WATEJA WA HALOTEL KIDIGITALI ZAIDI NA HALOPESA APP
![](https://1.bp.blogspot.com/-YbuRq0PNr5I/XvSxgROalNI/AAAAAAAEIA8/uL2P8-XAkIwaOeJ5batzsChk3krO_qrNgCLcBGAsYHQ/s72-c/5a8dc6a5-a058-4415-9fb1-b34e3c142f18-768x512.jpg)
Afisa Bidhaa HaloPesa Roxana Kardio ( Kulia), Hindu Kanyamala ,Afisa wa Habari wa Halotel(kushoto) Magesa Wandwi wa Kitengo cha Biashara HaloPesa(Kulia) wakionesha HaloPesa APP walizopakua kwenye simu janja zao.
Mkuu wa Kitengo cha Biashara HaloPesa, MagesaWandwi (Kulia) ,Akizungumza na waandishi wa Habari, makao makuu ya Halotel katika uzinduzi wa Huduma ya HaloPesa App ikienda kwa jina la kampeni #ChillaxNa HaloPesa APP, ambapo wateja wote wa Halotel wataweza kupakua HaloPesa APP kwenye...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziKWA MARA YA KWANZA WATEJA WA HALOPESA KUNEEMEKA GAWIO,KUPATA ZAIDI YA SHILINGI BILIONI MOJA
Hatua hiyo ikiwa ni hatua ya kwanza kwa HaloPesa kutoa gawio kiasi cha shilingi bilioni moja kwa wateja wake Zaidi ya Milioni 1.9 ambao ni pamoja na wateja binafsi, mawakala na washirika wake mbalimbali wanatumia huduma za HaloPesa.
Akizungumza na waandishi wa Habari leo jijini Dar Es Salaam, Mkuu wa kitengo...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-eFGSspYNeP8/VDvatgElisI/AAAAAAAGp0A/D0mUJMlGoNY/s72-c/c91UHRGs.jpeg)
VODACOM KUWAPATIA WATEJA WAKE MUZIKI WA KIDIGITALI KUTOKA DEEZER
![](http://1.bp.blogspot.com/-eFGSspYNeP8/VDvatgElisI/AAAAAAAGp0A/D0mUJMlGoNY/s1600/c91UHRGs.jpeg)
Deezer ni kampuni kubwa ya kuuza muziki kwa njia ya kidigitali nchini Afrika ya kusini.Katika kusherehekea ushirikiano huu na Vodacom wateja wapatao 17 milioni wa Vodacom watajipatia offer ya kipindi cha mwezi mmoja ya kupakua bure muziki wa...
10 years ago
Dewji Blog13 Jul
Sasa ni rahisi zaidi kutazama account yako na Tenbre App
Sasa unaweza kucheki bill ya account yako mpaka miezi sita kwa app ya tenbre. Unaweza kuona historia ya account yako, makato au marejesho ya kiasi cha pesa pia yataonekana.
Anza kwa kuchagua “smart card”. Hii itakuonyesha orodha ya vitu mbali mbali.
Chini ya orodha hii, utaona “Account Bill”, chagua hiyo ili kuangalia bill yako.
Unaweza kuchagua mwezi unaotaka kuangalia:
Download Tenbre kwa kutembelea Play Store kwenye simu yako ya Android au bofya hapa
Kama una swali au ungependa kujua...
5 years ago
TechCrunch29 Feb
This Week in Apps: Coronavirus impacts app stores, Facebook sues mobile SDK maker, Apple kicks out a cloud gaming app
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-P52VKPKRgFs/VK0fPvvQL5I/AAAAAAAG7zU/O7D6G9q3UXU/s72-c/DSC_0023.jpg)
BANK M KUBORESHA ZAIDI HUDUMA KWA WATEJA WAKE
![](http://1.bp.blogspot.com/-P52VKPKRgFs/VK0fPvvQL5I/AAAAAAAG7zU/O7D6G9q3UXU/s1600/DSC_0023.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-4uDlFyglBIA/VK0fPipaDQI/AAAAAAAG7zY/5dyWOtJrpMA/s1600/DSC_0026.jpg)
Benki M imesema imeendelea kuboresha huduma kwa...
11 years ago
Mwananchi20 Dec
Wateja B-Pesa kufanya miamala zaidi ya nchi 140
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-gMPWl_1mMWE/XklqiGjC3XI/AAAAAAALdlA/kvV4Gnv18F45QsO41psQpoo1BUyhAFgXACLcBGAsYHQ/s72-c/01.jpg)
Absa Tanzania yawahakikishia wateja wake huduma bora zaidi
![](https://1.bp.blogspot.com/-gMPWl_1mMWE/XklqiGjC3XI/AAAAAAALdlA/kvV4Gnv18F45QsO41psQpoo1BUyhAFgXACLcBGAsYHQ/s640/01.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-OBfXgdyBV3I/VL5UJgqeIZI/AAAAAAAG-eg/_2U7KjPltJ0/s72-c/unnamed%2B(6).jpg)
ZAIDI YA BILIONI 29 ZINAWASUBIRI WATEJA WA VODACOM KUPITIA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS
Akiongea baada ya kumalizika kwa droo ya sita ya promosheni hiyo ambayo ilifanyikiwa kupata washindi wa muda wa maongezi kufikia idadi ya 947 na kutokufanikiwa kupata mshindi wa fedha taslimu na kubakia na idadi ileile ya washindi watano waliojishindia...
9 years ago
Bongo Movies14 Oct
Matangazo mtandaoni: Mbinu mpya ya kuwafikia wateja wengi zaidi
Kwa wiki nne mfululizo tumekuwa tukikuwekea hapa baadhi ya Makala kuhusiana na simu ya Huawei Y360 inayouzwa kwa ushirikiano kati ya makampuni nguli ya mawasiliano nchini, Tigon a Huawei.
Sababu kubwa ya kuweka Makala hizo, tulikuwa tukifuatilia aina mpya ya kufanya matangazo ambayo inatumika. Makampuni haya yamekua yakitumia kurasa za Facebook, Twitter, Blogs na mitandao mingine mingi kuwafikia watu wengi zaidi.
Mpaka sasa Huawei Y360 kupitia njia hii imewafikia watu wengi zaidi? Jibu ni...