Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watanzania watakiwa kuenzi umoja wa kiimani

Makamu wa rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ameongoza maombi ya kushukuru Mungu baada ya uchaguzi mkuu kukamilika kwa amani, akiwasihi watanzania kuenzi umoja wa kiimani uliopo, kwani nchi nyingine zimetumia vigezo vya tofauti ya dini kusababisha mifarakano.

Aidha amewashukuru Watanzania kwa kuonyesha imani kwa kumchagua Dokta John

Pombe Magufuli kuwa rais, na kwamba imani hiyo imebaki kuwa deni kwao katika kuwatumikia watanzania.

Maombi haya ymefanyika...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Watanzania watakiwa kuenzi misingi ya Nyerere

WATANZANIA wametakiwa kutoharibu misingi ya haki, amani na unyofu aliyoiacha Mwalimu Julius Nyerere kwa sababu ya ubinafsi na uroho wa madaraka.

 

11 years ago

Habarileo

Pemba watakiwa kuenzi Muungano

Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Juma Kassim TindwaWANANCHI wa Pemba wametakiwa kuenzi Muungano wa Tanganyika na Zanzibar unaotimiza umri wa miaka 50 kesho; ukitajwa kuwa umesaidia kuimarisha miradi ya uchumi na maendeleo.

 

11 years ago

Michuzi

UMOJA WA MATAIFA WASISITIZA UMUHIMU WA KUWA NA UTAMADUNI MZURI WA KUENZI WANAWAKE WANAOLETA MABADILIKO KWENYE JAMII

DSC_0017 Pichani ni  Mwandishi wa habari na mpiga picha kutoka Ufaransa, Pierre-Yves Ginet akizungumza na wanafunzi wa shule za sekondari mbalimbali za jijini Dar es Salaam na kuwaonyesha picha na kuwapa ufafanuzi wa mambo mbalimbali ambayo wakinamama wamekuwa wakifanya kwa mustakabali kwa kuleta usawa na haki za wanawake duniani.

Shirika la Ufaransa la Alliance Francaise de Dar es Salaam liliandaa safari ya maonyesho iliyopewa jina “women in Resistance by the talented French photo-journalist...

 

11 years ago

GPL

UMOJA WA MATAIFA WASISITIZA UMUHIMU WA KUWA NA UTAMADUNI MZURI WA KUENZI WANAWAKE WANAOLETA MABADILIKO KWENYE JAMII‏

Picha juu na chini ni Mwandishi wa habari na mpiga picha kutoka Ufaransa, Pierre-Yves Ginet akizungumza na wanafunzi wa shule za sekondari mbalimbali za jijini Dar es Salaam na kuwaonyesha picha na kuwapa ufafanuzi wa mambo mbalimbali ambayo wakinamama wamekuwa wakifanya kwa mustakabali kwa kuleta usawa na haki za wanawake duniani.…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wafugaji watakiwa kujenga umoja imara

MKUU wa Mkoa wa Pwani, Hajat Mwantumu Mahiza, amewataka wafugaji kuepuka ukabila miongoni mwao na kujenga umoja imara utakaowawezesha kutetea na kusimamia haki zao. Hajat Mwantumu alisema hayo wakati wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Ramadhan iwajenge waumini kiimani

Kuanzia jana, waumini wa Kiislamu nchini waliungana na wenzao duniani kote kuanza mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watanzania washauriwa kudumisha umoja, mshikamano

WATANZANIA wameshauriwa kuendeleza upendo miongoni mwao bila ya kubaguana kwa misingi ya rangi, kabila na dini, ili kuendeleza jamii na nchi kwa ujumla. Akizungumza wakati wa kuchangisha fedha kwa ajili...

 

11 years ago

Michuzi

Umoja Wa Watanzania Ujerumani Wazindua Tovuti

Umoja wa Watanzania Ujerumani (U T U) Umezindua Mtandao wake leo hii Tarehe 19.05.2011, mjini Aschaffenburg ujerumani. Mtandao huo ambao umeaza kutumika kwa lugha ya Taifa ya Ujerumani (kijerumani) upo mbioni pia kutandaza habari kwa lunga za kimataifa ikiwemo kiswahili. Akiongea na vyanzo vyetu vya habari mwenyekiti wa umoja huo mheshimiwa Mfundo Peter Mfundo amewataka wanachama wa U T U  na Watanzania wote kwa Ujumla kuwa na subira kidogo kwani mtandao huo utaanza kupatikana kwa lugha ya...

 

9 years ago

StarTV

Watanzania watakiwa kuacha ubinafsi

Watanzania wametakiwa kuachana na ubinafsi na badala yake kuishi kama ndugu ikiwa ni pamoja na kusaidiana ili kuifanya Tanzania kuendelea kuwa Taifa lenye mshikamano barani Afrika.

Kauli hiyo imetolewa na Askofu Rogathe Swai wa Kanisa la Kinondoni Rivavil mara baada ya kushuhudiwa matukio tofauti ya kifisadi na rushwa yaliyojitokeza mwaka jana ikiwemo baadhi ya Watanzania kutuhumiwa kuficha fedha nje ya Nchi.

Katika ibada ya kuimba na kumsifu Mungu ambayo imefanyika kwenye kanisa la Revival...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani