Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Matangazo mtandaoni: Mbinu mpya ya kuwafikia wateja wengi zaidi

Kwa wiki nne mfululizo tumekuwa tukikuwekea hapa baadhi ya Makala kuhusiana na simu ya Huawei Y360 inayouzwa kwa ushirikiano kati ya makampuni nguli ya mawasiliano nchini, Tigon a Huawei.

Sababu kubwa ya kuweka Makala hizo, tulikuwa tukifuatilia aina mpya ya kufanya matangazo ambayo inatumika. Makampuni haya yamekua yakitumia kurasa za Facebook, Twitter, Blogs na mitandao mingine mingi kuwafikia watu wengi zaidi.

Mpaka sasa Huawei Y360 kupitia njia hii imewafikia watu wengi zaidi? Jibu ni...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Mawasiliano ya mkongo kuwafikia wengi zaidi

MBUNGE wa Igalula Athuman Mfutakamba (CCM) ameitaka serikali kueleza namna ilivyojipanga kuleta maendeleo ya sekta za kilimo, afya, elimu, biashara, ulinzi na wanyamapori kwa kutumia teknolojia ya kisasa. Alisema lengo...

 

10 years ago

Michuzi

Sasa NMB kuwafikia wateja wake Mpaka Vijijini kupitia NMB Wakala

Banki ya NMB imeingia makubaliano na kampuni ya Maxcom kupitia mtandao wa mawakala wanaojulikana kama Max Malipo kwaajili ya kuanza kutoa huduma za kibenki. HUduma hii itakuwa inaitwa NMB Wakala na itakuwepo kwenye kila wakala wa MaxMalipo waliotapakaa nchi nzima.
Kuingia kwa MaxCom kwenye benki ya NMB kunamaanisha kuwa NMB itazidi kupanua Zaidi mtandao wao kwa kuingia hadi vijijini tofauti na benki zingine. Kupitia mawakala wa MaxCom, wateja wa NMB wanaweza kutoa na kuweka fedha kwenye...

 

10 years ago

Mwananchi

Wengi walia na wizi wa mtandaoni

Imetolewa hadhari juu ya kukithiri kwa vitendo vya wizi wa fedha kupitia mitandao ambao umesababisha hasara kubwa kwa taasisi za fedha, kampuni na hata watu binafsi.

 

10 years ago

Vijimambo

MHE. SHY-ROSE BHANJI AKANUSHA HABARI ZILIZO ZAGAA MTANDAONI NA KUDAI NI MBINU ZA KUMCHAFUA.

Wiki hii imekuwa ngumu sana kwa Mhe. Shy-Rose Bhanji baada ya habari kuzagaa mtandaoni na kudai kwamba alilewa sana na kuanza kufanya mambo ya ajabu hadi Bunge analo tumikia kuahirishwa. Baada ya shtuma hizo mbunge huyo ameamua kufunguka kupitia ukurasa wake wa Facebook na kukanusha habari hizo kwa ujumbe ufuatao.
Mimi Shy-Rose Bhanji, Mbunge wa Afrika Mashariki-Tanzania, ninapinga vikali na kwa nguvu zote shutuma zilizotolewa dhidi yangu kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii.Shutuma hizi...

 

10 years ago

Bongo Movies

Picha za Wema na Ommy Dimpoz Zawavutia Wengi Mtandaoni!!!

Siku ya jana kwenye kurasa mbalimbali za watu maarufu kwenye mtandao wa INSTAGRAM walibandika picha hizi za mwanadada Wema Sepetu akiwa na Ommy Dimpoz wakiwa katika mapozi tofauti tofauti.

Kila zilipowekwa, wengi wa bonyeza kitufe cha kuzipenda na wengine waliandika maoni yao huku wengi wakiwasifia kwa jinsi walivyopendeza, na wengine walienda mbali zaidi kuwa wamependezana hivyo ingependeza hii iwe ni Le PROJECT mupyaaa.

Ila baadhi ya watu walibuka na kuponda bila sababu kibaya zaidi ni...

 

10 years ago

Mwananchi

Zitto Kabwe aongoza kwa wafuasi wengi mtandaoni

>Matumizi ya mitandao ya kijamii yanaongezeka kila kukicha na kuleta upinzani kwa vyombo vya habari. Hii inatokana na ukweli kwamba kupitia mitandao hiyo habari husambaa kwa haraka katika muda mfupi.

 

10 years ago

Mwananchi

Mbinu sita za kukifanya kilimo kiwe na tija, kiwavutie Watanzania wengi

Kwa muda mrefu sekta ya kilimo imekuwa ikizungumziwa kuwa ni uti wa mgongo wa uchumi wa Tanzania, kwa kuwa ndiyo imeajiri asilimia 80 ya wananchi wote.

 

11 years ago

Dewji Blog

Wananchi wengi wanaamini kuwa gesi imeleta neema nchini Tanzania, lakini wengi wana wasiwasi kuwa Serikali na matajiri watafaidika zaidi

mabomba ya gesi

Mabomba ya kusafirisha gesi kutoka Mtwara kwenda Dar es Salaam.

Wananchi wanne kati ya watano wanaamini kuwa mafuta na gesi yatawanufaisha wao, watoto wao na nchi yao kwa ujumla. Wakati huo huo, wananchi wanne kati ya kumi (37%) wanaamini kuwa viongozi wa Serikali na matajiri ndio wataofaidika zaidi. Pia, zaidi ya nusu (55%)  wangependa baadhi ya mapato ya mafuta na gesi wapewe wananchi moja kwa moja kama fedha taslimu.

Matokeo haya yametolewa na Twaweza katika muhtasari wa utafiti wenye...

 

10 years ago

GPL

VIDEO YA MTOTO WA KIM NA KANYE, NORTH WEST AKIVUTWA PAMOJA NA SANDUKU LA NGUO YAVUTIA WENGI MTANDAONI

North West akivutwa akiwa amelala juu ya sanduku la nguo. VIDEO iliyowekwa katika mtandao wa Instagram na Khloe Kardashian ya mtoto wa dada yake, Kim Kardashian aitwaye North West imevutia watu wengi. Angalia video hiyo hapo juu. Video hiyo inamuonyesha North mwenye mwaka mmoja na miezi tisa akivutwa akiwa amelala juu ya sanduku la nguo kuelekea uwanja wa ndege.… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani