Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ramadhan iwajenge waumini kiimani

Kuanzia jana, waumini wa Kiislamu nchini waliungana na wenzao duniani kote kuanza mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Watanzania watakiwa kuenzi umoja wa kiimani

Makamu wa rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ameongoza maombi ya kushukuru Mungu baada ya uchaguzi mkuu kukamilika kwa amani, akiwasihi watanzania kuenzi umoja wa kiimani uliopo, kwani nchi nyingine zimetumia vigezo vya tofauti ya dini kusababisha mifarakano.

Aidha amewashukuru Watanzania kwa kuonyesha imani kwa kumchagua Dokta John

Pombe Magufuli kuwa rais, na kwamba imani hiyo imebaki kuwa deni kwao katika kuwatumikia watanzania.

Maombi haya ymefanyika...

 

11 years ago

GPL

KUMBUKUMBU YA KANUMBA YAMJENGA WOLPER KIIMANI

Stori: MAYASA MARIWATA Staa wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper amesema kila anapofikiria kifo cha aliyekuwa gwiji wa filamu  chini, marehemu Steven Kanumba anajikuta akizidisha ibada na kumtukuza Mungu wake. Wolper akielekea kwenye kaburi la Kanumba. Akizungumza na paparazzi wetu Wolper alisema, katika hali ya kawaida kwa maisha wanayoishi mastaa ya kupenda kujiachia, wengi wamekuwa wakijisahau kuwa dunia ni mapito na kuona...

 

11 years ago

Michuzi

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Vijimambo

Understand Ramadhan



Bismillahi rahman rahim
In the Name of God; the Most Compassionate, the Most Merciful
Asalamualeikum

Why do more than a billion people around the world abstain from eating, drinking, smoking, and sex from dawn to sunset for a one-month period each year? They are Muslims who are fasting during the holy month of Ramadan. Fasting is one of the Five Pillars of the religion of Islam and one of the highest forms of Islamic worship.

Abstinence from earthly pleasures and curbing evil intentions and...

 

11 years ago

Michuzi

Naswaha za ramadhan

Naswaha za ramadhan

 

11 years ago

Michuzi

RATIBA YA RAMADHAN LEICESTER UK

Assalaamu Alaykum, Jumuia ya Kiislamu ya An Noor ya Leicester Uingereza inapenda kuwatakia Waislamu wote mfungo mwema wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan. Allah akujaalieni nyote afya na nguvu za kutekeleza ibada nyingi zaidi ndani Ya Mwezi huu Adhimu. Pia awape Shufaa ndugu zetu wenye matatizo ya Kiafya na mengineyo. Amin
Jumuia ya An Noor inapenda pia kuwatangazia Waislamu wenzao waishio Leicester Na vitongoji vya karibu kuwa Programu ya Ramadhan InshaaAllah Itaendelea kama kawaida...

 

5 years ago

The Citizen Daily

Who was Ramadhan Haji Faki?

Who was Ramadhan Haji Faki?  The Citizen Daily

 

10 years ago

Vijimambo

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani