‘JK atengue uteuzi wa wajumbe waliosusa’
MWENYEKITI wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, ameombwa kumshauri Rais Jakaya Kikwete kutengua uteuzi wa wajumbe wa kundi la 201 waliosusia kikao cha juzi na kutoka nje. Ombi hilo...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo18 Apr
Wataka wajumbe waliosusa walaaniwe
WAJUMBE wa Bunge Maalum la Katiba wamesema kitendo walichofanya wajumbe wenzao wa Umoja wa Katiba wa Wananchi (Ukawa) kutoka nje ya Bunge wakati mjadala wa Rasimu ya Katiba mpya ukiendelea, ni cha kulaaniwa na kukemewa na kila Mtanzania.
11 years ago
Tanzania Daima18 Apr
Rage: Wajumbe waliosusa wasirudi bungeni
MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Ismail Rage, ametaka bunge hilo kutowaruhusu kurudi bungeni wajumbe waliosusa. Rage alitoa kauli hiyo bungeni jana baada ya kuomba muongozo wa Mwenyekiti. Alisema hivi...
11 years ago
Mwananchi09 Feb
Uteuzi Wajumbe Bunge la Katiba wapondwa
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/RnVdzGQ*fcLmiyXMxfKpAPcF5poTBl8sS8P1018L8mQ0ZTMclMl3rxPrgB0v6jcB2wbpUusb9ttbnL0NTfVjmWwK5o63RDJS/wajumbe.jpg?width=650)
UTEUZI WA WAJUMBE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA
11 years ago
Michuzi30 Apr
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/6vIMLmuhUcqn1OZaI42Q9bIzJJeh09OWCEyIQTXbrXLJgyHyh*60yuv-Tbme1FtllPVfh5jngTV0gmJ3QEs9cVmbN6-yvs9n/tanzania.jpg)
UTEUZI WA WAJUMBE WA BARAZA LA CHUO KIKUU CHA SAYANSI NA TEKNOLOJIA MBEYA
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-5EwsiZSa4eE/XvLqeiT1uBI/AAAAAAALvJA/kxlWQZ6EsZIBq4bA4kcmVddVfFMy21ZhACLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20190921-WA0022.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-GzaHmcW2AcA/Vf_35a3K5VI/AAAAAAAH6gs/CzT3YBm6rpI/s72-c/images.jpg)
UTEUZI WA MWENYEKITI NA WAJUMBE WA BODI YA MAMLAKA YA USIMAMIZI WA WANYAMAPORI TANZANIA (TAWA)
![](http://1.bp.blogspot.com/-GzaHmcW2AcA/Vf_35a3K5VI/AAAAAAAH6gs/CzT3YBm6rpI/s200/images.jpg)
Wizara ya Maliasili na Utalii inapenda kuujulisha umma kuwa, Bodi mpya ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (Tanzania Wildlife Authority -TAWA), imeteuliwa rasmi kuanzia tarehe 09 mwezi Septemba, 2015. Katika uteuzi huo, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemteua...