Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watanzania watakiwa waisome Katiba mpya

WATANZANIA wametakiwa kuisoma na kuielewa Katiba Inayopendekezwa ili kuweza kufanya maamuzi sahihi wakati wa kupiga Kura za Maoni baadaye mwezi huu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

WAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA WATAKIWA KUWA NA MTIZAMO MPYA UTAKAOWEZESHA UPATIKANAJI WA KATIBA MPYA


Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba, Bw. Deus Kibamba akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika leo Julai 17, 2014 kuelezea msimamo wa JUKWAA LA KATIBA juu ya mwenendo uliopita wa bunge hilo. Picha na Cathert Kajuna wa Kajunason Blog
Kiongozi wa Shule Kuu ya Sheria nchini Kenya, Profesa Patrick Lumumba alisisitiza suala la wanasiasa kurudi bungeni na kuhakikisha katiba mpya inapatikana.
Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia mkutano huo.
Wajumbe wa JUKWAA LA KATIBA...

 

11 years ago

GPL

WAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA WATAKIWA KUWA NA MTAZAMO MPYA UTAKAOWEZESHA UPATIKANAJI WA KATIBA MPYA

Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba, Bw. Deus Kibamba akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika jana Julai 17, 2014 kuelezea msimamo wa jukwaa la katiba juu ya mwenendo uliopita wa bunge hilo.
Kiongozi wa Shule Kuu ya Sheria nchini Kenya, Profesa Patrick Lumumba alisisitiza suala la wanasiasa kurudi bungeni na kuhakikisha katiba mpya inapatikana.…
...

 

10 years ago

Habarileo

Wanasiasa himizeni watu waisome Katiba - Migiro

Waziri wa Katiba na Sheria, Dk Asha-Rose Migiro.WAZIRI wa Katiba na Sheria, Dk Asha-Rose Migiro, amevitaka vyama vya siasa, jumuiya za kidini, asasi za kiraia, viongozi wa Serikali na jamii kuhamasisha wananchi kusoma Katiba Inayopendekezwa.

 

10 years ago

Michuzi

WATANZANIA WATAKIWA KUTODANYWA KUHUSU MCHAKATO WA KATIBA

Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba ambaye pia ni Mwenyekiti wa Vyama vya Siasa vinavyounda TCD, Mhe. John Cheyo.
Na Benedict Liwenga, MAELEZO-Dodoma.
MJUMBE wa Bunge Maalum la Katiba ambaye pia ni Mwenyekiti wa TCD Mhe. John Cheyo amewataka Watanzania kutodanganywa kuhusiana na mchakato mzima wa kusaka Katiba Mpya.
Kauli hiyo imetolewa leo na Mhe. Cheyo wakati alipokuwa akifanya mahojiano katika kipindi cha asubuhi cha Jambo kinachorushwa na Televisheni ya Shirika la Habari Tanzania (TBC).
Mhe....

 

10 years ago

Tanzania Daima

Katiba mpya ipo mikononi mwa watanzania

HATMA ya kupatikana au kutokupatikana kwa katiba mpya ya Tanzania imebaki mikono mwetu watanzania kwa kuipigia kura ya Ndiyo au Hapana. Tayari Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya...

 

10 years ago

Mwananchi

KATIBA MPYA: Wingu linavyogubika hatima Mchakato wa Katiba Mpya

>Bado hakuna mwafaka kuhusu hatima ya Katiba Mpya, baada ya kuahirishwa kwa upigaji Kura ya Maoni iliyopaswa ifanyike Aprili 30 mwaka huu.

 

10 years ago

Mwananchi

MCHAKATO WA KATIBA MPYA: Katiba Mpya ilivyoligawa Taifa

>Wahenga walisema dalili ya mvua ni mawingi. Usemi huo umejidhihirisha kwenye mchakato wa mabadiliko ya Katiba ambao tayari umeonyesha kuligawa taifa katika makundi matatu; Serikali, taasisi za dini na vyama vya siasa.

 

11 years ago

Mwananchi

Watanzania watakiwa kupambana na majangili

Watanzania wametakiwa kuunga mkono juhudi zinazofanywa na Serikali kupambana na uwindaji haramu wa wanyama unaofanywa na majangili kwenye mbuga za wanyama.

 

9 years ago

StarTV

Watanzania watakiwa kuendeleza amani

 

WATANZANIA wametakiwa kuutumia mwaka mpya wa 2016 kuendeleza Sifa na Historia njema ya Tanzania katika kulinda na kudumisha amani iliyopo.

Kanisa la Tanzania Assemblies of God, TAG, mkoa wa Mbeya limesema kuingia mwaka mpya siyo sababu kwa Watanzania kuacha utamaduni wao wa kudumisha amani bali wanapaswa kuiendeleza sifa hiyo iliyoijengea Tanzania heshima Kimataifa.

Ushauri huo umetolewa na Mchungaji Kiongozi wa kanisa la TAG mkoa wa Mbeya, Addison Mwaijunga, wakati wa ibada maalum ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani