Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WASHIRIKI TMT WAANZA KUPIGIWA KURA

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

WASHIRIKI TMT KUANZA KUPIGIWA KURA WIKI HII‏

Washiriki wa Fainali ya Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) wakiwa jukwaani wakati wakiigiza moja ya igizo walilopewa na mwalimu wao Dk. Mona Mwakalinga katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa Jumanne iliyopita. Igizo hilo ni la kwanza kwa ajili ya mchujo kwa washiriki.
Vijana wakiwajibika katika jukwaa kwa ajili ya kuwania tiketi ya kuzisaka milioni 50 za Kitanzania katika fainali itakayofanyika mwisho wa mwezi Agosti...

 

11 years ago

Michuzi

SASA UNAWEZA KUWAPIGIA KURA WASHIRIKI WA SHINDANO LA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT) UWAPENDAO KUPITIA UKURASA WETU WA FACEBOOK

KAMA BADO HUJALIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK UNACHOTAKIWA KUFANYA NI KULIKE UKURASA WETU KWA KUFUATA KIUNGANISHI HIKIhttps://www.facebook.com/tztmt ukishalike ukurasa wetu fuata hatua hizo chini Ukurasa wetu ukifunguka Unaonekana kama Picha inavyoonyesha juu hapo Utafata hatua ya Kwanza kama ilivyoonyeshwa kwenye picha hizo.Ukishamaliza kumpigia kura mshiriki umpendae kwa kubofya kitufe kilichoandikwa VOTE utapokea ujumbe mfupi kwenye kioo chako na utakuwa tayari ushampigia kuraHatimae...

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘CCM kupigiwa kura na wanyama’

KATIBU wa Uenezi Jimbo la Manyoni, Alex Jonas (CHADEMA), amesema katika uchaguzi mkuu ujao Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitapigiwa kura na wanyama na si wananchi. Jonas alitoa kauli hiyo alipohutubia...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mali na Guinea kupigiwa kura

Ivory Coast imekuwa timu pekee kutoka kundi D kusonga mbele katika hatua ya robo fainali ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika.

 

11 years ago

Mwananchi

Sheria ya ndoa sasa kupigiwa kura ya maoni

Naibu Waziri wa Sheria na Katiba, Angellah Kairuki amesema kuwa Sheria ya Ndoa ya Mwaka 1971 iko kwenye mchakato wa kurekebishwa kutokana na utata unaokinzana na sheria nyingine za masuala ya kijinsia.

 

10 years ago

Habarileo

Rasimu ya Katiba mpya kupigiwa kura Sept. 21

Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta.WAKATI kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) likishinikiza Bunge Maalumu la Katiba lisitishwe haraka iwezekanavyo, Bunge hilo limejiandaa kuwasilisha Katiba inayopendekezwa Septemba 21.

 

11 years ago

GPL

WASHIRIKI WA TMT WATEMBELEA GLOBAL PUBLISHERS

Meneja wa washiriki wa Tanzania Movie Talents (TMT), Happiness Ntaga kutoka kampuni ya Proin Promotions Limited akiwatambulisha washiriki (hawapo pichani) kwa wafanyakazi wa Global Publishers. Washiriki wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) kutoka kanda mbalimbali Tanzania bara wakiwasili ofisi ya…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani