Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watendaji wa kata 13 wapatiwa pikipiki

>Maofisa watendaji kata 13 kati ya 25 wa Halmashauri ya Wilaya ya Hanang’ mkoani Manyara, wamepatiwa pikipiki 13 zitakazowawezesha kumudu utekelezaji wa majukumu yao kwa kuwafikia wananchi walioko vijijini.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Jumuiya ya watumiaji maji Nzihi wapatiwa pikipiki

MKURUGENZI wa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini wa Kampuni ya Simu Tigo, Jackson Kiswaga ametoa msaada wa pikipiki kwa jumuiya ya Watumiaji Maji Kata ya Nzihi kwa lengo la...

 

5 years ago

Michuzi

AHADI YA RAIS MAGUFULI KWA MAAFISA TARAFA YATIMIA, WAPATIWA PIKIPIKI NCHI NZIMA

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Selemani Jafo akiwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Kapteni George Mkuchika na Wakuu wa Mikoa wa Dodoma na Singida pamoja na Makatibu Tawala wao wa Mikoa baada ya kukabidhiwa pikipiki za maafisa tarafa kwa niaba ya Wakuu wa mikoa wenzao wa mikoa 24. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Selemani Jafo akizungumza katika hafla ya kuwakabidhi wakuu wa mikoa pikipiki kwa ajili ya maafisa tarafa wao leo jijini Dodoma.

 

10 years ago

Michuzi

Makalla akabidhi pikipiki 5 kwa kata mpya Mvomero

Naibu Waziri wa Maji na Mbunge wa Mvomero, Amos Makalla amekabidhi pikipiki tano kwa kata mpya tano za Chama cha Mapinduzi (CCM) ili kuwasaudia watendaji na viongozi wa Chama kufanya kazi za Chama kwa wepesi na ufanisi.
Akikambidhi pikipiki hizo, Mbunge wa Mvomero alimueleza mwenyekiti wa wilaya ya Mvomero ndg Abdalah Mtiga kuwa msaada huo ni muendelezo wa kukisaidia Chama wilaya ya Mvomero kwani awali alisaidia pikipiki 23 na hizo 5 inafanya jumla ya pikipiki alizosaidia Chama kuwa 28 zenye...

 

9 years ago

Michuzi

NAPE AWAPA MAKATIBU KATA WA JIMBO LAKE PIKIPIKI


 Mbunge wa Jimbo la Mtama Ndugu Nape Nnauye akimkabidhi Katibu wa kata ya Mtua Kilimahewa funguo ya pikipiki kwa niaba ya makatibu kata 20 wa jimbo hilo ambao wote wamewezeshwa usafiri wa pikipiki ili kurahisisha ufanisi wa kazi zao.
 Mbunge wa Jimbo la Mtama (CCM) Nape Nnauye akijaribu moja ya pikipiki kati ya 20 alizowapa makatibu kata ili ziweze kuwasaidia kufanya kazi kwa ufanisi kwenye shughuli zao za kujenga na kuimarisha Chama Cha Mapinduzi.
 Sehemu ya pikipiki zilizotolewa na...

 

10 years ago

Vijimambo

PAPAA KING MOLEL WA TRIPLE A LTD AIKABIDHI KATA YA KIA PIKIPIKI

Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya Triple A LTD na Mfanyabiashara wa Jijini Arusha, Papaa King Mollel (kulia) akimkabidhi pikipiki kwa aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Novatus Makunga ambaye kwa sasa ni Mkuu wa Wilaya ya Moshi mjini kwa ajili ya kusaidia na kurahisisha shughuli za maendeleo katika kata ya KIA wilayani Hai mkoani Kilimanjaro . Hafla hiyo ilifanyika leo Sakina jijini Arusha. Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya Triple A LTD na Mfanyabiashara wa Jijini Arusha, Papaa King...

 

5 years ago

Michuzi

MANISPAA YA MOROGORO YANUNUA PIKIPIKI 7 KWA AJILI YA KATA ZA PEMBEZONI.


Mstahiki Meya wa Manispaa ya Morogoro, Mhe. Pascal Kihanga, akiwasha Pikipiki katika hafla fupi ya makabidhiano ya Pikipiki kwa Kata zilizopo Pembezoni mwa Manispaa ya Morogoro.
Afisa Utumishi wa Manispaa ya Morogoro , Waziri Kombo,(kushoto), akisoma taarifa fupi ya Manunuzi ya Pikipiki kwa ajili ya Kata zilizopo pembezoni wa Manispaa ya Morogoro, (kulia), Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro, Sheilla Lukuba, (katikati), Mstahiki Meya wa Manispaa ya Morogoro, Mhe. Pascal Kihanga.


NA FARIDA...

 

9 years ago

CCM Blog

NAPE AKABIDHI PIKIPIKI 20 KWA MAKATIBU KATA JIMBONI KWAKE


 Mbunge wa Jimbo la Mtama Ndugu Nape Nnauye akimkabidhi Katibu wa kata ya Mtua Kilimahewa Ndugu Maliki funguo ya pikipiki kwa niaba ya makatibu kata 20 wa jimbo hilo ambao wote wamewezeshwa usafiri wa pikipiki ili kurahisisha ufanisi wa kazi zao.
 Mbunge wa Jimbo la Mtama (CCM) Nape Nnauye akijaribu moja ya pikipiki kati ya 20 alizowapa makatibu kata ili ziweze kuwasaidia kufanya kazi kwa ufanisi kwenye shughuli zao za kujenga na kuimarisha Chama Cha Mapinduzi.
 Sehemu ya pikipiki zilizotolewa...

 

11 years ago

GPL

DIWANI WA KATA YA NYIDA SHINYANGA (CCM) AMEFARIKI KWA AJALI YA PIKIPIKI

SHINYANGA, Tanzania
DIWANI wa Kata ya Nyida wilayani Shinyanga kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Shindiko Masele(40) amekufa papo hapo baada ya kupinduka na pikipiki aliyokuwa akiendesha. Akizungumza na waandishi wa habari Mjini hapa, Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Shinyanga, Sosteness Ngassa alisema diwani huyo alipata ajali hiyo jumamosi saa 2.30 usiku wakati alipojaribu kumkwepa mwendesha baiskeli na...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI CHIKAWE AKABIDHI PIKIPIKI 35 KWA MAKATIBU KATA WA CCM WILAYA YA NACHINGWEA LEO

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias Chikawe (wapili kushoto) akimkabidhi kadi ya pikipiki Mwenyekiti wa Makatibu Kata wa CCM Wilaya ya Nachingwea, Ally Napepa. Waziri Chikawe alikabidhi pikipiki 35 kwa makatibu kata wilayani humo kwa ajili kazi ya uendeshaji wa shughuli za chama ikiwemo kuwahamasisha wananchi katika kata zao kujiandisha ili kuipigia kura ya ndiyo Katiba iliyopendekwa na Bunge, pamoja na kujiandaa na uchaguzi Mkuu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani