Wasira, Lugola vinara kura za maoni
WAZIRI wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephen Wasira (pichani), ameshinda kura za maoni za CCM, baada ya kupata kura 6,429 na kumshinda mpinzani wake wa karibu ambaye ni mjasiriamali, Robert Maboto aliyepata kura 6,206.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziNews alert: Stephen Wasira aongoza kura za maoni Kura ya Maoni CCM-Bunda Mjini
Stephen Wasira 6, 429Robert Maboto 6, 206Christopher Sanya 1, 140Xavier Rugina 846Simon Odunga 547Magesa Mugeta 446Peres Magiri 385Brian Baraka 263
Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Mhe. Stephen Wasira akiwashukuru wapiga kura wake baada ya kuibuka kidedea kwenye kura za maoni leo huko Bunda...
11 years ago
Mwananchi16 Apr
Maoni ya wananchi yakipuuzwa, wataikataa kwa kura ya maoni
9 years ago
BBCSwahili25 Sep
Maoni ya Watanzania kuhusu kura za maoni
10 years ago
Michuziwapiga kura wampongeza jerry silaa kwa kushinda katika kura za maoni jimbo la ukonga
11 years ago
Tanzania Daima13 Apr
Wizi wa kura hadi kwenye kura ya maoni!
WAKATI Bunge Maalumu la Katiba linaendelea, kuna wanaosema kwamba hata kura ya maoni haiwezi kusaidia sana maana hapa Tanzania kuna hofu ya wizi wa kura. Tume ya uchaguzi tuliyonayo sasa...
10 years ago
MichuziTAARIFA KWA UMMA YA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUHUSU UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA NA KURA YA MAONI
Kama inavyofahamika, chini ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1997 na Sheria ya Taifa ya Uchaguzi Sura ya 343 ya mwaka 2010, jukumu la Tume ya Taifa ya Uchaguzi ni kusimamia na kuendesha Uchaguzi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Wabunge na Madiwani kwa Tanzania Bara. Aidha, Sheria ya Kura ya Maoni imezipa Tume ya Taifa ya Uchaguzi na Tume ya Uchaguzi Zanzibar jukumu la kuendesha Kura ya Maoni kwa ajili ya kuhalalisha Katiba Inayopendekezwa. Kwa mujibu wa Katiba...
10 years ago
VijimamboWATANZANIA WAISHIO DMV USA WALIPOKUTANA KUMSIKILIZA MH. ISMAIL JUSSA, ALIPOELEZEA UCHAKACHULIWAJI WA MAONI YA KATIBA NA KUELEZEA SABABU ZINAZOIFANYA UKAWA KWA NINI HAITOSHIRIKI KATIKA KURA YA MAONI
MC katika mkutano huo, Bw.Libe Mwang'ombe, aliyeumudu kuuendesha mkutano kwa utaratibu uliotakiwa na kwa usalama hadi mwisho bila jazba hadi mwisho masuali yaliulizwa kwa vifungu na kujibiwa ipasavyo Dada Salma akiuliza suali kwa wakati wake, masuali mengi yaliulizwa na wadau mbali mbali ambyo yalikuwa ya msingi kwa mustakabali...
10 years ago
Tanzania Daima18 Oct
‘Hakuna kura ya maoni’
SHINIKIZO la makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kumtaka Rais Jakaya Kikwete akamilishe mchakato wa Katiba mpya kwa kufanya kura ya maoni kabla hajaondoka madarakani, limeota mbawa baada ya Halmashauri...
10 years ago
Vijimambo09 Oct
kura ya maoni njiapanda