WASIRA AMESEMA ...TOKEA ATANGAZE NIA ANAKULA SANA ZAIDI YA UWEZO WAKE ...KWANI NJAA UUMA KILA WAKATI

Ikiwa yamebaki masaa machache mchakato wa chuja chuja Mh Steven Wasira amedai anakula kuliko kawaida na kulala ipasavyo hana tatizo la kukosa usingizi,Ametoa dodoso hilo alipo ulizwa swali na mwandishi wa habari nguli wa Azam tv Chalz Hilaly.Hana hofu juu ya mchakato huo anaamini viongozi watasimamia maadili na kufata sheria.
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog15 Mar
Watu zaidi ya 700 waandamana kwenda kwa Lowassa kumshawishi atangaze nia ya kugombea Urais 2015
Makundi mbalimbali ya kijamii ya mikoa ya Kaskazini, inayojumuisha mikoa ya Kilimanjaro, Tanga, Arusha na Manyara wakiwa wanaandamana kwa pamoja kuelekea kwa mbunge wa jimbo la Monduli hii leo.

Katibu wa Chama cha Wasioona Mkoa wa Kilimanjaro (TLB), Protas Soka akisoma risala kwa niaba ya makundi hayo mbele ya mbunge wa jimbo la Monduli.

Viongozi mbalimbali wa makundi ya kijamii wakiwa wanamkabidhi Waziri Mstaafu ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Monduli Edward Lowasa bahasha...
10 years ago
MichuziWATU ZAIDI YA 700 WAANDAMANA KWENDA KWA LOWASA KUMSHAWISHI ATANGAZE NIA YA KUGOMBEA URAIS 2015
Katibu wa Chama cha Wasioona Mkoa wa Kilimanjaro (TLB), Protas Soka Akisoma risala kwa niaba ya makundi hayo mbele ya mbunge wa jimbo la monduli
10 years ago
VijimamboWAANDAMANA KWENDA KWA LOWASA KUMSHAWISHI ATANGAZE NIA YA KUGOMBEA URAIS 2015
10 years ago
Bongo513 Oct
Ben Pol aeleza kwanini hataki kuonekana na mpenzi wake kila wakati
5 years ago
BBCSwahili21 Apr
Lewis Hamilton amesema kuwa hana nia yoyote ya 'kuihama' Mercedes.
10 years ago
Vijimambo
11 years ago
Mwananchi03 Sep
Tumwogope Mungu kwa matendo yetu kila siku na kila wakati!
10 years ago
GPL
OYA MASTA UPENDWE NA KILA MTU KWANI WEWE PESA?
10 years ago
Vijimambo