Messi afurahia mtoto kwa kuiua Atletico
BARCELONA, HISPANIA
MSHAMBULIAJI wa klabu ya Barcelona, Lionel Messi, juzi alifurahia kupata mtoto wa pili wa kiume huku akiipa ushindi klabu yake dhidi ya Atletico Madrid katika michuano Ligi Kuu nchini Hispania.
Mke wa Messi, Anonella Roccuzzo, mwishoni mwa wiki iliyopita alifanikiwa kupata mtoto wa kiume na kumpa jina la Mateo, hivyo alishindwa kufanya mazoezi ya mwisho na klabu yake kwa ajili ya kuangalia afya ya mke na mtoto wake.
Hata hivyo, katika mchezo wa juzi alitokea benchi katika...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi04 Feb
Si Messi wala Ronaldo ni Atletico
10 years ago
Mwananchi23 Dec
Makipa wazindua umoja wao kwa kuiua Taswa
11 years ago
BBCSwahili12 Mar
Atletico Madrid yafuzu kwa robo fainali
9 years ago
MichuziDk Massaburi afurahia kuanza kwa huduma ya mabasi ya DART jijini Dar es salaam
9 years ago
MillardAyo24 Dec
Kuelekea Ballon d’Or, tujikumbushe kwa video ya washikaji wakiwachambua Messi na Ronaldo kwa vitendo …
Bado siku 18 ili ifikie January 11 2016, siku ambayo tutashuhudia historia mpya ikiandikwa katika ulimwengu wa soka, kwani ndio siku ambayo tutamfahamu mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa Dunia kwa mwaka 2015, November 30 2015 yalitangazwa majina ya Lionel Messi, Cristiano Ronaldo na Neymar kuwa ndio waliofanikiwa kuingia katika hatua ya fainali ya […]
The post Kuelekea Ballon d’Or, tujikumbushe kwa video ya washikaji wakiwachambua Messi na Ronaldo kwa vitendo … appeared first on...
9 years ago
BBCSwahili27 Sep
Messi nje kwa majuma 8
11 years ago
GPLTP MAZEMBE YATUA KWA MESSI
11 years ago
Mwananchi17 Mar
Bayern, Real, Atletico juu kwa juu
10 years ago
BBCSwahili08 Jan
Chelsea yamtaka Messi kwa £200m