Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wataalamu wa mipangomiji watakiwa kutobadili mipango inayowekwa na wadau wa maendeleo

SAM_0007

Baadhi ya viongozi wa serikali za mitaa katika Halmashauri ya Manispaa ya Singida wakisikiliza mada zilizokuwa zikitolewa na wawezeshaji kwenye mkutano wa uwasilishaji wa mpango wa jumla(Master plan) na kujenga uwezo juu ya utekelezaji wa uendelezaji miji (ULGS) uliofanyika kwenye majengo ya Chuo cha Ufundi cha VETA mjini Singida.

SAM_0008

Baadhi ya wadau mbali mbali wa Halmashauri ya Manispaa ya Singida waliohudhuria kwenye mkutano wa uwasilishaji wa mpango wa jumla (Master plan) na kujenga uwezo...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Wataalamu na Wadau wa Mazingira waendelea kujadili mada katika mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi na Maendeleo endelevu Afrika

DSC_4554

Baadhi ya washiriki wa mkutano mkubwa wa tano wa Mabadiliko ya Tabianchi na Maendeleo endelevu barani Afrika unaoendelea muda huu Victoria Falls-Zimbabwe wakifuatilia mada leo Oktoba 29, siku ya pili ya mkutano huo. Tayari mada mbalimbali za kitaalamu juu ya mabadiliko ya tabianchi na mambo ya kimikakati ya kukabiliana na mazingira, hali ya hewa na mengine yanaendelea kujadiliwa muda huu. (Picha zote na Andrew Chale, Modewjiblog.

Na Andrew Chale, Modewjiblog

[VICTORIA FALLS-ZIMBABWE]...

 

10 years ago

GPL

MFUKO WA MAENDELEO YA JAMII TASAF WAKUTANA NA WADAU WA MAENDELEO JIJINI DSM

Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF Bw Ladislaus Mwamanga akitoa neno la ukaribisho kwa washiriki wa Mkutano wa pamoja baina ya wadau wa maendeleo,Maafisa wa serikali na watendaji wa TASAF kwenye Ukumbi wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini DSM. Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Bwana Peter Ilomo akifungua mkutano wa wadau wa Maendeleo,maafisa wa…

 

5 years ago

Michuzi

JIJI LA DODOMA LAKABIDHI MAGARI YENYE THAMANI YA SH MILIONI 345 KWA WATAALAMU WAKE WA MIPANGO MIJI

Charles James, Globu ya Jamii
HALMASHAURI ya Jiji la Dodoma limekabidhi magari matatu kwa Idara ya Mipango Miji kwa ajili ya kurahisisha shughuli za wataalamu wake katika kudhibiti ujenzi holela kwenye jiji hilo.
Hayo yamefanyika ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Waziri Mkuu, Mhe Kassim Majaliwa la kusimamia utekelezaji wa mpango kabambe wa Jiji la Dodoma.
Akizungumza wakati wa kukabidhi magari hayo, Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma, Godwin Kunambi amesema magari hayo yamegharimu kiasi cha Sh...

 

10 years ago

Michuzi

Mfuko wa Maendeleo ya Jamii TASAF wakutana na wadau wa Maendeleo jijini DSM kufanya Mapitio ya Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini PSSN.

Washiriki wa Mkutano wa Wadau wa Maendeleo, maafisa wa serikali na TASAF wakiwa katika picha ya pamoja baada ya ufunguzi wa mkutano huo kwenye ukmbi wa miktrano wa Mwalim Nyerere jijini DSM. Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF Bw Ladislaus Mwamanga akitoa neno la ukaribisho kwa washiriki wa Mkutano wa pamoja baina ya wadau wa maendeleo,Maafisa wa serikali na watendaji wa TASAF kwenye Ukumbi wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini DSM leo. Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Bwana Peter Ilomo akifungua...

 

5 years ago

Michuzi

WAKURUGENZI H/M WATAKIWA KUWATUMIA WATAALAMU WA OFISI ZA ARDHI ZA MIKOA

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi, Naibu wake Dkt Angeline Mabula, Katibu Mkuu Mary Makondo na Mpima wa ofisi ya ardhi mkoa wa Iringa Makuka Mkasa wakiangalia vifaa vya upimaji wakati wa uzinduzi wa ofisi ya ardhi ya mkoa wa Iringa jana.

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akifafanua jambo kwa Mpima wa Ofisi ya Ardhi mkoa wa Iringa Makuka Mkasa wakati wa uzinduzi wa ofisi ya ardhi mkoa wa Iringa jana. Wengine katika picha wa pili kushoto ni...

 

11 years ago

Mwananchi

Shein ahimiza vipaumbele mipango ya maendeleo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein amesisitiza umuhimu kwa wizara kutambua vipaumbele katika kupanga bajeti ili kupata matokeo mazuri.

 

10 years ago

Dewji Blog

Wakulima watakiwa kufuata ushauri wa wataalamu na kufanyia kazi mafunzo wanayopewa

Afisa Kilimo daraja la kwanza  wa halmashauri ya Mbulu, Peter Sangawe akiwa anaomuonyesha  Mkuu wa mkoa wa Manyara, Dk. Joel Bendera  jinsi ya kuifadhi  nafaka bila kutumia kemikali.

Mkuu wa mkoa wa Manyara, Dk .Joel Bendera akiwa anakagua vitunguu vinavyolimwa na halmmashauri ya Mbulu.

Mkurugenzi wa kampuni ya SaBSAI Pangani  Enterprises, Mr Feroz Kassam akiwa anawaonyesha  wananchi waliotembelea  katika shamba darasa lao kuangalia Bontera  mbolea au dawa ambayo inatumika...

 

9 years ago

Michuzi

TUNAJITAHIDI KUTEKELEZA SERA NA MIPANGO YA MAENDELEO JUMUISHI -TANZANIA

Na Mwandishi Maalum, New York Ikiwa ni Wiki moja kupita tangu Viongozi wa Wakuu wa Nchi na Serikali kutoka Mataifa mbalimbali Dunia, kuhitimisha ushiriki wao katika mikutano muhimu mikuu miwili, upitishwaji wa Malengo Mapya ya Maendeleo Endelevu na Mkutano wa 70 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa. Nchi wanachama wameingia katika hatua nyingine ya mikutano ya Kamati Sita zinazounda Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa. Kamati zinazounda Baraza Kuu na ambazo zimeanza mikutano yake...

 

9 years ago

Vijimambo

TUNAJITAHIDI KUTEKELEZA SERA NA MIPANGO YA MAENDELEO JUMUISHI-TANZANIA

Naibu Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Ramadhan Mwinyi akichangia majadiliano kuhusu ajenda ya Maendeleo ya Jamii katika Mkutano wa Kamati ya Tatu ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa. Kamati Sita zinazounda Baraza hilo zimeanza mikutano yake ikiwa ni wiki moja tangu kukamilika kwa mikutano ya Kilele ya Viongozi wa Kuu wa Nchi na Serikali iliyofanyika hapa Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa.
Na  Mwandishi Maalum, New YorkIkiwa ni Wiki  moja kupita   tangu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani