Washukiwa Ufaransa wapora kituo
Washukiwa wa mauaji ya wachora vibonzo nchini Ufaransa, wanadaiwa kufanya wizi katika kituo cha mafuta Kaskazini mwa Ufaransa huku wakiwa mbioni kutorotoka polisi.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
StarTV08 Jan
Washukiwa Ufaransa wapora kituo cha mafuta.
Washukiwa wa mauaji ya wachora vibonzo nchini Ufaransa, wanadaiwa kufanya wizi katika kituo cha mafuta Kaskazini mwa Ufaransa huku wakiwa mbioni kutorotoka polisi.
Inaarifiwa washukiwa hao wawili ambao ni mandugu, waliiba chakula na petroli huku wakifyatua risasi karibu na eneo la Villers-Cotterets.
Watu nchini ufaransa wamesimama kimya kwa dakika moja kwa heshima ya watu 12 waliouawa na watu wenye silaha walipovamia gazeti moja la vichekesho la Charlie Hebdo siku ya Jumatano
Huku polisi...
10 years ago
BBCSwahili09 Jan
Washukiwa wa mauaji Ufaransa wauawa
10 years ago
BBCSwahili08 Jan
Polisi Ufaransa watoa picha za washukiwa
11 years ago
BBCSwahili27 Feb
Ufaransa yazuia washukiwa kurudi Rwanda
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/0uMX6j0VBUnI7yVqxrQT8AipboQogleXA*DidApPZiQiz6OJcpVg4BBmq2m35u6xEqhD2EiwiFaW6jEKEXnp1VQx*DPF8wOB/1.jpg?width=750)
POLISI UFARANSA YAUA WASHUKIWA SHAMBULIZI LA CHARLIE
9 years ago
Global Publishers21 Dec
Washukiwa wa bomu bandia ndege ya Air France wakamatwa Ufaransa
Watuthumiwa hao (kushoto) baada ya kukamatwa.
MAOFISA wa Polisi nchini Ufaransa wamewatia mbaroni abiria wawili wa ndege hiyo ambao ni mke na mme liokuwa abiria katika ndege ya Air France Boeing 777 nambari AF463 iliyolazimika kutua kwa dharura nchini Kenya hapo jana kufuatia tishio la bomu.
Duru zinasema kuwa wawili hao ambao majina yao bado hayawekwa hadharani walikamatwa punde baada ya kutua katika Uwanja wa Kimataifa wa Charles de Gaulle nchini Ufaransa.
Waliokamatwa ni ofisa mmoja...
10 years ago
Habarileo23 Sep
Majambazi waua, wapora
WATU wanne wanaodhaniwa kuwa ni majambazi wanatuhumiwa kumwua mtu mwenye umri kati ya miaka 35 na 40 ambaye jina lake halikuweza kufahamika na kumjeruhi mwingine. Tukio hilo lilifanyika kwenye maduka yaliyopo kwenye Stendi Kuu ya Maili Moja wilayani Kibaha, jirani na kituo cha Polisi baada ya watu hao kufanya tukio la uhalifu.
10 years ago
Habarileo01 Dec
Majambazi waua, wapora mil 4/-
MKULIMA aliyeshambuliwa na kundi la majambazi na kuporwa zaidi ya Sh milioni 4 za Tanzania na Sh 37,00O za Kenya amefariki dunia akipatiwa matibabu katika hospitali ya Misheni Masanga.