Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Watanzania wafikirie kuulinda Muungano’

Stephen WassiraWAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mahusiano na Uratibu, Stephen Wassira amesema ni vyema Watanzania wakafikiria kudumisha Muungano kwa kutazama kero zilizoonekana miaka 50 iliyopita ikiwemo kero za watendaji, sheria na kuondoa kabisa kero zote ili kuweza kusonga mbele.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

‘Watanzania wafikirie kulinda Muungano’

Stephen WassiraWAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mahusiano na Uratibu, Stephen Wassira amesema ni vyema Watanzania wakafikiria kudumisha Muungano kwa kutazama kero zilizoonekana miaka 50 iliyopita ikiwemo kero za watendaji, sheria na kuondoa kabisa kero zote ili kuweza kusonga mbele.

 

10 years ago

Mwananchi

Kama tutauenzi Muungano hatuna budi kusema kweli kuulinda

Katiba inayopendekezwa kwa mujibu wa maelekezo na matakwa ya Sheria ya Mabadiliko ya Katiba Sura ya 83 imekwisha kabidhiwa kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Jakaya Kikwete pamoja na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) Dk. Ali Mohamed Shein.

 

9 years ago

Michuzi

MAGUFULI AHUTUBIA KISIWANI PEMBA LEO,AAHIDI KUULINDA MUUNGANO KWA NGUVU ZOTE.

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya chama cha Mapinduzi,Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi wa Pemba jioni ya leo kwenye kutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Gombani ya Kale mjini Pemba.
Katika mkutano huo wa Kampeni,Dkt Magufuli ameahidi kuwa akichaguliwa kuwa Rais wa awamu ya tano,atadumisha na kuulinda Muungano wa Zanzibar na Tanganyika ulioanzishwa na Waasisi wetu akiwemo Baba wa Taifa Hayati Julius Kambarage Nyerere pamoja na Abeid...

 

11 years ago

Habarileo

Watanzania dumisheni Muungano-Pinda

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda.WATANZANIA wametakiwa kila mmoja kwa nafasi yake kuulinda, kuimarisha na kuudumisha Muungano kwa kutafuta na kuhakikisha ushirikiano wa kindugu uliopo unadumishwa.

 

11 years ago

Habarileo

Wasira- Watanzania lindeni muungano

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mahusiano na Uratibu, Stephen Wassira amesema ni vyema Watanzania wakafikiria kudumisha Muungano kwa kutazama kero zilizoonekana miaka 50 iliyopita ikiwemo kero za watendaji, sheria na kuondoa kabisa kero zote ili kuweza kusonga mbele.

 

11 years ago

Mwananchi

Miaka 50 ya Muungano ilivyonufaika Watanzania

Ukuaji wa uchumi katika Serikali ya Mapinduzi Zanzibar umeimarika kwa asilimia 7.0 katika kipindi cha mwaka 2012 huku Pato la Taifa kwa bei za miaka husika limefikia jumla ya Sh1,354 bilioni mwaka 2012 ikilinganishwa na Sh1,198 bilioni kwa mwaka 2011, kwa mujibu wa taarifa ya Serikali inayozungumzia hali ya fedha mwaka uliopita.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watanzania wahimizwa kudumisha, kuuenzi Muungano

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mtwara, Alhaji Mohamed Sinani, amewataka Watanzania kuendelea kudumisha na kuuenzi Muungano kwa masilahi ya taifa ikiwa ni njia pekee ya kuwaenzi waasisi...

 

11 years ago

Michuzi

Watanzania waaswa kudumisha na kuuenzi muungano.


















Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Mh. Job Ndugai .
(Na Jovina Bujulu, MAELEZO DODOMA).   Muungano wa Tanzania bara na Zanzibar ni jambo la kujivunia kwa watanzania wote na katika bara la Afrika.
Hayo yamesemwa leo na Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Mh. Job Ndugai wakati wa mahojiano katika kipindi cha Jambo kinachorushwa na kituo cha Televisheni cha TBC ONE.
Mh. Ndugai ambaye pia ni Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alisema kuwa jambo la Muhimu...

 

10 years ago

Vijimambo

NISHANI ZA MIAKA 50 YA MUUNGANO ZATOLEWA KWA WATANZANIA 28

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimtunuku nishani ya miaka 50 ya Muungano daraja la pili Augustino Stephene Ramadhan katika hafla kutunuku nishani katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam sambamba na maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara jana.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimtunuku nishani ya miaka 50 ya Muungano daraja la pili Ali Salum Ahmed katika hafla kutunuku nishani katika viwanja vya Ikulu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani