Wasisitiziwa kuchukua tahadhari ya ebola
WANANCHI wilayani Masasi, wametakiwa kutokuwa na hofu na badala yake waendelee kuchukua tahadhari za kujikinga na ugonjwa hatari wa ebola ikiwa ni pamoja na kuepuka kugusa ama kuingiwa na mate, damu, mkojo, jasho, kinyesi pamoja na majimaji mengine yanayotoka mwilini mwa mtu mwenye ugonjwa huo.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi02 Aug
11 years ago
Tanzania Daima28 Jun
UJAUZITO WIKI YA NNE; Baadhi ya tahadhari za kuchukua
KAMA tulivyoona katika makala iliyotangulia, wakati wowote hivi sasa mwanamke anaweza kujibaini kuwa ni mjamzito. Lakini tumeshaeleza kuwa ni vigumu, hasa kwa wale wanaopata ujauzito kwa mara ya kwanza, kufahamu...
5 years ago
MichuziDC CHONGOLO AWATAKA WANANCHI KUCHUKUA TAHADHARI DHIDI YA CORONA
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mhe. Daniel Chongolo akiwa ameambata na Katibu Tawala wa Wilaya hiyo Bi. Stella Msofe na viongozi wengine wakata na mitaa, wakitoka kukagua bandari kavu ambayo leo hii ameizindua rasmi.
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mhe. Daniel Chongolo akizungumza na wananchi wa Kata ya Mbweni aliofika kusikiliza na kutatua kero zao.
Wananchi wa Kata ya Mbweni , wakimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mhe. Daniel Chongolo alipofika kwa ajili ya kusikiliza na kutatua kero...
5 years ago
MichuziWANANCHI TANDAHIMBA WATAKIWA KUCHUKUA TAHADHARI YA UGONJWA WA CORONA
Akizungumza leo Wilayani hapa Kapinga amesema kuwa wananchi wanatakiwa kuacha kusalimiana kwa kushikana mikono ili kujikinga na Corona
Amesema kila mwananchi ahakikishe ana nawa mikono na maji tiririka na sabuni ikiwa ni miongoni mwa hatua za awali za kujikinga
Naye Mganga Mkuu wa Wilaya Antpas Swai amesema tayari wametenga Zahanati ya mtegu kwa ajili ya...
5 years ago
MichuziMAMBO YA NDANI YAENDELEA KUCHUKUA TAHADHARI DHIDI YA UGONJWA WA COVID-19
Mkurugenzi Msaidizi Rasilimaliwatu, Hilda Tegwa (Wa tatu kulia) akisisitiza matumizi ya kunawa mikono kwa baadhi ya Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi ili kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa Covid-19. Tukio hilo limefanyika leo katika Ofisi za Wizara hiyo jijini Dodoma.Mkurugenzi Msaidizi Rasilimaliwatu, Hilda Tegwa (Wa tatu kulia) akitakasa mikono yake kwa ajili ya kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa Covid-19, wengine ni baadhi ya Watumishi wa Wizara hiyo...
5 years ago
MichuziBiteko awataka wachimbaji madini kuchukua tahadhari dhidi ya Corona
5 years ago
MichuziRostam awataka Watanzania kuchukua tahadhari ya maambukizi ya Corona (COVID-19).
Mfanyabiashara Rostam Aziz amewataka Watanzania kuchukua tahadhari ya maambukizi ya virusi vya corona kutokana na ugonjwa huo kuwa tishio nchini na duniani kwa ujumla.
Rostam amesema hayo leo wakati akikabidhi msaada wa vifaa mbalimbali vya kupambana na maambukizi ya virusi vya corona vyenye thamani ya Sh milioni 500 kwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Vifaa hivyo ambavyo amevikabidhi leo kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi ni pamoja na...
5 years ago
MichuziSIMIYU YAFUNGA KAMBI YA KITAALUMA KUCHUKUA TAHADHARI DHIDI YA CORONA
Katibu Tawala wa Mkoa wa Simiyu, Bw. Jumanne Sagini akizungumza na wanafunzi wa Kidato cha Sita mkoani humo, kabla ya kufunga kambi ya kitaaluma kwa wanafunzi hao ambayo ilikuwa ikiendelea katika Shule ya Sekondari ya Wasichana Maswa, kwa lengo la kuchukua tahadhari dhidi ya Corona.Baadhi ya wanafunzi wa kidato cha Sita wakimsikiliza Katibu Tawala wa Mkoa wa Simiyu, Bw. Jumanne Sagini(hayupo pichani) akizungumza na wanafunzi wa Kidato cha Sita mkoani humo, kabla...
9 years ago
GPL20 Aug