Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watanzania wanaosoma Kenya wafukuzwa

Waziri wa Mambo ya Nje, Bernad Membe.KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, mamia ya wanafunzi wa Kitanzania wanaosoma katika shule za msingi nchini Kenya, wameripotiwa kufukuzwa nchini humo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

SERIKALI HAIJAWATELEKEZA WATANZANIA WANAOSOMA UKRAINE

Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bw. Mkumbwa Ally akizungumza na  Waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu hatua  zilizochukuliwa na Ubalozi wa Tanzania nchini Urusi katika kuhakikisha Wanafunzi kutoka Tanzania wanaondoka katika Jimbo lenye machafuko la Lugansk huko Ukraine. Mwingine katika picha ni Bw. Ally Kondo, Afisa Habari.Sehemu ya Waandishi kutoka Vyombo mbalimbali vya habari vya hapa nchiniMkutano...

 

5 years ago

Mwananchi

Marafiki wa NASA wafukuzwa Kenya

Kiongozi wa Nasa na mgombea nafasi ya Seneta Kaunti ya Siaya amesema marafiki zao kutoka nje ya nchi wamefukuzwa nchini.

 

11 years ago

Michuzi

BALOZI KAMALA AKUTANA NA WATANZANIA WANAOSOMA VYUO VIKUU VYA UBELGIJI

Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala akiwa katika picha ya pamoja na Watanzania wanaosoma katika Vyuo Vikuu vya Ubelgiji. Balozi Kamala kakutana na Watanzania hao leo hii Ubelgiji- Brussels kushauriana nao masuala mbalimbali ya kitaifa.

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI KAMALA AKUTANA NA WATANZANIA WANAOSOMA VYUO VIKUU VYA UBELIGIJI

Balozi wa Tanzania  Ubeligiji (mwenye tai) akiwa katika picha ya pamoja na Watanzania wanaosoma kwenye vyuo vikuu vya Ubeligiji . Balozi Kamala kakutana na Watanzania hao Jumamosi jijini Brussels kuzungumzia maswala mbalimbali ikiwemo masomo na changamoto zake pamoja  na maendeleo ya nyumbani Tanzania.

 

10 years ago

Dewji Blog

Jumuiya ya Watanzania wanaosoma Korea ya Kusini kufanya shughuli za kijamii nyumba za kutunza wazee Zanzibar

549

Uongozi wa Jumuiya Watanzania wanaosoma Nchini Korea ya Kusini { KOIKA } ukiongozwa na Rais wake Nd. Steven Katemba ukijitambulisha rasmi kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Nyumbani kwake Mazizini Nje kidogo ya Mji wa Zanzibar mara baada ya kucgauliwa rasmi mwezi Mei Mwaka huu. Nyuma ya Ndugu Steven ni Makamu wa Rais wa Jumuiya hiyo kwa upande wa Zanzibar NduguBukheit Juma.

562

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi kati kati akiwa katika picha ya...

 

10 years ago

Michuzi

Balozi Seif Ali Idd akutana na Uongozi wa Jumuiya Watanzania wanaosoma Nchini Korea ya Kusini { KOIKA }

Jumuiya ya Wanafunzi wa Kitanzania wanaosoma Nchini Korea ya Kusini { KOIKA } imejipanga kuwa kiunganishi kizuri cha wanataaluma wa Korea ya Kusini na wale wa Kitanzania kwa lengo la kudumisha uhusiano uliopo kati ya nchi mbili hizo.
Rais wa KOIKA aliyekuwa kinara wa Ujumbe wa Viongozi Wanne wa Jumuiya hiyo Ndugu Steven Katemba alieleza hayo wakati wa mazungumzo yake na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Nyumbani kwake Mazizini Nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.
Nd. Steven...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Watanzania 2 wazuiwa kuingia nchini Kenya huku idadi ya wagonjwa Kenya ikifikia 715

Raia wawili wa Tanzania wamezuiwa kuingia nchini Kenya katika mpaka wa Isibania baada ya kukutwa na virusi vya corona, kulingana na wizara ya afya nchini humo.

 

10 years ago

Habarileo

Walimu Watanzania wakamatwa Kenya

WALIMU wawili wapya wa Shule ya Msingi Sang’ang’a kata ya Pemba tarafa ya Inchugu wilayani Tarime, mkoani Mara wanashikiliwa nchini Kenya kwa kosa la kuingia nchini humo bila kuwa na kibali.

 

9 years ago

BBCSwahili

Watanzania washukiwa ugaidi Kenya

Polisi nchini Tanzania inafanya mpango wa kuwasilliana na wenzao wa Kenya ili kujua hatima ya Watanzania waliokamatwa nchini humo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani