Wataka wajumbe waliosusa walaaniwe
WAJUMBE wa Bunge Maalum la Katiba wamesema kitendo walichofanya wajumbe wenzao wa Umoja wa Katiba wa Wananchi (Ukawa) kutoka nje ya Bunge wakati mjadala wa Rasimu ya Katiba mpya ukiendelea, ni cha kulaaniwa na kukemewa na kila Mtanzania.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima18 Apr
‘JK atengue uteuzi wa wajumbe waliosusa’
MWENYEKITI wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, ameombwa kumshauri Rais Jakaya Kikwete kutengua uteuzi wa wajumbe wa kundi la 201 waliosusia kikao cha juzi na kutoka nje. Ombi hilo...
11 years ago
Tanzania Daima18 Apr
Rage: Wajumbe waliosusa wasirudi bungeni
MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Ismail Rage, ametaka bunge hilo kutowaruhusu kurudi bungeni wajumbe waliosusa. Rage alitoa kauli hiyo bungeni jana baada ya kuomba muongozo wa Mwenyekiti. Alisema hivi...
11 years ago
Habarileo13 Aug
Wajumbe wataka haki za wanaume
WAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, wamependekeza suala la Haki za Wanaume liongezwe kwenye Rasimu ya Katiba Mpya. Mapendekezo hayo yametokana na majadiliano yaliyofanywa kwenye Kamati Namba Tisa ya Bunge hilo, wakati ikijadili ibara mbalimbali za Sura ya Pili na ya Tatu ya Rasimu ya Katiba ya Jaji Joseph Warioba.
11 years ago
Mtanzania13 Aug
Wajumbe wataka haki za wanaume Katiba mpya
![Mwenyekiti wa Kamati namba tisa (9) ya Bunge Maalum la Katiba, Kidawa Hamid Salehe.](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Kidawa-Hamid-Salehe.jpg)
Mwenyekiti wa Kamati namba tisa (9) ya Bunge Maalum la Katiba, Kidawa Hamid Salehe.
NA DEBORA SANJA, DODOMA
KAMATI namba tisa ya Bunge Maalumu la Katiba, imesema kuna haja ya kuongeza ibara mpya katika sura ya nne ya Rasimu ya Katiba itakayozungumzia haki za wanaume.
Mbali na hilo, wajumbe wa Bunge hilo walitaka Katiba ieleze Tanzania inaongozwa na itikadi gani kati ya ujamaa na ubepari.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa jana, Mwenyekiti wa kamati hiyo, Kidawa Hamis Salehe,...
11 years ago
Habarileo24 Apr
Wajumbe wataka sura ya ardhi Katiba mpya
WAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba wametaka kuwepo kwa sura maalumu katika Katiba mpya, itakayozungumzia suala la ardhi pekee, ikiwa ni hatua ya kupunguza migogoro baina ya wakulima na wafugaji kwa kuweka mgawanyo sahihi wa rasilimali hiyo.
11 years ago
Mwananchi03 Mar
Mivutano yaendelea kulitafuna #Bunge la #Katiba, wajumbe wataka maridhiano [VIDEO]
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/gKY8URbH3Lk/default.jpg)
10 years ago
Dewji Blog04 Sep
Wajumbe Kundi la 201 watoa tamko dhidi ya wanaolichafua Bunge Maalum la Katiba na Wajumbe wa kundi hilo
Askofu Amos Muhagachi akitoa tamko juu ya tuhuma mbalimbali dhidi ya kundi la 201 la wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba jana 03 Septemba, 2014 katika Ukumbi wa Spika, Mjini Dodoma.
Na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma.
WAWAKILISHI wa Taasisi za dini wa Bunge Maalum la Katiba toka wajumbe 201 wametoa tamko lao dhidi ya tuhuma mbalimbali zinazoendelea katika kulichafua Bunge hilo ikiwemo baadhi ya wajumbe wa kundi hilo wakituhumiwa kudaiwa kupewa rushwa.
Tamko hilo limetolewa jana 03 Septemba,...