Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Umoja Wa Watanzania Ujerumani Wazindua Tovuti

Umoja wa Watanzania Ujerumani (U T U) Umezindua Mtandao wake leo hii Tarehe 19.05.2011, mjini Aschaffenburg ujerumani. Mtandao huo ambao umeaza kutumika kwa lugha ya Taifa ya Ujerumani (kijerumani) upo mbioni pia kutandaza habari kwa lunga za kimataifa ikiwemo kiswahili. Akiongea na vyanzo vyetu vya habari mwenyekiti wa umoja huo mheshimiwa Mfundo Peter Mfundo amewataka wanachama wa U T U  na Watanzania wote kwa Ujumla kuwa na subira kidogo kwani mtandao huo utaanza kupatikana kwa lugha ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Makamu mwenyekiti wa Umoja wa Watanzania Ujerumani (UTU e.V) kuwasili nchini leo

Makamu mwenyekiti wa Umoja wa Watanzania  Ujerumani UTU e.V,Peter Kazaura (pichani) anatarajiwa kuwasili nchini Tanzania leo 02.02.2015 kwa ajili ya kufanya mazungumzo na Uongozi wa juu wa Taifa. 
Akiwa nchini atafanya mazungumzo na uongozi wa taasisi mbali mbali zikiwepo  TIC, Basata, Wizara ya Ardhi,Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo pamoja na mashirika ya NSSF, NHC,  Tanzania Diaspora Initiative.
Mazungumzo hayo yatalenga upatikanaji wa Fursa zilizopo Tanzania kwa Diaspora....

 

11 years ago

GPL

UMOJA WA WATANZANIA UJERUMANI (UTU) KUFANYA MKUTANO MKUU WA UCHAGUZI APRILI 26, 2014 BERLIN

Mwenyekiti wa UTU, MP Mfundo. Berlin, Ujerumani,
UMOJA wa Watanzania Ujerumani (UTU) unatarajia kufanya mkutano wake mkuu wa uchaguzi siku ya kilele cha sherehe za muunganno wa Tanzania mjini Berlin, Ujerumani. Tarehe 26, Aprili 2014 kuanzia saa 7 mchana katika ukumbi wa Deutsche Bank, Unter den Linden 13-15, 10117 Berlin, Ujerumani. Watanzania wote wanaoishi Ujerumani wanaombwa kuhudhuria kwa wingi katika mkutano huu muhimu...

 

11 years ago

Michuzi

Umoja wa waTanzania Ujerumani (UTU) kufanya mkutato mkuu wa Uchaguzi 26.April 2014 Berlin

Berlin,Ujerumani, Umoja wa Watanzania Ujerumani (UTU) unatarajia kufanya mkutano wake mkuu  wa uchaguzi siku ya kilele cha sherehe za muunganno wa Tanzania mjini Berlin, Ujerumani. siku ya tarehe 26.April.2014 kuanzia saa 7 mchana katika ukumbi wa Deutsche Bank, Unter den Linden 13-15, 10117 Berlin, Ujerumani.
Watanzania wote wanaoishi Ujerumani wanaombwa kuhudhuria kwa wingi katika mkutano huu muhimu wa chombo chao UTU ambao kinawaunganisha watanzania wote waishio ujerumani bila kujali...

 

11 years ago

Michuzi

Umoja wa waTanzania Ujerumani (UTU) kufanya mkutato mkuu wa Uchaguzi .April 26, 2014 mjini Berlin

Umoja wa Watanzania Ujerumani (UTU) unatarajia kufanya mkutano wake mkuu  wa uchaguzi siku ya kilele cha sherehe za muunganno wa Tanzania mjini Berlin, Ujerumani. siku ya tarehe 26.April.2014 kuanzia saa 7 mchana katika ukumbi wa Deutsche Bank, Unter den Linden 13-15, 10117 Berlin, Ujerumani. Watanzania wote wanaoishi Ujerumani wanaombwa kuhudhuria kwa wingi katika mkutano huu muhimu wa chombo chao UTU ambao kinawaunganisha watanzania wote waishio ujerumani bila kujali itikadi zao za...

 

10 years ago

Michuzi

SIMBA SPORT CLUB WAZINDUA TOVUTI YAKE

AfisaMtendajiMkuuwa EAG Group Imani Kajula Akimwelezea Jambo Rais wa Simba Sport Club Evans Aveva (Aliyekaa) Wakati wa Uzinduzi wa Tovuti ya Club Hiyo Anayeshuhudia ni Makamu wa Rais wa Club ya Simba Geofrey Nyange ‘KaburuSimba Sports Club leo hiiimezindua tovuti yake Ili kukuza  mawasiliano  na  wadau wake mbalimbali  hususani; wanachama, wapenzi, vyombo  vya  habari na wadau wengine muhimu. 

Akizungumza  wakati  wauzinduzi  huo  Rais  wa  Simba Evans Aveva  alisema ‘’Katika dunia na zama...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanyakyusa wa Kyela wazindua umoja wao

UMOJA wa Wanyakyusa waishio jijini Mbeya kutoka Kata za Unyakyusa na Ntebela Wilaya ya Kyela, wamezindua umoja wao unaoitwa Unyante. Uzinduzi huo umefanyika juzi, sambamba na utoaji wa msaada kwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Makipa wazindua umoja wao kwa kuiua Taswa

Ivo Mapunda wa Simba, Shaaban Kado wa Coastal Union na Saleh Malande wa Ndanda juzi waliiongoza timu yao ya Chama cha Makipa Tanzania (Taga FC) kuiadhibu timu ya Waandishi wa Habari za Michezo (Taswa FC), kwa mabao 3-0, kwenye mchezo maalumu wa kirafiki uliofanyika kwenye Uwanja wa Bora, Kijitonyama jijini Dar es Salaam.

 

9 years ago

Mwananchi

ACT-Wazalendo wazindua kampeni, Mghwira aahidi serikali ya umoja

Chama cha ACT-Wazalendo wazindua rasmi kampeni zao kuelekea Uchaguzi Mkuu mwezi Oktoba mwaka huu.  Katika uzinduzi huo, mgombea wa Urais wa chama hich, Anna Mghwira ameahidi kuunda serikali ya umoja wa kitaifa endapo atashinda urais.

 

9 years ago

StarTV

Umoja wa Vijana Geita wazindua kitabu maalumu je wajua kitabu gani?

Marafiki wa Magufuli Kanda ya Ziwa kupitia Umoja wa Vijana Mkoa wa Geita wamezindua kitabu maalum kiitwacho TINGATINGA ikiwa ni sehemu mojawapo ya kampeni ndani na nje ya mkoa huo kitakachomnadi mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi Dokta John Magufuli.

 Vijana hao wamesema kitabu cha TINGATINGA kitasaidia wananchi kumjua kiundani Dokta Magufuli kwa kuwa kitasambazwa mijini na vijijini wakiwa na imani kuwa watakaosoma na kukielewa kitabu hicho watafanya maamuzi sahihi kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani