Watanzania watakiwa kuenzi misingi ya Nyerere
WATANZANIA wametakiwa kutoharibu misingi ya haki, amani na unyofu aliyoiacha Mwalimu Julius Nyerere kwa sababu ya ubinafsi na uroho wa madaraka.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV09 Nov
Watanzania watakiwa kuenzi umoja wa kiimani
Makamu wa rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ameongoza maombi ya kushukuru Mungu baada ya uchaguzi mkuu kukamilika kwa amani, akiwasihi watanzania kuenzi umoja wa kiimani uliopo, kwani nchi nyingine zimetumia vigezo vya tofauti ya dini kusababisha mifarakano.
Aidha amewashukuru Watanzania kwa kuonyesha imani kwa kumchagua Dokta John
Pombe Magufuli kuwa rais, na kwamba imani hiyo imebaki kuwa deni kwao katika kuwatumikia watanzania.
Maombi haya ymefanyika...
11 years ago
Habarileo25 Apr
Pemba watakiwa kuenzi Muungano
WANANCHI wa Pemba wametakiwa kuenzi Muungano wa Tanganyika na Zanzibar unaotimiza umri wa miaka 50 kesho; ukitajwa kuwa umesaidia kuimarisha miradi ya uchumi na maendeleo.
10 years ago
StarTV02 Nov
Watanzania wahimizwa kuendelea kuilinda misingi ya amani na utulivu.
Muhubiri wa kimataifa dokta Egon Falk amesema amani iliyopo nchini Tanzania itaendelea kuwepo miaka mingi ijayo kutokana na misingi imara iliyowekwa.
Amesema misingi hiyo ni ile inayopiga vita ukabila na udini ambayo imewekwa na viongozi wazalendo wenye nia njema na taifa hili.
Katika maombi yake ya kuombea amani nchi ya Tanzania aliyoyafamya katika kijiji cha Gitting wilayani Hanang mkoani Manyara, dkt Falk anasema watanzania wana kila sababu ya kujivunia utulivu huo.
Aidha katika...
9 years ago
StarTV02 Jan
Watanzania watakiwa kuendeleza amani
WATANZANIA wametakiwa kuutumia mwaka mpya wa 2016 kuendeleza Sifa na Historia njema ya Tanzania katika kulinda na kudumisha amani iliyopo.
Kanisa la Tanzania Assemblies of God, TAG, mkoa wa Mbeya limesema kuingia mwaka mpya siyo sababu kwa Watanzania kuacha utamaduni wao wa kudumisha amani bali wanapaswa kuiendeleza sifa hiyo iliyoijengea Tanzania heshima Kimataifa.
Ushauri huo umetolewa na Mchungaji Kiongozi wa kanisa la TAG mkoa wa Mbeya, Addison Mwaijunga, wakati wa ibada maalum ya...
11 years ago
Mwananchi23 Jan
Watanzania watakiwa kupambana na majangili
9 years ago
StarTV04 Jan
Watanzania watakiwa kuacha ubinafsi
Watanzania wametakiwa kuachana na ubinafsi na badala yake kuishi kama ndugu ikiwa ni pamoja na kusaidiana ili kuifanya Tanzania kuendelea kuwa Taifa lenye mshikamano barani Afrika.
Kauli hiyo imetolewa na Askofu Rogathe Swai wa Kanisa la Kinondoni Rivavil mara baada ya kushuhudiwa matukio tofauti ya kifisadi na rushwa yaliyojitokeza mwaka jana ikiwemo baadhi ya Watanzania kutuhumiwa kuficha fedha nje ya Nchi.
Katika ibada ya kuimba na kumsifu Mungu ambayo imefanyika kwenye kanisa la Revival...
10 years ago
BBCSwahili14 Oct
Watanzania wamkumbuka Nyerere mtandaoni
10 years ago
Habarileo01 Mar
Watanzania watakiwa kulinda amani, utulivu
WATANZANIA wametakiwa kulinda amani ya nchi kwa manufaa ya vizazi vya sasa na vijavyo ili kuliletea taifa maendeleo.
10 years ago
Michuzi
Watanzania watakiwa kudumisha Amani na Mshikamano
Watanzania wametakiwa kuendeleza amani na mashikamano uliopo kwa maslahi ya Kizazi hiki na Kizazi Kijacho kwa kuenzi misingi ya Amani na Uzalendo iliyojengwa na Waasisi wa Taifa hili.
Hayo yamesemwa leo Jijini Dar es salaam na aliyekuwa Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Bw. Amon Mpanju ambaye pia ni mwenyekiti wa wa shirikisho la vyama vya watu wenye ulemavu Tanzania.
Nchi ni zaidi ya itikadi na Mihemko ya watu wachache hivyo ni lazima tuwaepuke wote wanaotaka...