Investment Challenge 2014” George Firimini kutoka chuo cha usimaniza wa fedha, Institute of Finance Management (IFM) akikabidhiwa zawadi wa shilingi laki sita na cheti cha ushindi  Mshindi watatu wa shindano...

 

10 years ago

Michuzi

NMB NA DSE WAZINDUA SHINDANO LA UWEKEZAJI KWA WANAFUNZI WA VYUO VYA JUU NCHINI

Soko la hisa la Dar es Salaam (DSE) kwa kupitia udhamini wa benki ya NMB imezindua shindano la uwekezaji lijulikanalo kama ‘DSE Scholar Investment Challenge’ linalowahusisha wanafunzi kutoka vyuo vikuu ambapo washindi wanatarajia kuibuka na kitita cha shilingi milioni 2 na nafasi ya kufanya mafunzo kwa vitendo.
Shindano hilo ambalo litadumu kwa miezi mitatu, litawakutanisha wanafunzi wa vyuo vikuu ambao watapewa mitaji ya kielectroniki (Virtual Capital) ya shilingi milioni moja na wao kufanya...

 

9 years ago

Michuzi

FAINALI ZA SHINDANO LA TMT KUFANYIKA AGOSTI 22 MWAKA HUU

 Wawezeshaji na Wadhamini wa shindano la Tanzania Movie Talent (TMT),Jaji Mkuu,Loy Sarungi(wa kwanza kutoka kushoto),Jaji katika shindano hilo Single Mtambalike(wa kwanza kutoka kushoto),Meneja Mawasiliano na Masoko wa Proin Promotion,Josephat Lukaza,Meneja Bidhaa wa Paisha,Godfrey Fataki na Meneja Masoko wa ITV,Ernest Dilli wakizungumza na waandishi wa habari kuhusu Fainali ya Shindano la Tanzania Movie Talent (TMT) litakalofanyika Agosti 22 katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar...

 

9 years ago

Vijimambo

KONGAMANO LA WIKI YA HUDUMA ZA KIFEDHA NA UWEKEZAJI KUFANYIKA AGOSTI 28-30, 2015 JIJINI DAR ES SALAAM

 Meneja Mauzo na Masoko wa Kampuni ya Nuebrand EC, Cathreen Bukuku (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu kongamano la wiki ya  huduma za kifedha na uwekezaji litakalofanyika Agosti 28 hadi 30 mwaka huu, viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkufunzi na Mratibu wa Mipango wa Kampuni hiyo, Daniel Wadelanga. Kongamano hilo limeandaliwa na Kampuni ya Nuebrand EC. Mjumbe wa Timu ya Mauzo wa Benki ya Uba United Bank for...

 

11 years ago

Michuzi

SIKU YA VIJANA DUNIANI KUFANYIKA AGOSTI 24, 2014

Picha no 1WAZIRI WA HABARI, VIJANA, UTAMADU
NI NA MICHEZO DKT FENELLA MUKANGARASiku ya Vijana Duniani itafanyika tarehe 12 Agosti, 2014 ikiwa na lengo la kuyafanya masuala mbalimbali ya vijana kutambulika katika jamii ya Kimataifa. Mwaka huu, ujumbe ni “Vijana na Afya Kiakili”.  Tarehe hii iliamuliwa kuwa Siku ya Vijana Duniani na Umoja wa Mataifa mwaka 1999. Hii ni Siku maalum inayodhihirisha kutambua kazi muhimu zinazofanywa na vijana na umuhimu wake katika jamii pamoja na kuwapa fursa kwa ajili ya...

 

10 years ago

GPL

FAINALI MISS TEMEKE 2014 KUFANYIKA AGOSTI 22

Vimwana wa Miss Temeke 2014 wakiwa kwenye pozi la pamoja ikiwa ni sehemu ya maandalizi yao ya kuelekea kwenye kinyang'anyiro chao kitakachofanyika kwenye Ukumbi wa TCC, Chang'ombe jijini Dar es Salaam Agosti 22, 2014. Jumla ya washiriki 17 watapanda jukwaani siku hiyo kuwania taji hilo. Warembo…

 

11 years ago

Michuzi

MKUTANO MKUU WA CHAMA CHA MAPINDUZI UINGEREZA KUFANYIKA AGOSTI 30, 2014.

CHAMA CHA MAPINDUZI TAWI LA UINGEREZA LINAPENDA KUWATANGAZIA WANACHAMA NA WAPENZI WOTE WA CCM KUTOKA PANDE ZOTE ZA UINGEREZA KWAMBA KUTAKUWA NA MKUTANO MKUU WA TAWI TAREHE 30.08.2014 UTAKAOFANYIKA KATIKA JIJI LA READING KATIKA ANUANI IFUATAYO;THE PAVILION (FORMERLY RILEYS CLUB)143 – 145 OXFORD ROAD READINGRG1 7UP
KATIKA MKUTANO HUO PIA KUTAFANYIKA UCHAGUZI WA MWENYEKITI WA TAWI LA CCM UINGEREZA ILI KUJAZA NAFASI INAYOACHWA WAZI NA ALIYEKUWA MWENYEKITI WA TAWI HILI TOKA KUANZISHWA KWAKE NDUGU...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani