WATANZANIA SEATTLE WAFUNGA MWAKA KWA MBWEMBWE
![](http://4.bp.blogspot.com/-d8iTaIMDbx4/VKEP8S3BlFI/AAAAAAADTBE/3U6iiENek8w/s72-c/20141227_212558.jpg)
Watanzania Washington, Seattle wakifanya sherehe ya kufunga mwaka iliyofanyika siku ya Jumamosi Desemba 27, 2014 katika mji wa Seattle uliopo jimbo la Washington na kuhudhuriwa na Watanzania na marafiki zao.
Watanzania Washington, Seattle wakipata picha ya kumbukumbu katika sherehe ya kufunga mwaka 2014 na kuukaribisha mwaka 2015 iliyofanyika siku ya Jumamosi Desemba 27, 2014.
Wakina dada wa Seattle katika picha ya pamoja.
ni kupendeza kwa kwenda mbele katika sherehe ya kufunga mwaka...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo01 Apr
WATANZANIA WASHINGTON SEATTLE KUMPOKEA RAIS JAKAYA KIKWETE LEO JUMATANO
![](http://api.ning.com/files/H4Y4Bjf0eWAbXC7qQkRbePDlZHhY01ONh3qyTwSYApVZxHyy9wb9rWQD07rsajBczv8SEWPNgLgVGnjYcbXOPnNjoPI*eQSm/p35.jpg)
Mheshimiwa Rais na ujumbe wake watawasili Seattle: Jumatano Tarehe 1/4/2015, Usiku.Tunaombwa tufike tumpokee Mhe. Rais Jakaya Kikwete na kusalimiana nae
Jumuiya ya Tanzaseattle inawaomba kufika kwa wakati kama ilivyoainishwa:
Pahala:
FOUR SEASONS HOTEL SEATTLE99 Union StreetSeattle, Wa 98101
Siku na Saa:
Jumatano 1/4/2015,Saa Tatu Usiku- Wednesday April 1st, 2015 at 9pm.
Kwa niaba ya Uongozi wa Tanzaseattle.Ahsanteni kwa kufika kwa...
10 years ago
Vijimambo31 Mar
WATANZANIA WASHINGTON SEATTLE KUMPOKEA RAIS JAKAYA KIKWETE KESHO JUMATANO
![](http://api.ning.com/files/H4Y4Bjf0eWAbXC7qQkRbePDlZHhY01ONh3qyTwSYApVZxHyy9wb9rWQD07rsajBczv8SEWPNgLgVGnjYcbXOPnNjoPI*eQSm/p35.jpg)
Mheshimiwa Rais na ujumbe wake watawasili Seattle: Jumatano Tarehe 1/4/2015, Usiku.Tunaombwa tufike tumpokee Mhe. Rais Jakaya Kikwete na kusalimiana nae
Jumuiya ya Tanzaseattle inawaomba kufika kwa wakati kama ilivyoainishwa:
Pahala:
FOUR SEASONS HOTEL SEATTLE99 Union StreetSeattle, Wa 98101
Siku na Saa:
Jumatano 1/4/2015,Saa Tatu Usiku- Wednesday April 1st, 2015 at 9pm.
Kwa niaba ya Uongozi wa Tanzaseattle.Ahsanteni kwa kufika kwa...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Y3Hmig3Fkvw/UwueaVgQ5QI/AAAAAAAFPUA/Vyt4Kz-DFH8/s72-c/2318784-flag-of-tanzania-waving-in-the-wind.jpg)
Hoja ya haja ya Mwenyekiti wa Watanzania wa Washington-Seattle kuhusu uraia pacha
![](http://4.bp.blogspot.com/-Y3Hmig3Fkvw/UwueaVgQ5QI/AAAAAAAFPUA/Vyt4Kz-DFH8/s1600/2318784-flag-of-tanzania-waving-in-the-wind.jpg)
9 years ago
Mwananchi13 Dec
Wafanyakazi MCL Dar, Moshi wafunga mwaka
10 years ago
Mwananchi06 Jul
HOJA YA MWAKA: Uchaguzi wa wabunge wa Finland na mafunzo kwa watanzania
10 years ago
Dewji Blog01 Jan
Salamu za mwaka mpya za Rais Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kwa watanzania
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete.
HOTUBA YA MWAKA 2015 – FINAL.doc by moblog
9 years ago
Dewji Blog05 Jan
Halotel kufikisha mtandao kwa asilimia 95 ya watanzania hadi mwishoni mwa mwaka 2016
Naibu Mkurugenzi wa Kampuni ya mawasiliano ya Halotel, Le Van Dai akizungumza na wanahabari katika makao makuu ya kampuni hiyo jijini Dar es Salaam leo kuhusuiana na mtandao huo kutanua huduama zake hadi kufikia asimimia 95 ya watazanzania. Wanaoshuhudia ni Naibu Mkurugenzi wa Rasilimali Watu, Emanuel Malyeta (kushoto), na kulia kwake ni mwanasheria wa kampuni hiyo,Christopher Masai.
Naibu Mkurugenzi wa Rasilimali Watu wa Halotel, Emanuel Malyeta akifafanunua jambo kwa waandishi wa habari....
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-IRUMv7t-BkY/VKXQaRBHbPI/AAAAAAADLIU/FVC7ZS4GdRQ/s72-c/115.jpg)
Salamu za Mbunge wa Nzega -CCM Dr. Hamisi Kigwangalla kwa Watanzania , Mwaka Mpya 2015
![](http://2.bp.blogspot.com/-IRUMv7t-BkY/VKXQaRBHbPI/AAAAAAADLIU/FVC7ZS4GdRQ/s1600/115.jpg)
Mbunge wa Nzega -CCM Dr Hamisi Kigwangalla-Ni Mwaka Mpya Tena! Dr. Hamisi Kigwangalla, MB.Ndugu Watanzania wenzangu,Kwa heshima na taadhima na kwa moyo wa kiutumishi, najisikia furaha kuwatumia salamu za Mwaka mpya 2015. Kwa hakika Mungu amekuwa mwema sana kwangu na kwako mwaka 2014 kwa namna nyingi mbalimbali, ila kwa kiasi kikubwa kwa kutujalia zawadi ya uhai, mafanikio kwenye kazi zetu, uvumilivu tulipoanguka, nguvu tulipokutana na changamoto mbalimbali, na uwezo wa kupambana nazo...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/TuH-vYM0DCxCCo7Cf3-1cvsd3E207Hy5ZdZ3DT6U0SRSzt619CQu6fJYhqvFkLyReASkAzBmQCzs2NCMODh29*JWf4Uogrkg/h4.jpg?width=750)
SALAMU ZA MWAKA MPYA ZA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE KWA WATANZANIA,