Watanzania tumewatuma kujadili Katiba si posho
NIMESHAWISHIKA kuandika mtazamo huu kutokana na kushindwa kuwaelewa watu wanaoitwa wabunge wa Bunge Maalumu la Katiba. Sina shaka na Rais Kikwete kuwateua wajumbe hao japo kwa matendo yao nalazimika kuwa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima11 Feb
Posho za Bunge la Katiba kufuru
SIKU chache tu baada ya Rais Jakaya Kikwete kutangaza majina ya wajumbe walioteuliwa kuingia kwenye Bunge Maalumu la Katiba, posho za wabunge hao kwa siku ni kufuru. Habari ambazo gazeti...
11 years ago
Tanzania Daima20 Feb
Bunge la Katiba wagomea posho
JINAMIZI la kutaka posho nono kwa watu wanapopewa majukumu ya kufanya kazi za umma limezidi kushika kasi baada ya jana wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kutaka waongezewe posho zaidi....
10 years ago
Mtanzania26 Aug
Bunge la Katiba: Posho zazua balaa
![Samuel Sitta](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Samuel-Sitta.jpg)
Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba ambaye pia ni Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta
Na Fredy Azzah, Dodoma
WAKATI vikao vya Kamati za Bunge Maalumu la Katiba vikiendelea mjini hapa, kundi la wajumbe wa Bunge hilo limeibuka na kulalamikia hatua ya kutolipwa posho za kujikimu.
Kutokana na hali hiyo wajumbe hao ambao hawakuwa tayari kutajwa majina yao gazetini, wamedai wamekuwa wakiishi maisha ya tabu hali inayochangiwa na Ofisi ya Bunge Maalumu kushindwa kuwalipa posho za siku 11...
11 years ago
Tanzania Daima04 May
‘Serikali isitishe posho Bunge la Katiba’
SERIKALI imeombwa kuzuia malipo ya posho kwa wabunge wa Bunge Maalumu la Katiba, badala yake fedha hizo zielekezwe katika huduma za jamii. Kauli hiyo ilitolewa juzi wilayani Rorya mkoani Mara...
11 years ago
Tanzania Daima26 Feb
BUNGE MAALUMU LA KATIBA: Uzalendo na posho (2)
BUNGE Maalumu la Katiba limeanza kazi iliyokusudiwa! Hata hivyo, matarajio ya wananchi wengi yameanza kuingia shaka kubwa baada ya wabunge kuanza madai ya nyongeza ya posho za vikao badala ya...
11 years ago
Tanzania Daima21 Feb
Posho Bunge la Katiba yaundiwa tume
SAKATA la nyongeza ya posho limechukua sura mpya baada ya Mwenyekiti wa muda wa Bunge Maalumu la Katiba, Pandu Ameir Kificho, kuunda kamati ya watu sita kulishughulikia. Kificho alisema kamati...
11 years ago
Mwananchi26 Feb
Wapo Dodoma kuchukua posho au kuandika Katiba?
11 years ago
Tanzania Daima20 Feb
Aibu wajumbe Bunge la Katiba kulalamikia posho
MIJADALA ya siku mbili tu tangu Bunge Maalumu la Katiba lilipoanza kikao chake mjini Dodoma, inatia shaka kama kweli wawakilishi hao walioteuliwa na rais watatimiza lengo ambalo Watanzania wanalitarajia la...
11 years ago
Mwananchi19 Feb
‘Zengwe’ la posho lazidi kulizonga #Bunge la #Katiba