Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Makipa wazindua umoja wao kwa kuiua Taswa

Ivo Mapunda wa Simba, Shaaban Kado wa Coastal Union na Saleh Malande wa Ndanda juzi waliiongoza timu yao ya Chama cha Makipa Tanzania (Taga FC) kuiadhibu timu ya Waandishi wa Habari za Michezo (Taswa FC), kwa mabao 3-0, kwenye mchezo maalumu wa kirafiki uliofanyika kwenye Uwanja wa Bora, Kijitonyama jijini Dar es Salaam.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Wanyakyusa wa Kyela wazindua umoja wao

UMOJA wa Wanyakyusa waishio jijini Mbeya kutoka Kata za Unyakyusa na Ntebela Wilaya ya Kyela, wamezindua umoja wao unaoitwa Unyante. Uzinduzi huo umefanyika juzi, sambamba na utoaji wa msaada kwa...

 

11 years ago

Dewji Blog

Skylight Band wazindua wimbo wao mpya kwa kishindo, leo ndani ya Thai Village hapatoshi njoo ucheze na kufurahi na staili mpya kibaoo!!

Divas wa Skyligth Band toka kushoto Aneth Kushab,Mary Lukos(katikati) na Digna Mpera(kulia)wakilianzisha Taratibuuu Ijumaa Iliyopita huku wakipendeza na kivazi chao cha asili ya Kitanzania

Diva wa Skylight Band Mary Lukos akilitiririsha Vocal kaliiiiii

Diva wa Skylight Band Digna Mpera akilisogeshaaaa taratibuuuuuuuu

Meneja mwenyeweee  Aneth Kushaba kwa raha zakeeeee Akiiimba kwa furaha kabisa ndani ya Kiota cha Thai Village Ijumaa iliyopita,ambayo ilikuwa ni uzinduzi Rasmi wa Wimbo wao...

 

11 years ago

GPL

SKYLIGHT BAND WAZINDUA WIMBO WAO MPYA KWA KISHINDO,LEO NDANI YA THAI VILLAGE HAPATOSHI NJOO UCHEZE NA KUFURAHI NA STAILI MPYA KIBAOO!!‏

Divas wa Skyligth Band toka kushoto Aneth Kushab,Mary Lukos(katikati) na Digna Mbepera(kulia)wakilianzisha Taratibuuu Ijumaa Iliyopita huku wakipendeza na kivazi chao cha asili ya Kitanzania Diva wa Skylight Band Mary Lukos akilitiririsha Vocal kaliiiiii…

 

11 years ago

Michuzi

Umoja Wa Watanzania Ujerumani Wazindua Tovuti

Umoja wa Watanzania Ujerumani (U T U) Umezindua Mtandao wake leo hii Tarehe 19.05.2011, mjini Aschaffenburg ujerumani. Mtandao huo ambao umeaza kutumika kwa lugha ya Taifa ya Ujerumani (kijerumani) upo mbioni pia kutandaza habari kwa lunga za kimataifa ikiwemo kiswahili. Akiongea na vyanzo vyetu vya habari mwenyekiti wa umoja huo mheshimiwa Mfundo Peter Mfundo amewataka wanachama wa U T U  na Watanzania wote kwa Ujumla kuwa na subira kidogo kwani mtandao huo utaanza kupatikana kwa lugha ya...

 

9 years ago

Mwananchi

ACT-Wazalendo wazindua kampeni, Mghwira aahidi serikali ya umoja

Chama cha ACT-Wazalendo wazindua rasmi kampeni zao kuelekea Uchaguzi Mkuu mwezi Oktoba mwaka huu.  Katika uzinduzi huo, mgombea wa Urais wa chama hich, Anna Mghwira ameahidi kuunda serikali ya umoja wa kitaifa endapo atashinda urais.

 

9 years ago

Michuzi

WATOTO BADO WANAENDELEA KUDHULUMIWA UTOTO WAO- UMOJA WA MATAIFA

 Picha hii kutoka maktaba inamwonyesha mtoto ambaye anatumika kama askari na hivyo kumnyima haki yake ya msingi ya kuishi utoto wake,  pamoja na kupata huduma zake za msingi kama vile afya, elimu, malenzi na ukuaji  wenye hadhi. Pamoja na  Umoja wa Mataifa kuendelea na kampeni yake ya kupinga watoto  kutumika kama askari, bado  taarifa za hivi karibu za Umoja wa Mataifa, zinaeleza kuwa watoto bado wanaendelea kutumika katika baadhi ya maeneo kama askari,  huku wengine wakiingizwa katika...

 

9 years ago

StarTV

Umoja wa Vijana Geita wazindua kitabu maalumu je wajua kitabu gani?

Marafiki wa Magufuli Kanda ya Ziwa kupitia Umoja wa Vijana Mkoa wa Geita wamezindua kitabu maalum kiitwacho TINGATINGA ikiwa ni sehemu mojawapo ya kampeni ndani na nje ya mkoa huo kitakachomnadi mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi Dokta John Magufuli.

 Vijana hao wamesema kitabu cha TINGATINGA kitasaidia wananchi kumjua kiundani Dokta Magufuli kwa kuwa kitasambazwa mijini na vijijini wakiwa na imani kuwa watakaosoma na kukielewa kitabu hicho watafanya maamuzi sahihi kwa...

 

9 years ago

Mtanzania

Messi afurahia mtoto kwa kuiua Atletico

MessiBARCELONA, HISPANIA

MSHAMBULIAJI wa klabu ya Barcelona, Lionel Messi, juzi alifurahia kupata mtoto wa pili wa kiume huku akiipa ushindi klabu yake dhidi ya Atletico Madrid katika michuano Ligi Kuu nchini Hispania.

Mke wa Messi, Anonella Roccuzzo, mwishoni mwa wiki iliyopita alifanikiwa kupata mtoto wa kiume na kumpa jina la Mateo, hivyo alishindwa kufanya mazoezi ya mwisho na klabu yake kwa ajili ya kuangalia afya ya mke na mtoto wake.

Hata hivyo, katika mchezo wa juzi alitokea benchi katika...

 

10 years ago

Michuzi

Wanafunzi wa Kitanzania wanaosoma mjii wa Nanchang nchini China waanzisha umoja wao

Viongozi wa NATATA, toka kushoto ni Katibu Mkuu Halima Guga,Mwenyekiti Given Massawe na mratibu wa Elimu Abdulkarim Baksh.  Mwenyekiti wa NATASA ,Given Massawe akipozi kwa picha na wadau wa NATASA, toka kushoto  ni Henry Mzava,Evance,Letitia Smith ambae yeye anatoka Namibia, Henry,Hamza Riyani, Charles na Mercy.  M/kiti wa NATASA Given Massawe akikata keki ya ya kuzindua umoja huo pamoja kuazimisha miaka 53 ya Uhuru wa Tz huku katibu wake Halima Guga akishuhudia. Wakina dada wa ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani