Watatu wafariki, 11 wajeruhiwa
Kamanda wa Polisi mkoani Kilimanjaro, Geofrey Kamwela.Watu watatu wamefariki dunia na wengine 11 kujeruhiwa vibaya katika matukio mawili yaliyozua taharuki kwa wakazi wa mkoa wa Kilimanjaro mwishoni mwa wiki.
Katika tukio la kwanza lililohusisha ajali ya gari dogo aina ya Toyota Noah likitokea Tanga kwenda Moshi Mjini, liliacha njia na kupinduka baada ya dereva wake, Ally Kasim (48) kushindwa kulimudu kutokana na mwendo kasi.
Kamanda wa Polisi mkoani Kilimanjaro, Geofrey Kamwela, alisema ...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi11 Dec
Saba wafariki, 71 wajeruhiwa ajalini
11 years ago
Mwananchi15 May
Tisa wafariki dunia, 10 wajeruhiwa
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-lNhxptZ_Ipo/VBmKMrGFRhI/AAAAAAAGkF0/OfHYhPBUaOE/s72-c/unnamed%2B(59).jpg)
WAWILI WAFARIKI, WATANO WAJERUHIWA AJALINI
![](http://2.bp.blogspot.com/-lNhxptZ_Ipo/VBmKMrGFRhI/AAAAAAAGkF0/OfHYhPBUaOE/s1600/unnamed%2B(59).jpg)
WATU wawili wamefariki dunia na wengine watano wamejeruhiwa baada ya magari mawili likiwemo basi dogo la abiria waliyokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso.
Kwa mujibu wa kaimu kamanda wa polisi mkoani Pwani Athuman mwambalaswa alisema kuwa tukio hilo lilihusisha gari aina ya Coaster likitokea kwenye msiba Musoma kwenda Jijini Dar es Salaam na kugongana na lori la mafuta.
Kamanda Mwambalaswa alisema kuwa ajali hiyo ilitokea Septemba 17 mwaka huu majira ya saa 12:15...
11 years ago
Mwananchi22 Jun
Sita wafariki ajalini, 12 wajeruhiwa Dar
11 years ago
Mwananchi13 Dec
Watu 11 wafariki ajali ya basi, 55 wajeruhiwa
9 years ago
StarTV28 Sep
Watu watano wafariki, sita wajeruhiwa Katavi
Watu watano wamefariki na wengine sita kujeruhiwa katika ajali ya gari iliyokea kijiji cha Matandalani wilaya ya Mlele mkoani Katavi baada ya gari aina ya NOAH lenye namba T 451 DDP ikitokea Mpanda mjini Kuelekea Sitalike kupinduka na kuacha njia.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Katavi Dhahiri Kidavashari amesema ajali hiyo imetokea majira ya saa tano za asubuhi baada ya gari kupasuka tairi na kupinduka ambapo chanzo cha ajali ...
10 years ago
Mwananchi17 Apr
19 wafariki ajalini mbeya, wawili wajeruhiwa vibaya
11 years ago
Tanzania Daima02 Jun
Watatu wajeruhiwa Kenya
WATU watatu wamejeruhiwa katika shambulizi la bomu katika mji wa Garisa nchini humo. Hayo yalithibitishwa Jumamosi na mkuu wa polisi wa eneo hilo, Charles Kinyua kuwa kati ya vijana watatu...
10 years ago
Mwananchi11 Sep
Ajali yaua watatu, 24 wajeruhiwa