KUMBUKUMBU YA KANUMBA YAMJENGA WOLPER KIIMANI
Stori: MAYASA MARIWATA Staa wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper amesema kila anapofikiria kifo cha aliyekuwa gwiji wa filamu chini, marehemu Steven Kanumba anajikuta akizidisha ibada na kumtukuza Mungu wake. Wolper akielekea kwenye kaburi la Kanumba. Akizungumza na paparazzi wetu Wolper alisema, katika hali ya kawaida kwa maisha wanayoishi mastaa ya kupenda kujiachia, wengi wamekuwa wakijisahau kuwa dunia ni mapito na kuona...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLJACQUELINE WOLPER AANGUSHA MAOMBI KANUMBA DAY
11 years ago
Tanzania Daima11 Apr
Nilichokiona kumbukumbu ya kifo cha Kanumba 2014
MIAKA wiwili ya kifo cha nyota wa filamu nchini, Steven Kanumba, ilivyokuwa sivyo ilivyotarajiwa na wengi. Aprili 7, 2012 ndiyo siku msanii huyo alifariki dunia kutokana na kifo cha ghafla...
11 years ago
GPLKUMBUKUMBU YA KANUMBA: LULU ASEMA ‘U STILL LIVE IN ME DADDY’
10 years ago
Bongo Movies25 Jan
Mama Kanumba:Nitaendeleza ndoto za Kanumba kupitia "Kanumba Foundation"
Mama wa aliyekuwa nyota wa filamu nchini, marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa amesema kuwa kupitia Kampuni ya Kanumba The Great Film inakamilisha uanzishaji wa taasisi itakayoitwa, Kanumba Foundation.
Pia, alikanusha uvumi kuwa kampuni ya Kanumba imekufa, akifafanua jambo hilo alisema kampuni hiyo inaendelea na shughuli zake. Alisema kutakuwapo Kanumba Foundation ili kusaidia jamii wakiwamo wasanii katika masuala mbalimbali.
Akizungumza na gazeti la Mwananchi, Flora alisema uamuzi...
10 years ago
Mwananchi19 Jun
Ramadhan iwajenge waumini kiimani
9 years ago
StarTV09 Nov
Watanzania watakiwa kuenzi umoja wa kiimani
Makamu wa rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ameongoza maombi ya kushukuru Mungu baada ya uchaguzi mkuu kukamilika kwa amani, akiwasihi watanzania kuenzi umoja wa kiimani uliopo, kwani nchi nyingine zimetumia vigezo vya tofauti ya dini kusababisha mifarakano.
Aidha amewashukuru Watanzania kwa kuonyesha imani kwa kumchagua Dokta John
Pombe Magufuli kuwa rais, na kwamba imani hiyo imebaki kuwa deni kwao katika kuwatumikia watanzania.
Maombi haya ymefanyika...
10 years ago
Bongo Movies07 Apr
Kanumba Day: Wastara Ana Haya Kuhusu Kitabu cha Kanumba
“Hiki kitabu chenye historia yako chatosha kunifanya nione umuhimu mkubwa uliokuwa nao katika tasnia na safari ndefu uliyopitia mpka ulimwengu kkutambua wew ni nani yoyte mwenye moyo wa dhati na asiyechoka na kukata siku zote atasimama nakufuata njia ulizopita duniani ni njia tu lakini jinsi utakavyoipita njia hii ndivyo utakavyowapa watu kumbukumbu ya kukkumbuka kilasiku tunakukumbuka sana lakini kifo ni safari ya lazima aina rushwa wala aikwepeki tuko nyuma yako mungu akusamehe makosa yako...
10 years ago
Bongo Movies07 Dec
MAMA KANUMBA: Skendo ya Kanumba iliyonitesa ni ya Ung'eng'e
Mama wa marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa ambaye kwasasa ameingia kwenye tasnia ya filamu hapa nchini amefunguka kuwa hakuna skendo ambayo ilimsononesha kama ile ya mwanaye huyo kuambiwa hajui Kiingereza .
Mama Kanumba alifunguka hayo juzikati katika mahojiano maalum na Mwandishi Wetu : “Eti Kanumba hajui Kiingereza , hili lilinishtua sana nikalipinga kwa nguvu zote sababu najua mwanangu hata shule alikuwa kichwa, ” alisema mama Kanumba .
Skendo ya kudaiwa kutozungumza Kiingereza...
10 years ago
Bongo Movies18 Feb
Mama Kanumba Awa Mbogo, Kisa Ofisi ya Kanumba…!
KUFUATIA kufungwa kwa ofisi ya aliyekuwa msanii nyota wa filamu marehemu Steven Kanumba ya Kanumba The Great, mama mzazi Flora Mtegoa amegeuka mbogo baada ya kuulizwa kuhusu hatima ya kikazi ya taasisi hiyo.
Watu wamezidi kunifuatilia mambo yangu, sitaki kabisa nimechoka, hii kampuni haimhusu mtu yeyote, hili ni jambo langu siyo lazima niliweke wazi, kama kampuni imekufa au itaendelea haiwahusu, wanaoamini imekufa waamini hivyo, maana hata Yesu walisema atarudi hadi leo mbona hajarudi?...