Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wasomi waliponda Bunge la Katiba

>Baadhi ya wasomi nchini wameuponda utaratibu wa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kutumia muda mrefu kutengeneza kanuni na kusema kitendo hicho ni matumizi mabaya ya fedha za walipakodi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Wasomi wataka wanasiasa waondolewe Bunge la Katiba

>Wasomi na wataalamu mbalimbali wameshauri kuangaliwa upya kwa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba ili kuwabana wajumbe wanaotumia vikao vya Bunge Maalumu kujijenga kisiasa kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu 2015, badala ya masilahi ya wananchi.

 

11 years ago

Michuzi

TAARIFA YA WAWAKILISHI WA TAASISI ZA DINI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA TOKA WAJUMBE 201 KUHUSU MWENENDO WA SHUGHULI ZA BUNGE MAALUM LA KATIBA

 Sisi Wawakilishi wa Jumuiya na Taasisi za Dini, tuliopendekezwa na Taasisi zetu na baadaye kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kushauriana na Rais wa Zanzibar kuwa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, na kula kiapo cha utekelezaji wa jukumu hili kubwa.Tukiamini kuandaa Katiba Mpya kwa maridhiano ya Kitaifa kwa wananchi wote, tulipokea jukumu hili kama wajibu wetu Kitaifa.  Aidha tunaamini kwamba katika kupata maridhiano ya Kitaifa ni muhimu kuheshimu kila wazo na...

 

10 years ago

Mwananchi

Wasomi, wananchi walipongeza Bunge

Wasomi, wanasiasa na wananchi wamepongeza mapendekezo mapya ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) yanayoazimia kuwawajibisha wale wote waliohusika na kuchotwa kwa fedha kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow.

 

11 years ago

Mwananchi

Wasomi waianzia Rasimu ya Katiba Dar

Wakati Bunge la Kujadili Rasimu ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linaanza kikao chake kesho mjini Dodoma, wasomi na wanazuoni wapatao 300 wanakutana Dar es Salaam leo kujadili rasimu hiyo, mjadala mkuu ukilenga Muundo wa Serikali unaofaa nchini.

 

11 years ago

Habarileo

Wasomi: Katiba ‘mpya’ imeinufaisha Zanzibar

WASOMI wamepongeza hotuba ya Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein kuhusu Katiba Inayopendekezwa kwa wananchi kwa kuichambua vizuri na kubainisha manufaa yake kwa Zanzibar.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wasomi waionya CCM kuhusu Katiba mpya

WASOMI na wafuatiliaji wa mchakato wa kupatikana kwa Katiba mpya wamekitaka Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuheshimu maoni ya wananchi yaliyotolewa na Tume ya  Mabadiliko ya Katiba. Wananchi hao wamefikia hatua...

 

10 years ago

Habarileo

Wasomi waguswa ‘zuio’ kampeni Katiba mpya

Rais Jakaya KikweteBAADHI ya wasomi nchini wamepongeza hotuba ya Rais Jakaya Kikwete inayosisitiza juu ya umuhimu wa wanasiasa kuacha kufanya kampeni zinazohusu Katiba Pendekezwa hadi muda wa kufanya hivyo utakapowadia kwa mujibu wa sheria.

 

10 years ago

Mwananchi

Wasomi, wanaharakati walipongeza Bunge, wataka hatua zaidi kisheria

Wasomi mbalimbali nchini wamelipongeza Bunge kwa kufanya uamuzi kwa maridhiano na kutoa mapendekezo manane kwa Serikali ili ichukue hatua dhidi ya wote waliohusika katika wizi wa fedha kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani