Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watanzania waitikisa Marekani kwa utapeli

Baadhi ya Watanzania wanaoishi Marekani huenda wakaozea jela baada ya kutiwa hatiani na wengine kukiri mahakamani kuhusika katika utapeli na wizi wa mamilioni ya Dola za Marekani, kupitia mikopo na upangishaji wa nyumba.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Wanakijiji Japan waitikisa dunia kwa uvuvi wa pomboo

POMBOO ni mmoja wa samaki wapole wa baharini ambao wanapendwa sana na binadamu. Anahesabika kati ya wanyama wenye akili nyingi kwani ana uwezo wa kujifunza mambo na kuyakariri. Pia ana...

 

11 years ago

Michuzi

Emirates yatoa punguzo maalumu la bei za tiketi kwa Watanzania wanaokwenda Chicago, Marekani

Wasilisha ombi la tiketi kabla ya Agosti 5 kwa safari za hadi Novemba 30, 2014

Shirika la Ndege la Emirates, linalosifika kwa kutoa huduma bora za usafiri wa anga kwa abiria kwa mataifa mbalimbali, limetangaza ofa maalumu kwa Watanzania watakaokwenda Chicago nchini Marekani, kupitia Dubai wakitokea Dar es Salaam. Punguzo hilo au ofa hiyo maalumu ni kwa madaraja ya abiria wa kawaida yaani Economy Class na daraja la wafanyabiashara ‘Business Class’.
Emirates ilitangaza ofa hiyo mapema...

 

10 years ago

Vijimambo

MHE. BALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI ANAWAKARIBISHA WATANZANIA WOTE WAISHIO MAREKANI KATIKA HAFLA YA KUWAAGA ITAKAYOFANYIKA JUMAMOSI TAREHE 25 JULAI 2015.





 The Ambassador of the United Republic of Tanzania


                                                      to the United States of America
 H.E. Ambassador Liberata Mulamula

 


has the pleasure to cordially invite you
 to a Barbeque Farewell


 Saturday, July 25th 2015
from Three - Seven in the evening (3:00 – 7:00pm)

at 


 Ambassador’s Residence


1 Highboro Court
Bethesda, MD...

 

10 years ago

Mtanzania

Mbaroni kwa tuhuma za utapeli

Na Upendo Mosha
SERIKALI wilayani Hai mkoani Kilimanjaro, inamshikilia mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Preygod Mmasi, kwa tuhuma za kujihusisha na utapeli kwa kutumia kivuli cha Ofisi ya Waziri Mkuu na kuwatapeli wawekezaji wilayani humo kwa kushirikiana na baadhi ya watumishi wa Serikali.
Akizungumzia tukio hilo, Mkuu wa wilaya hiyo, Athoniy Mtaka ambaye pia ni Mwenyekiti wa ulinzi na usalama wilayani humo, alisema mtuhumiwa huyo alikamatwa Juni mosi mwaka huu saa 3 usiku mkoani Arusha...

 

10 years ago

GPL

ROSE MUHANDO KWA UTAPELI TOO MUCH!

Stori:  Mwandishi Wetu, IRINGA
LILE jinamizi la kupokea fedha kwa ajili ya kushiriki tamasha la kuimba nyimbo za Injili kisha kutotokea siku ya tukio linazidi kumwandama nyota wa muziki huo nchini, Rose Athuman Muhando, safari hii akidaiwa kumliza tena mtu, Ijumaa Wikienda lina kesi hiyo mkononi. Nyota wa muziki huo nchini, Rose Athuman Muhando. Kwa mujibu wa chanzo makini cha ndani, safari hii ameendelea kupokea fedha...

 

9 years ago

Global Publishers

Amanda atumika kwa utapeli

GLOBALTVONLINE14Staa wa Bongo Movies, Tamrina Posh ‘Amanda’.

Mwandishi wetu
Kaa chonjo! Staa wa Bongo Movies, Tamrina Posh ‘Amanda’ amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya jina lake kutumika kwa utapeli kwenye mitandao ya kijamii.

Amanda ameliambia Ijumaa Wikienda kwamba, kuna Amanda feki anayetumia jina lake kutapeli watu ambapo tayari amepokea malalamiko mengi huku jamaa mmoja akichukuliwa fedha kilaini (hakutaja kiasi) kupitia Facebook, akiamini ni staa huyo hivyo kuwataka watu kuwa makini kwani yeye hana...

 

10 years ago

GPL

FEROOZ MBARONI KWA UTAPELI

Mayasa Mariwata na Makongoro Ogin’g
Tena? Kwa mara nyingine staa wa Bongo Fleva, Ferooz Mrisho ametiwa mbaroni kwa utapeli akidaiwa ‘kuchikichia’ fedha za kumpangisha nyumba jamaa aliyejitambulisha kwa jina la Tony Noah kiasi cha zaidi ya Sh. milioni 3.2 kisha kuingia mitini ikielezwa kuwa nyumba hiyo ina mgogoro. Staa wa Bongo Fleva, Ferooz Mrisho. Kwa mujibu wa chanzo chetu cha kuaminika, ilidaiwa kwamba,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani