Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WASTARA APORWA POCHI NA MUMEWE,AMKIMBIZA, AMPATA AMSHIKA NYETI

Tunaendelea na Exclusive Interview ya mwigizaji ambaye amepitia mitihani mizito maishani mwake, Wastara Juma. Hakukata tamaa, anaendelea kudunda hadi leo. Mwigizaji ambaye amepitia mitihani mizito maishani mwake, Wastara Juma. Wiki iliyopita tuliishia hapa:
“Baada ya kuwa na ujauzito wazazi wangu waliamua kunichukua nikaenda kukaa nao Zanzibar lakini nikawa nateseka sana ambapo mama yangu aligundua na kusema nije Dar...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WASTARA AWACHARUKIA WANAOMTUSI MUMEWE

Stori Na:Gladness Mallya/Ijumaa Wikienda MSANII mkongwe katika gemu la filamu Bongo, Wastara Juma ameapa kumshtaki mtu atakayekamata kutokana na baadhi ya mashabiki kuwa na tabia ya kumtukana matusi ya nguoni mtandaoni huku wakimhusisha na marehemu mumewe, Sajuki. Msanii mkongwe katika gemu la filamu Bongo, Wastara Juma. Akizungumza na gazeti hili, Wastara alisema anajisikia vibaya baadhi ya mashabiki wanavyomtukana kwenye...

 

10 years ago

GPL

WASTARA JUMA AZICHAPA NA MUMEWE MAHAKAMANI

WIKI iliyopita katika makala haya tuliishia pale mwigizaji Wastara Juma alivyokimbizwa na mumewe wa kwanza na kuokolewa na difenda la polisi, TUENDELEE… Mwigizaji wa Muvi Bongo Wastara Juma APEWA TALAKA Mwandishi: Nini kiliendelea baada ya purukushani hizo zote?
“Zilipita siku tatu mume wangu alinipigia simu akiwa na dada yake na kunitamkia kwamba ameniacha kwa talaka tatu na huyo dada yake ndiye shahidi na hiyo...

 

10 years ago

Vijimambo

NDOA NDOANO:MKE AMWAGIA MUMEWE MAJI YA MOTO BAADA YA KUULIZWA NA MUMEWE KWANINI AMECHELEWA KURUDI NYUMBANI!!

Mwanamke mmoja katika wilaya ya Bunda, mkoani Mara, amemfanyia ukatili mume wake kwa kumwagia maji ya moto yaliyokuwa yametengwa kwa ajili ya kupikia ugali.Kwa mujibu wa jeshi la polisi wilayani hapa, tukio hilo lilitokea juzi, saa 4:30 usiku, katika mtaa wa Nyamakokoto, mjini Bunda, baada ya kuzuka ugomvi ulitokana na mwanamke huyo (jina linahifadhiwa) kuchelewa kurudi nyumbani.Mwanaume huyo amejeruhiwa vibaya mume wake sehemu mbalimbali za mwili wake, hali iliyopelekea kulazwa katika...

 

10 years ago

GPL

JOHARI AMPATA MRITHI WA RAY

Brighton masalu MAUMIVU niache! Blandina William Wilbert Chagula ‘Johari’, hatimaye ameondokana na maumivu ya kimapenzi kutoka kwa aliyekuwa mwandani wake, Vincent Kigosi ‘Ray’ baada ya kumpata mwanaume anayeamini ndiye mumewe mtarajiwa, Risasi Jumamosi linakujuza. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1LJkHbv

 

9 years ago

Mwananchi

Kibadeni ampata pacha wa Maguli

Kocha wa Kilimanjaro Stars, Abdallah Kibadeni ‘King’ amesema baada ya kumkosa Mbwana Samatta amelazimika kutengeneza kombineshini mpya ya safu yake ya ushambuliaji.

 

10 years ago

GPL

POCHI LAMUOKOA KAJALA KUKAA NUSU UTUPU

Stori: Musa Mateja Msanii wa filamu, Kajala Masanja, hivi karibuni alijikuta akiwa kwenye wakati mgumu baada ya kukaa kwenye kiti na kuachia sehemu zake nyeti kiasi cha kuwatoa udenda baadhi ya wanaume. Msanii wa filamu Bongo, Kajala Masanja. Tukio hilo lilijiri mkoani Tanga wakati msanii huyo alipokwenda kwenye Tamasha la Fiesta, alipokaa kwenye kiti alijikuta akikaa vibaya mazingira yaliyomfanya ahangaike ili kuziba maeneo...

 

10 years ago

BBCSwahili

Jaji ampata na hatia Oscar Pistorius

Mwanariadha mlemavu wa Afrika Kusini Oscar Pistorius, amepatikana na hatia ya kumuua mpenziwe Reeva Steenkamp pasi na kukusudia.

 

10 years ago

Mtanzania

Profesa Mwandosya amshika pabaya Dk. Slaa

MwandosyaNa Debora Sanja, Dodoma
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais (Kazi Maalumu), Profesa Mark Mwandosya ‘amemvaa’ Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa na kusema kwamba kiongozi huyo amekosa uzalendo kwa hatua yake ya kuizungumza vibaya Tanzania akiwa nje ya nchi.
Profesa Mwandosya alitoa kauli hiyo bungeni jana wakati akichangia mjadala wa Bajeti ya Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Utawala Bora, Uhusiano na Uratibu kwa mwaka wa fedha...

 

11 years ago

GPL

BABY MADAHA AMSHIKA UCHAWI DIAMOND

Na Mayasa Mariwata
STAA wa muziki wa Bongo Fleva, Baby Joseph Madaha ‘amemshika uchawi’ msanii mwenzake, Nasibu Abdul ‘Diamond’ kufuatia madai kuwa, kuna msanii maarufu Bongo alikwenda kwa mganga wa kienyeji Tanga akitaka kumfanyizia ‘madongoloji’ mrembo huyo ili mambo yake yaende ndivyo sivyo. Baby Joseph Madaha. ILIKUWAJE KWANI?
Desemba 22, mwaka jana, mtu mmoja aliyedai ni sangoma...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani