Wataalam wajadili kukabiliana na inzi muharibifu
WATAALAMU wa kilimo wamekutana jijini Tanga na kujadiliana namna ya kukabiliana na inzi muharibifu wa mazao ya matunda na mbogamboga ambaye huchangia kushuka kwa uchumi wa jiji hilo. Akielezea hali...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziWATAALAM WA AFYA KUTOKA NCHI ZA ASIA,AFRIKA WABADILISHANA UZOEFU KUKABILIANA NA CORONA
WATALAAM wa afya kutoka nchi za Asia Pacifc na Afrika wamekutana leo kwenye madahalo wa pili wa kujadili na kubadilisha uzoefu katika kupambana na virusi vya Corona.
Mdahalo huo umefanyika kupitia Kituo cha Mafunzo duniani (TaGLC) kilicho chini ya Chuo cha Utumishi wa Umma (TPSC) kwa kushirikiana na GDLN, Korea.
Kwa mara ya kwanza mdahalo wa aina hiyo uliofanyika Machi 16, mwaka 2020 na kwa sehemu kubwa ulijikita kuhusu athari na jinsi ya kupambana na Virusi vya ...
11 years ago
Mwananchi24 Feb
Tutaendelea kufukuza makocha kama ‘inzi’
11 years ago
Mwananchi01 Jun
Inzi dukani na uchapa kazi wa wasomali ughaibuni...
10 years ago
Bongo Movies11 Feb
Ommy Dimpoz: Inzi Kufa Kwenye Kidonda Sio Ufala....
Japokuwa bado kuna baadhi ya watu hawaamini kuwa mwigizaji Wema Sepetu yupo kwenye mahusiano ya kimapezi na mwanamziki Ommy Dimpoz, eti wana-shoot video!!, sasa ukweli unazidi kujitokeza siku hadi siku.
Siku ya jana msanii Ommy Dimpoz alitupia picha hiyo hapo juu kwenye ukursa wake kwenye mtandao wa Instagram, na kuandika kipande cha maneno kutoka kwenye moja ya nyimbo za Yamoto Band.
“Inzi kufia kwenye kidonda sio ufala ila kapenda......”
Haikuishia hapo, muda kidogo akatupia kipande...
10 years ago
Bongo Movies10 Mar
Wolper: Kipini Puani Kimenijazi Inzi Mtandaoni, Wakati Kinaniingizia Hela!
Staa wa Bongo Movies, Jacqueline Wolper ameyasema hayo baada ya hapo jana baadhi ya mashabiki mtandaoni kumshambulia mara baada ya kubandika picha akiwa na kipini puani.
“Ewe kipini....kipini kipuli kipuli...kiheren kihereni umenijazia inzi kwenye akauni yangu yangu lakini kipini nivumilie nimalize hii Movie na we utapumzika lakini kipini nilivyokuhusudu naunaendana na kabila la Mama yangu upande wa bibi mza mama Masai basi nitakufkria eidha uwe ndonya yangu yakudumu au nitakutoa lakini...
10 years ago
BBCSwahili06 Feb
Wataalam wa afya kujadili Ebola
10 years ago
Tanzania Daima11 Oct
Chavita walia na ukosefu wa wataalam
CHAMA cha Viziwi Tanzania (CHAVITA) kimeiomba serikali kuwasaidia katika kutatua matatizo yanayowakabili ya ukosefu wa wataalamu wa lugha za alama inayowakabili kundi hilo. Hayo yalisemwa jana na Mwakilishi wa chama...
10 years ago
Tanzania Daima12 Nov
Wataalam watakiwa kuwa wabunifu
Waatalamu wa Sekta za Nishati na Madini, wametakiwa kuwa wabunifu katika maandalizi na usimamizi wa miradi ili sekta hizo ziwe na mchango mkubwa katika ukuaji wa uchumi wa nchi. Wito...
9 years ago
BBCSwahili18 Dec
EU wajadili uanachama wa Uingereza