Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watafuta mwekezaji Temeke Mwisho

Halmashauri ya Manispaa ya Temeke ipo katika mchakato wa kumtafuta mwekezaji atakayefanikisha ujenzi wa kituo cha biashara katika eneo la Temeke Mwisho.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Shule ya msingi kuvunjwa wilayani Temeke kumpisha mwekezaji

Hofu imewagubika wazazi na walimu wa Shule ya Msingi Mji Mpya, iliyopo Temeke baada ya kuwapo kwa taarifa za kubomolewa kwa shule hiyo ili kupisha ujenzi wa majengo ya biashara.

 

11 years ago

BBCSwahili

Watafuta kazi wakutana na kifo

Watu kadha waliokuwa wakitafuta kazi mjini Abuja, Nigeria, wauwawa katika msongamano ndani ya uwanja wa michezo wa taifa

 

10 years ago

Bongo Movies

Nuh, Shilole Watafuta Mtoto

Nuh Mziwanda, baada ya kuvuka kihunzi cha skendo ya kumpachika mimba binti, na kupelekea msukosuko katika penzi lake na Shilole, hatimaye ameongea na eNewz na kueleza mipango yake ya kuzaa mtoto na Shilole.

Nuh ameileza eNewz kuwa, yeye pamoja na Shilole wanapenda sana kupata mtoto wao, ila anafahamu kuwa hiyo ni mipango ya Mungu na wakati wowote kutoka sasa ikitokea baraka hiyo watafurahi, huku akiweka mipango ya ndoa baada ya kutambulishana kwa wazazi.

Eatv.tv

 

10 years ago

Michuzi

Makundi 5 yang'ara ndani ya Temeke kwenye usaili wa kwanza Dance 100% 2015 Temeke

Usili wa kwanza wa Dance 100% (2015) umefanyika kwa mafanikio makubwa Temeke jijini Dar es Salaam, ambapo makundi ya Team ya Shamba, The WT Group, WD, The Best Boys Kaka Zao na Team Makorokocho wameweza kushinda nafasi ya kuingia katika michuano kutoka wilaya ya Temeke.
Makundi haya yamechuana vikali na mengine 6 yanayokamilisha idadi ya makundi 11, UNI 6 Crew, GMF Crew, TWC, Dar Crew, Noma Sana Crew, na Viga Stars yaliyojitokeza kuwania nafasi hiyo katika usajili huo wa kwanza.


Mratibu wa...

 

9 years ago

BBCSwahili

Wachunguzi watafuta chanzo cha moto Dubai

Wachunguzi mjini Dubai wanajaribu kubaini chanzo cha moto uliozuka katika hoteli ya kifahari mkesha wa mkesha wa Mwaka Mpya na kujeruhi watu kadha.

 

10 years ago

Mwananchi

Wastaafu Bandari watafuta huruma ya Waziri Sitta

Wastaafu 263 wa iliyokuwa Mamlaka ya Bandari nchini (THA) wamemwomba Waziri wa Uchukuzi, Samuel Sitta kuingilia kati mgogoro wa muda mrefu wa kulipwa mafao yao ya Sh2 bilioni.

 

9 years ago

Mtanzania

ACT watafuta wadhamini kwa mgombea urais kivuli

ACTNA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM

CHAMA cha ACT –Wazalendo kimetuma timu ya viongozi wake kutafuta wadhamini wa mgombea urais ambaye hadi sasa hajapatikana.

Akizungumzia hilo jana kwa njia ya simu, Ofisa Habari wa chama hicho, Abdallah Khamis, alisema suala la mgombea urais kwa chama hicho bado lipo palepale na linatarajia kutatuliwa kwenye kikao cha Kamati Kuu.

“Kwa kuwa tunaamini kwamba lazima tusimamishe mgombea urais, imekuwa sababu kubwa kuanza safari za kuzunguka mikoani kumtafutia...

 

10 years ago

Michuzi

MKUU WA WILAYA YA TEMEKE NDUGU SOPHIA MJEMA AFUNGA RASMI MAFUNZO YA SIKU 5 YA KUZUIA MIMBA ZA UTOTONI KWA WANAFUNZI WA SEKONDARI WILAYANI TEMEKE

Mkuu wa Wilaya ya Temeke Ndugu Sophia Mjema akilakiwa na Dkt. Martha Kisanga, Meneja wa Kanda ya Pwani wa Shirika la Engender Health mara baada ya kuwasili kwenye eneo la Shule ya Sekondari Kibasila kwa ajili ya kufunga rasmi mafunzo ya siku 5 yaliyohusu mradi wa kuzuia mimba za utotoni katika Shule za Sekondari katika Wilaya ya Temeke tarehe 17.4.2015. Waliosimama katikati ni Ndugu Donald Siliva, Afisa-Elimu Sekondari, Wilaya ya Temeke na Dkt. Sarah Maongezi, Mkurugenzi wa Afya kutoka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani